79. Jigano: Ngikulu Na Makelule Gakwe

Collected by: Don Sybertz,

With special thanks to Rev Joe Healey (African proverbs,Sayings and stories)

Kale ya kale waliho ngikulu umo, lina lyakwe witanagwa Yamikala. Aliyo wali nogi ntale no. Na wali na makelule mingi ga nyalogi logi. Bhanhu bhali bhang’ogohile no.

Hambunu muchalo jenijo ja si ya Makungu, ikajuka sata, bhanhu bhuyucha no. Bhazengi bha Si yeniyo, bhali bhatazunyaga giki ili sata ya gwenhwa na Welelo. Maganiko gabho pye gabhatumaga giki bhanhu bhalimalwa na gamboshi ya ng’wa Yamikala.

Sha lushiku lumo bhazengi bhakafula mhembe ya kwibhilinga. Aha bhakwila bhituma bhanjile uYamikala nogi. Bhize bhamuje ni bhuli bhanhu bhabho alibhamala.

Aha bhituma guja, Yamikala wikalaga na salago na kanoni, aliyo salago jikabhina na kanoni kung’wila- “Yamikala simizaga, bhaliza bhanishi.” Haho na haho Yamikala na kizukulu gakwe kaniki bhufuma bhuja mungunda, bhukingila nguno gwali hihi haho.

Aho bhashika abhatung’wa bhenabho hakaya henaho, bhusanga nduhu nulu munhu. Gashinaga umo wa bhanhu uyo wali bihi wamonaga ungikulu ng’wenuyo aho alingila umungunda. Ubhawila, aho bhigwa giko, bhituma bhugiza pye bhugunyamanija ungunda.

Hambunu aho wabhona chene Yamikala, wigalucha ubhiza Dundo pye na kizukulu gakwe. Bhulala kwigulya bhuja na guja, bhugagwila kule gete.

Bhang’wano bhakiyunga bhatabhonile nuluki, pye bhumana hape giki idundo jenijo wali nu Yamikala na kizukulu gakwe. Bhubalasana bhuja bhuli ng’wene kaya, kulwa yeniyo, aho jakwila shiku, Yamikala wiza bhujiku na bhiye, usomba pye ishikolo shakwe usama na gusama.

Kwinga henaho ichalo ju hola. Aliyo uko agasamila Yamikala –aha jakwila ishiku, chalo ijo ju sebha, nose abha munzengo bhuyu nkobha kuntema panga, aliyo bhakaduma. Nose Yamikala uyuhaya, “Unene nabhiza shigishigi ulu unifuta munhu.”

Sha lushiku lumo, Yamikala usata no. Akagema pye inzila ija kwilagula uduma. Ubhawila abhahemba bhakwe giki, “Ng´wizukulu wane, ludimilage ululembo ulwangalile. Kwike umane giki, Welelo italemelagwa. Gisi unene yaniduja, nduhu natupila gete. Ucha na kucha.

Kiswahili: Hadithi: Bibi Kizee Na Udanganyifu Wake

Zamani za kale alikuwepo Bibi kizee, jina lake aliitwa, Yamikala. Alifikiriwa kuwa mchawi na watu wapigao ramli. Alikuwa na udanganyifu mkubwa wa kimazingaombwe. Watu walimwogopa sana.

Hivyo katika kijiji hicho cha nchi ya Makungu, uliingia ugonjwa. Watu walikuwa wanakufa mno. Wakaaji wa nchi hiyo, hawakukubali kwamba ugonjwa huo uliletwa na Mungu. Mawazo yao yote yaliwatuma kwamba watu wanamalizwa na gamboshi ya mwana Yamikala.

Ilifika siku moja wakaaji walipuliza pembe ya kukusanyika. Walipokuwa wengi wakatumana kumwendea yule Yamikala waliyemfikiria kuwa mchawi. Lengo lao lilikuwa kuja kumuuliza ni kwanini alikuwa anawamaliza.

Walipotumana kwenda, Yamikala alikuwa na chale (hisia za kutambua kitu fulani kinatokea) na ndege. Chale zilicheza na ndege kumwambia, “Yamikala tembea, wanakuja maadui.” Hapo Yamikala na kajukuu kake kasichana, wakatoka kwenda shambani, wakaingia kwa sababu lilikuwa karibu hapo.

Walipofika wale waliotumwa nyumbani kwake hawakukuta hata mtu. Kumbe mmoja wa watu waliokuwa karibu walimuona akiingia shambani humo. Akawaambia, waliposikia hivyo, wakatumana wote wakaja wakalizingila shamba hilo.

Hivyo, alipoona hivyo Yamikala, akajigeuza akawa ndege aitwaye “Dundo” wakaluka juu wakaenda, wale watu wakakosa kabisa mle.

Watu wa yowe walizunguka bila kuona hata kitu. Wote wakajua wazi kwamba, ndege yule “dundo” walikuwa Yamikala na kijukuu chake. Wakasambaa wakaenda kila mmoja nyumbani kwake. Kwa hiyo, zilipopita siku nyingi, Yamikala alikuja usiku na wenzake. Akasomba vitu vyake akahama.

Tokea hapo kijiji kikawa kimepoa. Lakini alikohamia Yamikala, zilipopita siku nyingi, watu walianza kuamini kuwa kijiji hakikuwa sawa. Hali hiyo wale wakaaji wanaomini hivyo, wakaanza kumtafuta kumkata panga, lakini walishindwa. Mwishowe Yamikala, akawa anasema akitamba kuwa, yeyé alikuwa tishio, mtu akimfuata atakufa.

Siku moja, Yamikala aliuugua mno. Alijaribu njia zote za kujiuguza akashindwa. Akawaambia wafuasi wake hivi, “Mjukuu wangu, shikilila dhana hii uitunze. Lakini ufahamu kwamba, Mungu hakataliwi. Hivi mimi ameniweza, hapana sitapona kabisa. Baada ya kusema hivyo, akafa.

(Hadithi hiyo, inafundisha kwamba, Mungu ana uwezo mkubwa kupita shetani. Yafaa tumwamini Mungu na kumfuata Yesu kwa Imani moja iliyo ya kweli).

old-lady

ENGLISH: THE OLD LADY’S STORY AND HER DECEPTION

In ancient times, there was an old woman, whose name was Yamikala. She was thought to be a witch by fortune-tellers. She had a great deception. People feared  her a lot.

So in the village of Makungu, there was a disease outbreak. So many people were dying. The inhabitants of the country did not accept that the disease was brought by God. All their thoughts sent them to the people of the Gamboshi (a believed town of witches) especially Ng’wana Yamikala.

There came a time when the residents decided to call a meeting. They blew a horn to make them assemble. When they were in a good number, they discussed and concluded  that Yamikala was the sorcerer who caused trouble. Their goal of the meeting was to ask her why she was finishing them.

When they got to go, Yamikala had some intuitive power (that enabled her to sense that something bad would happen). That power made  the bird tell her, “Yamikala leave.The enemies are coming.” Yamikala and her granddaughter went out to the field.They entered into it because it was nearby.

When they came to her house, they did not find anyone. One of the people in the neighbourhood said he had seen her going into the field. When they had heard these things, they surrounded the field.

So, when she saw the danger surrounding her, Yamikala turned herself into a bird called “Dundo.”She flew up and went away.

The crowd went around without seeing anything. They all knew that, Yamikala and her grand daughter had been turned in “Dundo.” Then, the crowd went home. So, after many days, Yamikala came at night with her colleagues. She picked up her things and moved.

Since then the village has became calm. But whereYamikala moved to, after many days, people began to believe that the village was not the same. The people who lived in that new country wanted to kill her. But they failed. Finally, Yamikala, started to boast herself, saying that she was a threat, if a person followed her, that person would die.

One day, Yamikala fell sick. She tried all the ways of self-indulgence but in vain. Seeing this, she told her follower, “My grand daughter, hold on to this concept that you are holding. But realize that God is not rejected. So I have, I will never recover. After saying this, she died.

(That story teaches that God has greater power than Satan. It requires us to believe in God and follow Jesus with one true faith.”

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.