792. JIGONGWA NWILE.

Akahayile kenako, kalolile jiliwa ijo alijilomba unwile ajilye. Olihoyi nwile uyo agayomba, “nenhelaji numbu nalye.” Abhalwaja bhakwe bhagazunya bhaliyomba, “lyehaga dugwenhele.”

Abhanhu bhenabho, bhagajichola inumbu jinijo mpaga bhujipandika na gunchalila unsadu obho, kunguno bhahayile apandike nguzu ja gung’wela bhugota. Hunagwene abhanhu bhenabho bhajitanaga ijo alijilomba unwile giki, “jigonjwa nwile.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo alina bhutogwa bho gubhalonja chiza abhalwile bhakwe, umukikalile kakwe. Munhu ng’wunuyo, agabhagolaga abhasadu bhakwe bho gutumila hela jakwe, umukikalile kabho. Uweyi agabhutumilaga ubhutogwa bhokwe, bho gubhachobhela ijiliwa ijo bhalijilomba abhasadu bhakwe bhanebho.

Umunhu ng’winuyo, agikolaga na bhalwaja bha nwile abho bhagancholela numbu ulya unwile obho ijo ojihayaga, kunguno nuweyi agabhagolaga chiza abhasadu bhakwe, umukikalile kakwe. Hunagwene agajitanaga ijo bhalilomba abhasadu giki, “jigongwa nwile.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na bhutogwa bho kubhagola chiza abhasadu bhabho ijina gubhachobhela ijo bhalijilomba, kugiki bhadule gung’wa bhugota chiza na gupila wangu, umuwikaji bhobho.

Marko 1:29-31.

Yohana 19:28-29.

KISWAHILI: KITAMANIWA MGONJWA.

Msemo huo, huangalia chakula kile ambacho mgonjwa anakiomba akile. Alikuwepo mgonjwa mmoja aliyeomba chakula akisema, “nileteeni viazi nile.” Watunzaji wake walijibu, “tulia tukakueletee.”

Watu hao, pamoja na kwamba hawakuwa navyo hivyo viazi, walitafuta mpaga wakavipata na kumpelekea mgonjwa wao. Ndiyo maana walikiita kile anachokitaka mgonjwa kwamba, ni “kitamaniwa mgonjwa.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ni mwenye upendo wa kuwatunza vizuri wagonjwa wake, katika maisha yake. Mtu huyo, hujitahidi kuwatafutia wagonjwa wake hao kile wanachokitaka mpaka anakipata hata kwa kutumia mali zake mwenyewe, katika maisha yake. Yeye huutumia upendo wake kwa kuwatafutia wagonjwa chakula wanachotaka, kila wanapokihitaji.

Mtu huyo, hufanana na watunza mgonjwa waliomtafutia viazi mgonjwa wao mpaka wakavipata, na kumpelekea, kwa sababu naye huwatunza wagonjwa wake kwa kuwapatia mahitaji yao vizuri. Ndiyo maana yeye hukiita kile anachokitaka mgonjwa kwamba, ni “kitamaniwa mgonjwa.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na upendo wa kuwatunza vizuri wagonjwa wao kwa kuwatafutia chakula wanachokihitaji, ili waweze kunywa dawa vizuri na kupona haraka, maishani mwao.

Marko 1:29-31.

Yohana 19:28-29.

tongues grilled-meat

dried meat.jpg1

baby

ENGLISH: THE DESIRED BY A PATIENT.

The above saying looks at the food that the patient is asking for to eat. There was a patient who asked for food by saying, “Bring me some potatoes.” Their guardians replied, “Calm down and we will bring them to you.”

These people, although they did not have those potatoes, searched for them until they found and sent them to their patient. That is why they called what the patient wanted, “the desired by a patient.”

This saying is likened to a man who knows how take good care of his patients, throughout his life. This man strives to provide his patients with what they want until he gets it even by using his own property, in his life. He uses his true love to provide the sick persons with the food they need, whenever they do so.

This person is like the patient care taker who provided their sick with needed potatoes, because he also takes care of his patients by providing them with their special needs in life. That is why he calls what the patient wants, “the desired by a patient.”

The saying teaches people on how to take good care of their patients by providing them with the food they need, so that they can take needed medicine and recover quickly in their lives.

Mark 1: 29-31.

John 19: 28-29.

 

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.