788. NG’OMBE JIGALEKA JULUGU.

Ulusumo lunulo, lulolile bhuleki bho julugu bho ng’ombe ijo jikalaga mulugutu lulebhe bho likanza lilihu. Ijulugu jinijo, jilitembe ijo jigamanaga jukwijiwa ni ng’ombe jinijo mpaga nose jigabhizaga julugu.

Ing’ombe jinijo jigamanaga jiyongeja hado hado itembe yiniyo mpaga nose igakwilaga jawiza julugu ja guponela jiliwa ijo jilahambwe hoyi. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “ng’ombe jigaleka julugu.”

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kubhanhu abho bhigikalaga muchalo chiza bho shigu ninge, mpaga bhukumuka umuchalo jinijo. Abhanhu bhenabho bhagidebha na bhananzengo bhichabho bhiza kunguno ya gwiyambilija gutumama milimo yabho chiza, umukikalile kabho. Abhoyi bhagakumukaga noyi umunzengo gobho kunguno ya gwikala bho mholele na bhichabho, umukikalile kabho.

Abhanhu bhenabho, bhagikolaga ni ng’ombe ijo jigaleka julugu, kunguno nabhoyi bhagimanaga na bhanhu mpaga bhaleka nhungwa jawiza ijo bhadulile gwilanga abhamuzengo gobho. Hunagwene abhanhu, bhagabhitanaga giki, “ong’ombe jigaleka julugu.”

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gwikala bho mholele na bhichabho, umuchalo jabho, kugiki bhadule gwiyambilija ugutumamama imilimo yabho chiza, umuwikaji bhobho.

Mathayo 28:16-20.

Yohana 13:34-35.

KISWAHILI: NG’OMBE WALIACHA LUTUBA.

Methali hiyo, yaanganlia uachaji wa lutuba wa ng’ombe ambao waliishi zizini kwa muda mrefu. Lutuba hiyo, ni kinyesi cha ng’ombe ambacho huendelea kuongezeka ndani ya zizi hilo kwa kadiri ng’ombe hao wanavyozidi kuishi humo.

Ng’ombe hao, hukiongeza kinyesi hicho wanapojisaidia wakiwa ndani ya zizi hilo, mpaka mwishowe wanaacha lutuba wanapohama. Sehemu hiyo, huweza kuivisha vizuri mazao mbalimbali yanayopandwa hapo. Ndiyo maana watu husema kwamba, “ng’ombe waliacha lutuba.”

Methali hiyo, hulinganishwa kwa watu walioishi kwenye kijiji fulani mpaka wakaondoka humo wakiwa wamefahamika kwa watu wengi. Watu hao, waliishi kwa kuelewana vizuri na watu wa kijiji hicho, kwa sababu ya namna walivyosaidiana nao katika utekelejaji wa majukumu yao. Wao walifahamika sana kwa wanajiji hao, kwa sababu ya kuishi kwa amani nao, katika maisha yao.

Watu hao, hufanana na wale ng’ombe walioacha lutuba ya kusitawisha mazao vizuri, kwa sababu nao, waliacha mfano mzuri wa kuigwa na wana kijiji hao, katika kuyaishi maadiri mema. Ndiyo maana watu waliwapatia jina la “ng’ombe waliacha lutuba.”

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuishi kwa amani na wenzao katika vijiji vyao, ili waweze kusaidiana vizuri katika kuyatekeleza majukumu yao, maishani mwao.

Mathayo 28:16-20.

Yohana 13:34-35.

cow1

cow3

cow4

ENGLISH: COWS LEFT FERTILITY.

The above proverb focuses on a fertile soil that has been left by cattle which lived in the barn for a long time. This fertile soil is known as cow dung manure that continues to grow in that cowshed as the cows continue to live there.

These cows add their stool to that soil as they defecate inside the barn, until they finally stop doing so when they move. In that part of the land, you can make the most of variety of crops which are grown there. That is why people say, “cows left fertility.”

This proverb is likened to people who lived in a certain village until they became well known by many people who stayed with them. These people lived in harmony with the people of that village, because of the way they assisted them in carrying out their duties. They became very well-known to the villagers, because of their peaceful coexistence with them, throughout their lives.

These people are like the cows that left the fertile soil enough to produce good crops, because they, too, set a good example for the villagers, in living a good life. That is why people say to them, “cows left fertility.”

This proverb teaches people on how to live in peace with their neighbors in their villages, so that they can help each other better in carrying out their daily responsibilities in their lives.

Matthew 28: 16-20.

John 13: 34-35.

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.