787. NDALAHI WA LIFA AGAGULEKA GUGULU GUBHIMBA.

Oliyo hoyi munhu umo uyo alioching’wa lifa aha guguku gokwe. Umunhu ng’wunuyo, agalidahijaga ilifa linilo bho nduhu ugulyinja moyi. Abhiye bhagang’wila, “likulage ilifa linilo wangu ligugubhimbya ugugulu goko.” Uweyi agashosha, “akalifa kenaka kadoo noyi ako duhuyi.” Aho olileka ugulyinja ilifa linilo, gugabhimba ugugulu gokwe gunuyo mpaga ushaka gwizuka giki niozunya ugulidubula nigudabhimbile ugugulu gokwe gunuyo. Hunagwene abhanhu bhagang’wila  giki, “ndalahi wa lifa agaguleka gugulu gubhimba.”

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agajidahijaga iginhu ijo jidulile gung’wenhela makoye, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, adaidililaga imihayo iyo bhaling’wila abhiye, kunguno ya libhengwe lwakwe. Uweyi agisangaga wingilaga mumakoye nayo oliadulile ugugiliga, ulu nioidilila imihayo iyo bhang’wilaga abhiye.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agalidahija lifa bho gulileka ugulidubula, mpaga nose gubhimba ugugulu gokwe, kunguno nu weyi agaidalahijaga imihayo iyo bhaling’wila abhiye, aliyo idulile gung’wambilija, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “ndalahi wa lifa agaguleka gugulu gubhimba.”

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya kuleka nhungwa ja gujidahija iginhu mumho jigadohela kunguno jidulile gubhenhela makoye, umukikalile kabho, kugiki bhadule gugiliga amakoye genayo, na gwikala na bhuyegi, umuwikaji bhobho.

Mathayo 14:9-10.

Luka 9:7-9.

KISWAHILI: MDHALAU MWIBA ALIUACHA MGUU UKAVIMBA.

Alikuwepo mtu mmoja ambaye alichomwa mwiba mguuni mwake. Mtu huyo, aliudharau ule mwiba kwa kuucha bila kuutoa mguuni mwake. Wenzake walimwambia, “ung’oe huo mwiba mapema utauvimbisha mguu wako.” Yeye alijibu, “kamwiba haka ni kadogo mno nikaache tu.” Alipouacha ule mwiba, mguu wake ulivimba mpaka akaanza kujutie kutokukubali kuutoa mapema. Ndiyo maana watu walimwambia kwamba, “mdharau mwiba aliuacha mguu ukavimba.”

Methali hiyo, hulinaganishwa kwa mtu yule ambaye huvidharau vitu vinavyoweza kumletea matatizo katika maisha yake. Mtu huyo, huyadharau maneno  ya wenzake wanaomshauri kwa kumtakia mema, kwa sababu ya dharau yake hiyo. Yeye hujikuta ameingia kwenye matatizo hata yale ambayo angeweza kuyatatua kama angeyasikiliza maneno ya wenzake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyeudharau mwiba kwa kuuacha mguuni mwake bila kuung’oa, mpaka mguu wake ukavimba, kwa sababu naye huyadharua maneno ya wale wanaomshauri, ili asiingie matatizoni maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “mdharau mwiba aliuacha mguu ukavimba.”

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuacha tabia ya kuvidharua vitu hata vikiwa vidogo kiasi gani, kwa sababu vinaweza kuwaletea matatizo, katika maisha yao, ili waweze kuyakwepa matatizo hayo, na kuishi kwa furaha maishani mwao.

Mathayo 14:9-10.

Luka 9:7-9.

thorns

thorn1

thorn

ENGLISH: THE  ONE  WHO  DESPISES  A  THORN, MAKES  ONE  LEG  SWOLLEN.

There was a man who had a thorn in his leg. He in turn, despised it by leaving it without removing from his leg. His colleagues told him, “Remove that thorn too early it will swell your foot.” He replied, “This thorn is too small for me to leave.” When he let it go of the thorn, his leg became swollen until he began to regret it. That is why people said to him, “the  one  who  despises  a  thorn, makes  one  leg  swollen.”

This proverb is applied to the person who despises things that can cause him problems in his life. Such a person despises the words of his colleagues who advise him by wishing him well, because of his contempt. He finds himself in trouble with those problems which he could have solved if he had listened to the advises of his fellows.

He is like a man who looked down at his thorn by leaving it in his foot that caused it to swell, because he also refuses advises of others in his life. That is why people say to him, “the  one  who  despises  a  thorn, makes  one  leg  swollen.”

This proverb teaches people on how to stop despising things no matter how small, because they can bring them problems, in their lives, so that they can avoid them, and live happily in their lives.

Matthew 14: 9-10.

Luke 9: 7-9.

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.