214. UYO ADADULILE UGUKUNGILA ADUBHULAGA INDIMU

Research sponsored by: Don Sybertz, with special thanks to Rev Joe Healey (African Proverbs, Sayings and Stories)

Imbuki ya lusumo lunulo ilolile b’alingi b’a ndimu. Umunhu ulu ahayile gub’ulaga ndimu igelelilwe agolanye ijilanga ja gub’ulagila giti masonga, ichumu, na ngong’ho, kugiki adule uguib’ulaga.  Amane uko lulolile uluyaga, na adule ugujikungila indimu jinijo. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘uyo adadulile ugukungila adub’ulaga indimu.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo alinawitegeleja bho gub’iza na bhugolanya b’ushiganile haho adinita nimo gosegose undimu. Umunhu ng’wunuyo agapandikaga matwajo mingi umubhutumami bho milimo yakwe. Adebhile igiki ‘uyo adadulile ugukungila adubhulaga indimu.’

Ugudula ugukungula igalenganijiyagwa na gub’iza na bhugolanya ubho bhushiganile, haho munhu adinita nimo gosegose undimu. Ugub’ulaga indimu ilenganilile na gupandika matwajo mingi kwingila mubhutumami bho mumilimo yakwe umunhu ng’wunuyo.

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya gubhiza na witegeleja bhogugolanya gushiganile, haho bhadinita nimo gosegose undimu. Uwitegeleja bhunubho bhugabhambilijaga abhanhu bhenabho ugupandika amatwajo amingi, umumilimo yabho, ayo dadulile gujichala bhutongi ikaya jabho.

Yigelelilwe abhanhu bhenabho bhab’ize na witegeleja bho gugolanya gushiganile haho bhatali ugwandya uguitumama imilimo yabho, kugiki bhadule ugupandika amatwajo agagujibheja chiza ikaya jabho.

Matendo 20:29.

Waroma 16:19.

Mathayo 10:16.

Yohana 10:12.

KISWAHILI: ASIYEWEZA KUNYEMELEA HATAUA MYAMA PORI

Chanzo cha methali hiyo huangalia wawindaji  wenye vibali harali vya kuwindia wanyama pori. Mtu akitaka kuua mnyaga pori hutakiwa kuwa na maandalizi ya kuchukua silaha za kuulia kama vile: mishale, mkuki, na bunduki ili aweze kufanikisha lengo lake hilo. Hutakiwa kufahamu pia mwelekeo wa upepo na kuwa na uwezo wa kuwanyemelea wanyama hao. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘Asiyeweza kunyemelea hutaua mnyama pori.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu mwenye umakini wa kufanya maandalizi yaliyo kamilika kabla ya kuanza kufanya kazi yoyote iliyo ngumu. Mtu huyo hupata mafanikio mengi katika kazi zake kwa sababu afahamu kwamba, ‘asiyeweza kunyemelea hataua mnyama pori.’

Kuweza kunyemelea hufananishwa na kuwa na maandalizi makamilifu kabla ya kufanya kazi yoyote ile iliyo ngumu. Kuua mnyama pori hulinganishwa na kupata mafanikio ya kutoka kwenye kazi yake mtu huyo.

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuwa na umakini wa kufanya maandalizi makamilifu kabla ya kufanya kazi yoyote ile iliyo ngumu. Umakini huo huwasaidia watu hao katika kupata mafanikio mengi kwenye kazi zao yawezayo kuziendeleza vizuri familia zao.

Yafaa watu hao wawe na umakini wa kujiandaa kikamilifu kabla hawajaanza kuzifanya kazi zao ili waweze kupata mafanikio ya kuweza kuziendesha vizuri familia zao.

Matendo 20:29.

Waroma 16:19.

Mathayo 10:16.

Yohana 10:12.

the-man-watering can

ENGLISH: HE/SHE WHO DOES NOT KNOW HOW TO STALK CANNOT KILL PREY

The overhead proverb relates to hunting wild game, especially by those who are licensed to do so. If a hunter intends to accomplish his/her goal, the person must be sufficiently prepared with suitable weapons like: arrows, spears and rifles. And apart from being able to tell the direction of the wind, the hunter should also have the capacity to stealthily stalk or track the animals. This is why people would say, “He/she who does not know how to stalk cannot kill a wild animal.”

The proverb is compared to a person who is careful to do thorough preparation before undertaking any difficult task. Such a person is sure to achieve a lot of success in his/her endeavors, with the realization that ‘He/She who knows not how to stalk cannot kill a wild animal.’

‘Procrastination’ is a term used to mean not having thorough preparation before undertaking any difficult task. It is compared to laziness. On the other hand, killing a wild animal is compared to gaining the success of a job.

The proverb teaches people to be keen on making proper preparations before undertaking any task. This principle would help them achieve more success in their activities, which would in turn guarantee better families.

Acts 20:29.

Romans 16:19.

Matthew 10:16.

John 10:12.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.