Ulusumo lunulo, lulolile bhulingi bho noni bho bhanigini. Abhanigini bhagalingaga noni ja gocha kugiki bhalye. Aliyo lulu, bhagalingaga tamu mpaga bhayibhulaga inoni na bhapemba umoto go gokecha. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “haho udinibhulaga inoni utizubhacha umoto.”
Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agitaga bhukengeji bho milimo yakwe mpaga yamanyika chiza, haho atali ugwiyandya uguitumama, umukikalile kakwe.
Umunhu ng’wunuyo, agigulambijaga ugugumanyicha unimo gokwe bho gugwitila bhukengeji bhutale mpaka ogudebha chiza na ogwandya ugugutumama, umukikalile kakwe. Uweyi agapandikaga matwajo mingi, umubhutumami bhokwe kunguno ya gutumama milimo iyo imanyikile, umuwikaji bhokwe.
Umunhu ng’wunuyo, agikolaga na bhanigini abho bhabhulagaga tamu inoni na bhapemba umoto gogokecha, kunguno nu weyi agitaga bhukengeji bho milimo yakwe mpaga yamanyika chiza, na wandya utuitumama, umukikalile kakwe. Hunagwene agabhawilaga abhanhu giki, “haho udinibhulaga inoni udizupemba umoto.”
Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya guitila bhukengeji imilimo yabho mpaga bhayidebha chiza, huna bhandya uguitumama, kugiki bhadule gujibheja chiza ikaya yabho, umuwikaji bhobho.
Luka 14:28-29.
KISWAHILI: KABLA HUJAMUUA NDEGE USIWASHE MOTO.
Methali hiyo, huangalia uwindaji wa ndege unaofanywa na watoto. Watoto huwa wanawinda ndege kwa ajili ya kuchoma ili wale. Lakini basi, watoto hao, huwinda kwanza mpaga wanampata ndege wanayemuwinda ndipo wanawasha moto wa kumchomea. Ndiyo maana watu husema kwamba, “kabla hujamuua ndege usiwashe moto.”
Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hufanya utafiki wa kazi zake kwanza, kabla hajazianza kuzitekeleza, katika maisha yake. Mtu huyo, hujibidisha kufanya utafiti wa kumwezesha kuzifahamu vizuri kazi kwa sababu anataka kupata undani wa mahitaji ya kazi hizo. Yeye hufanikiwa kupata maendeleo mengi yanayotokana na kupata mavuno mengi ya kazi hizo, kwa sababu ya kufanya kazi anazozifahamu, maishani mwake.
Mtu huyo, hufanana na watoto waliowinda ndege mpaga wakampata ndipo wakawasha moto wa kumchomea, kwa sababu naye hufanya utafiki wa kumwezesha kuzielewa vizuri kazi zake, ndipo anaanza kuzitekeleza, katika maisha yake. Ndiyo maana yeye huwaambia watu kwamba, “kabla hujamuua ndege usiwashe moto.”
Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuzifanyia utafiti wa kuwawezesha kuzielewa vizuri kazi zao, ndipo waanze kuzitekeleza, katika maisha yao, ili waweze kuziendeleza vizuri familia zao, maishani mwao.
Luka 14:28-29.
ENGLISH: BEFORE YOU KILL A BIRD, DO NOT LIGHT FIRE (DO NOT COUNT YOUR EGGS BEFORE THEY ARE HATCHED).
This proverb focuses on an activity of bird-hunting that is done by children. Children often hunt birds for roasting in order to eat. They first hunt until they kill a bird then they light fire for burning it. That is why people say, “Before you kill a bird, do not light fire.”
This proverb is likened to a man who first researches his works, before dong them in his life. He strives to do research that is good enough to enable him understand the work because he wants to find out requirements of those jobs. He succeeds in making many advances from fruits of his labor, because of doing the work that he knows best in his life.
This man is like the children who hunted birds then they set fire, because he also did research on his works for understanding his works before doing them in his life. That is why he tells people that, “Before you kill a bird, do not light fire.”
This proverb teaches people on how to do research enough to enable them understand their works, and then start implementing them in their lives, so that they can develop their families in their societies.
Luke 14: 28-29.