786. NANDI WA NZAGAMBA ADIGASHAGA.

Oliyo munhu uyo agaja gujulanda nzagamba habhuzenganwa. Aho oshika aha kaya yiniyo, agandya guhoyela mihayo yingi duhu, bho nduhu uguyimba ishida yakwe. Nose wiza munhu ungi uyo nang’hwe olandaga nzagamba uyomba, “nizagulanda nzagamba aha kaya yiniyi.” Ung’winikili nzagamba agang’wila, “tulaga yiyo aho.”

Umunhu uyo oli otonga uguja aha kaya yiniyo, nang’hwe agayomba, “nane nizaga gulanda nzagamba.” unsabhi unshokeja, “wishigilwa lulu nu ng’wiyo, iki oliokelejaga ugulomba.” Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “nandi wa nzagamba adigashaga.”

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agalombaga bhugunanwa kubhiye bho gushiga na guguyombaga umhayo gokwe uyo gonchalaga hoyi. Umunhu ng’wunuyo, adadililaga milimo yingi ulu alitumama nimo nhebhe, kunguno adebhile igiki adulile gwishigilwa na bhiye. Uweyi agapandikaga matwajo mingi kunguno agashigaba na gugutimija umhayo uyo gonchala ahenaho, bho nduhu ugwigasha tamu.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nu nandi o nzagamba uyo agapandika bho bho gushiga na gulomba, kunguno nuweyi adadililaga milimo yingi ulu obhuchaga nimo nhebhe.  Agagumalaga tamu unimo gokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “nandi wa nzagamba adigashaga.”

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gudilila milimo yabho chiza bho nduhu ugwigedyagedya, umukikalile  kabho, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho.

Mathayo 19:30.

KISWAHILI: MWAZIMA FAHALI HAKAI.

Alikuwepo mtu aliyeenda kuazima fahali kwa jirani yake. Alipofika kwenye familia hiyo, alikaa na kuanza kuongelea mambo mengine tu badala ya kuitaja kwanza shida yake. Mwishowe akaja mtu mwingine aliyekuwa na shida hiyo akasema, “naazima fahali kwenye familia hii.” Mwenye fahali alimwambia, “swaga ile pale.”

Naye mtu aliyeanza kufika pale akaomba, “nami nimekuja kuazima fahali.” Tajiri akamjibu, “umewahiwa basi, kwa vile umechelewa kuomba.” Ndiyo maana watu husema kwamba, “mwazima fahali hakai.”

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule anayetafuta msaada kwa mwenzake, kwa kufika na kuisema shida yake bila kukawia, katika maisha yake. Mtu huyo, hacheleweshi na mambo mengine anapoamua kutelekeza jambo fulani, kwa sababu anaelewa hasara ya kuwahiwa na wenzake kupata mafanikio. Yeye hupata mafanikio mengi, kwa sababu ya kujali jambo moja kwa wakati mmoja, bila kukaa kwanza, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na mwazima fahali aliyempata kwa kufika na kutaja shida yake bila kukawia, kwa sababu naye hufuatilia kazi yake mpaka anaimaliza vizuri. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “mwazima fahali hakai.”

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kujali kazi zao kwa kuzifuatilia mpaka mwisho, bila kupoteza muda wao kwenye kazi zingine, katika maisha yao, ili waweze kupata mafanikio mengi, maishani mwao.

Mathayo 19:30.

 

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.