Research sponsored by: Don Sybertz, with special thanks to Rev Joe Healey (African Proverbs, Sayings and Stories)
Imbuki ya lusumo lunulo ilolile mhayo uyo gub’isile umung’holo iyo ilimujibha ja ng’wa munhu. Umunhu ng’wunuyo ulu aduguhayaga umhayo gunuyo uyo gulihoyi umung’holo yakwe, mdugumana. Ijikubha jigalenganijiyagwa ni isenge, kunguno ulu jikolo jitulile kumpindo mudujibhona abhangi.
Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kubhanhu abho bhagab’isaga makoye gabho, nulu bhusatu bhobho. B’adab’awilaga abhichabho amakoye gabho nulu isada jabho. Amakoye genayo gagakulaga mpaga galemela ugwinjiwa. Nose gagabhinjaga kuwelelo, hunaho abhanhu abha munzengo gunuyo bhagayombaga giki, “Mujibha ja ng’wa munhu isenge liliho.’
Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya kuleka gubhisa makoye gabho, kunguno amakoye genayo gadulile kukula mpaga gubhalemela uguginja. Yigelelilwe abhanhu abho bhalina makoye ga bhusatu guti genayo, bhab’achale kusitali bhagalagulwe haho gatali ugukula, kugiki bhadule ugupila.
Warumi 16:25-26.
1Kor 2:9-11.
Mathayo 13:10-11.
KISWAHILI: KIFUANI MWA MTU KIFICHO KIMO
Chanzo cha methali hiyo huangalia neno au tatizo lililofichwa ndani ya moyo ulioko kifuani mwa mtu. Mtu huyo asipotaka kuwaambia tatizo au neno hilo lililopo ndani ya moyo wake, hamtalifahamu. Kifua hulinganishwa na kificho kwa sababu kitu kikiwekwa kwenye kificho humtakiona ninyi wengine.
Methali hiyo hulinganishwa kwa watu wale wafichao matatizo au magonjwa yao. Watu hao huwa hawawambii wenzao matatizo au ugonjwa wao. Matatizo hayo hukua mpaka kufikia hali ya kushindikana kutatuliwa. Mwishowe hufikia hatua ya kusababisha kifo kwao, ndipo waishio karibu nao kugundua uwepo wake matatizo hayo kwa watu hao, na kusema, ‘kifuani mwa mtu kificho kimo.’
Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuacha kuficha matatizo yao kwa sababu matatizo hayo yaweza kukua mpaka kufikia hatua ya kuwaondolea uhai wao. Yafaa watu walio na matatizo yakiwemo yale ya ugonjwa, wayapeleke watu hao kutibiwa mahospitalini, kabla hayajafikia hatua ya kuhatarisha maisha yao, ili waweze kupona.
Warumi 16:25-26.
1Kor 2:9-11.
Mathayo 13:10-11.
ENGLISH: A PERSON’S CHEST IS A HIDING PLACE
The above proverb literally looks at the human character of keeping secrets. People are known to conceal their Issues or troubles within their chests, that is, in their hearts. As such, it is difficult for anyone to tell what the other person’s heart holds. The chest is compared to a hiding place, like a cave, because it hides things from view.
The proverb is compared to those who hide their problems or illnesses from the knowledge of others. Consequently, their problems grow until they become impossible to solve, reaching a point of becoming fatal to them. It is usually at this point that neighbors get to learn of the afflictions of the troubled person. Then they would say, ‘A person’s chest is a hiding place.’
The proverb teaches people to avoid hiding their problems because those problems can escalate to a point of causing harm, including loss of life. It is therefore important that people use the earliest opportunity to detect and share what ails them, to avert disaster.
Romans 16: 25-26.
1 Corinthians 2: 9-11.
Matthew 13: 10-11.
The proverb is wonderful
LikeLike