801. NEB’ULEB’U ATUGAYIWA LUSHIKU LOKWE.

Uneb’uleb’u alimunhu uyo agatumamaga milimo yakwe hado hado. Umunhu ng’wunuyo, agabhizaga na jikolo jigehu, umukikalile kakwe kunguno ya katumamile kakwe. Uweyi agikalaga apinihalile noyi kunguno ya gubhiza na jiliwa jigehu, ahakaya yakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “neb’uleb’u atugayiwa lushigu lokwe.”

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo alina wiyumilija bho gutumama milimo yakwe kihamo nu gupandika matwajo magehu adayoyaga, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agikomejaga gutumama milimo bhuli lushigu bho gwingila dilu mpaga mhindi. Uweyi adalekaga uguja ukumilimo yakwe, mumo agakelela bhuli ng’waka.

Ulusumo lunulo, lugikolaga nu neb’uleb’u uyo opandikaga jikolo jigehu,  kunguno nang’hwe agapandikaga jiliwa jigehu aliyo adabhinzikaga moyo, umukikalile kakwe. Hunagwene agabhawilaga abhanhu giki, “neb’uleb’u atugayiwa lushigu lokwe.”

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gwikomeja gutumama milimo yabho bho wiyumilija bhutale, umukikalile kabho, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho.

Marko 10:21.

Luka 12: 23.

Luka 16:22-23.

KISWAHILI: HOHEHAHE HAKOSI SIKU YAKE.

Hohehahe ni mtu yule ambaye hufanya kazi zake pole pole. Mtu huyo, mara nyingi huwa na vitu vichache katika maisha yake kwa sababu ya utendaji wake huo. Yeye huwa katika hali ya masikitiko maishani mwake, kwa sababu ya kuwa na chakula kidogo. Ndiyo maana watu humtia moyo kwa kumwambia kwamba, “hohehahe hakosi siku yake.”

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ni mwenye uvumilivu wa kuyatekeleza majukumu yake bila kuyaacha pamoja na kupata mafanikio kidogo, katika maisha yake. Mtu huyo, hujibidisha kufanya kazi kila siku, kuanzia asubuhi hadi jioni. Yeye haachi kwenda kwenye kazi zake hizo hata kama atapata mavuno kidogo kila mwaka.

Methali hiyo, hufanana na hohehahe aliyeendelea kufanya kazi pamoja na kupata mavuno kidogo, kwa sababu naye ana uvumilivu huo wa kuendelea kuyatekeleza majukumu yake kwa bidii hata anapokosa mavuno kwenye kazi zake, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “hohehahe hakosi siku yake.”

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuendelea kuyatekeleza majukumu yao kwa uvumilivu mkubwa katika maisha yao, ili waweze kuziendeleza vizuri familia zao, maishani mwao.

Marko 10:21.

Luka 12: 23.

Luka 16:22-23.

working2

working

ENGLISH: A LAZY  MAN  HAS  ALSO  HIS  DAY  WHERE HE  FEELS  READY  TO  WORK.

A lazy one is the person who does his/her work slowly. He/she often has few things in life because of such slow working which leads to a life of sadness, because of having little food. That is why people encourage him/her by saying, “a lazy  man  has  also  his  day  where he  feels  ready  to  work.”

This proverb is likened to a man who is patient with his duties without neglecting them in spite of having little success in life. This person, on the other hand, works hard every day, from morning till evening. He does not stop going to those jobs even if he gets a little harvest each year.

This person is similar to the lazy one who continued to work in spite of earning little, because he also has strong patience enough to continue diligently fulfilling his duties even when he lacks harvest from his works in life. That is why people tell him that “a lazy  man  has  also  his  day  where he  feels  ready  to  work.”

This proverb instills in people an idea on how to continue fulfilling their daily responsibilities with great patience in their lives, so that they can better develop their families in their societies.

Mark 10:21.

Luke 12:23.

Luke 16: 22-23.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.