sayings

1100. MANASU GA NZWILA KU NGONGO.

Akahayile kenako, kalolile bhutuji bho manasu bho ng’wa munhu nhebhe. Umunhu ng’wunuyo, oli na ng’wana okwe uyo agahubha ginhu jidoo duhu uweyi wandya guntula manasu ukungongo gokwe ung’wana ng’wunuyo, mpaga nose guleka mheng’ho kunguno ya bhukale bhokwe bhunubho. Amanasu genayo gagabhiza guti galinzwila ukungongo ung’wana ng’wunuyo. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “manasu ganzwila kungungo.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo alinabhupelanu bho gubhatula sagala abhana bhakwe, aha kaya yakwe. Umunhu ng’wunuyo, agikalaga na bhukali bho gubhatula abhana bhakwe bhenabho nulu bhahubhaga hadoo duhu, kunguno ya bhupelanu bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe.  Uweyi agabhalabhulaga bho gubhitila malonda ukumimili yabho abhanhu bhakwe bhenabho, kunguno ya gubhatula sagala, umukikalile kakwe kenako.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agantula manasu ung’wana okwe mpaga unhekela lumeng’ho, kunguno nuweyi agabhatulaga abhana bhakwe mpaga obhitila malonda, umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “manasu ganzwila ku ngongo.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya guleka bhukali bho gutula bhanhu sagala bho gubhahugula chiza abhichabho bhenabho, kugiki bhadule gujilela chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Mithali 23:13 -14.

Mithali 27:5.

Mithali 3:11-12.

KISWAHILI: FIMBO ZIMEMWOTA MGONGONI.

Msemo huo, huangalia upigaji wa viboko wa mtu fulani. Mtu huyo, alikuwa na mtoto wake ambaye alimkosea kidogo tu na yeye akaanza kumpiga viboko vya mgongoni mpaka vikaacha alama, kwa sababu ya ukali wake huo. Alama za viboko hivyo, zilikuwa kama vimeota kwenye mgongo wa mtoto huyo. Ndiyo maana watu walisema kwamba, “fimbo zimemwota mgongoni.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye anahasira za kuwapiga hovyo watoto wake, kwenye familia yake. Mtu huyo, huwa na hasira za kuwapiga watoto hao hata kama wanakosa dogo kiasi gani, kwa sababu ya ukali wake huo, maishani mwake. Yeye huwasababishia kuwa na madonda watoto wake hao kwa sababu ya kuwapiga bila sababu za msingi, katika maisha yake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyempiga mtoto wake viboko mpaga vikaacha alama, kwenye mgongo wake, kwa sababu naye huwapiga hovyo watoto wake mpaga anawaachia alama kwenye miili yao. Ndiyo maana watu huwaambia watoto wake hao, kwamba “fimbo zimemwota mgongoni.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuachana na hasira za kupiga watu hovyo kwa kuwaonya vizuri na kwa upole, ili waweze kuzilea vyema familia zao.

Mithali 23:13 -14.

Mithali 27:5.

Mithali 3:11-12.

fashion-4725391__480

ENGLISH: THE STICKS HAVE GERMINATED ON HIS/HER BACK.

This saying looks at the whipping of someone. There was a man who had a son in Shiyanga. His son wronged him in just a small matter. Such man started beating him on the back until the sticks left marks, because of his severity. The marks of the whips, were as if they had grown on the child’s back. That is why people said that, “sticks have germinated on his/her back.”

This saying is compared to the person who easily becomes angry by beating his children carelessly, in his family. Such person becomes very angry to the point of hitting his children no matter how little they miss, because of his severity, in his life. He causes his children to have wounds because of beating them for no reason, in his life.

This person is like the one who spanked his child to the point of leaving marks on his back, because he also beats his children carelessly and leaves marks on their bodies. That is why people say to his his children that “sticks have germinated on his/her back.”

This saying teaches people to get rid of the anger of hitting people carelessly by warning them well and gently, so that they can peacefully raise their families.

Proverbs 23:13-14.

Proverbs 27:5.

Proverbs 3:11-12.

1099. GUPEJA CHENGE.

Oliyoyi munhu uyo ugalya jiliwa mpaga ubhimbelwa. Unhumbi yakwe umunhu ng’wunuyo yigabhipa mpaga uyunya minzi minzi nhangala ningi.

Kuyiniyo lulu, ugupeja chenge iligunya bhuli ikanza bho gushigilija mhayo ng’winikili giki, gupeja linya aliyo lya nhangala na nhangala. Hunagwene umunhu ng’wunuyo, agapandika ikoye lya “gupeja chenge.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agajitumilaga sagala ijikolo jakwe ijo agajipandikaga umubhutumami bhokwe. Umunhu ng’wunuyo, agajikenagulaga sagala isabho jakwe bho gung’wa walwa mpaga obhitilija wandya gudukila bhanhu sagala kunguno ya gulewa walwa chiniko. Uweyi agapandikaga mamihayo mingi, kunguno ya gujitumila sagala isabho jakwe bho gulewa walwa chiniko, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agalya jiliwa mpaga ubhimbelwa na gwandya gupanza, kunguno nuweyi agajikenagulaga sagala isabho jakwe bho gung’wa walwa mpaga olewa na gupandika mamihayo mingi, umukikalile kakwe kenako. Hunagwene agapandikaga ikoye lya “gupeja chenge.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya guleka gujitumila sagala isabho jabho bho gujitumila chiza, kugiki jidule gubhambilija chiza umuwikaji bhobho.

Mithali 23:20.

Mithali 25:27.

 

KISWAHILI: KUKIMBIZA MWENGE.

Alikuwepo mtu mmoja ambaye alikula chakula mpaga akavimbiwa. Tumbo lake mtu huyo, lilichaguka mpaka akaanza kwenda chooni mara kwa mara na kusaidia kinyezi kwenye maji maji.

Kwa hiyo, neno kukimbiza mwenge kwake mtu huyo, ni kuharisha mara kwa mara. Watu husema kukimbiza, halafu yeye mwenyewe humaliza, akielewa kwamba ni kuharisha mara kwa mara. Ndiyo maana watu walimwambia mtu huyo kuwa, alipata tatizo la “kukimbiza mwenge.” 

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huzitumia hovyo mali zake anazozipata, katika kazi zake. Mtu huyo, huziharibu mali zake hizo kwa kuzinywea pombe mpaga analewa na kuanza kutukana watu kwa sababu ya kulewa pombe hiyo. Yeye hupata matatizo mengi katika maisha yake, kwa sababu ya matumizi yake hayo mabaya ya mali zake, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyekula chakula mpaga akavimbiwa na kuanza kuharisha, kwa sababu naye huitumia vibaya mali yake kwa kulewa pombe mpaga anapata matatizo mengi, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, anatatizo la “kukimbiza mwenge.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuacha matumizi mabaya ya mali zao kwa kuzitumia vizuri, ili ziweze kuwasaidia kwa kipindi cha muda mrefu, maishani mwake.

Mithali 23:20.

Mithali 25:27.

skateboarding-983347__480

ENGLISH: CHASING A TORCH.

There was a man who ate food and he became constipated. This man’s stomach was so upset that he started to go to the toilet regularly for answering a call of nature that was bowels of the water.

Therefore, the word to chase the torch to that person means frequent diarrhea. People say to chase, and then he himself finishes, understanding that it is frequent diarrhea. That is why people told the man that he had a problem of “chasing a torch.”

This saying is related to a person who uses his assets carelessly in his work. This person destroys his properties by drinking alcohol. He become a drunkard who gets drunk and starts insulting people because of such alcohol. He gets many problems in his life, because of his misuse of wealth.

This person resembles the one who ate food and became constipated to the point of starting to have diarrhea, because he also misuses his wealth by drinking too much alcohol until he gets many problems in his life. That is why people tell him that he has a problem of “chasing a torch.”

This saying imparts in people an idea of stopping to abuse their assets by using them properly, so that they can help them for a long time, in their lives.

Proverbs 23:20.

Proverbs 25:27.

 

1098. JISEME JAJAGA HEKE.

Imbuki ya kahayile kenako, ilolile kayombele ka bhupeja bho jiseme ja muminzi. Uguja heke kali kajile ka makoye aka jigapandikaga ijiseme jinijo ahikanza lya mahuli, malunde nulu luyaga na gujita ijiseme jinijo jib’ize mumayanga.

Umpeja o jisema jinijo, aha adakililwe ayombe giki jiseme jili mumayanga agacholaga kayombele kabupu akaguleka ugubhogohya abhanhu bhakwe. Hunagwene agayombaga giki, “jiseme jajaga heke.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agabhatongelaga abhanhu bhake jisoga uyo adebhile ugubhalunguja abhanhu bhakwe ulu bhapandika mayanga, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, abhatongelaga abhanhu chiza bho guhoya nabho kugiki agigwe amiganiko gabho kunguno aliyidebhile isolobho ya miganiko gabho genayo agawiza, umubhotongeji bhokwe. Uweyi agabhalungujaga abhanhu nu mumakanza agamayanga bho guhoya nabho chiza, kunguno ya bhutungilija bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe.

Umhunhu ng’wunuyo agikolaga nuyo agabhalunguja chiza abhanhu abho bhikalaga mujiseme ja muminzi ijo jigapandika makoye, kunguno nuweyi agabhalungujaga abhanhu abho bhali na makoye. Huna gwene agabhawilaga abhanhu bhenabho giki, “jisema jajaga heke.”

Akahayile kenako kalanga bhatongeji bha bhanbu higulya ya gubhiza na widohya bho gubhalunguja chiza abhichabho abho bhali na mayanga, kugiki bhadule kujibheja chiza ikaya jabho, umuwikaji bhokwe.

Yohana 1:4-6.

Luka 8:22-23.

Matendo 27:13-20.

KISWAHILI: CHOMBO KINAENDA MRAMA.

Chanzo cha msemo huo huangalia lugha ya wanamaji waendeshao chombo cha majini. Kwenda mrama ni kuendelea na safari katika hali ya misukosuko ambayo chombo hicho huyapata wakati wa dhoruba, mawingu au tufani na kukifanya choncho hicho kiwe hatarini.

Nahodha wake badala ya kusema kwamba chombo kipo katika hali ya hatari hutafuta lugha nyepesi isiyoshitua watu. Ndiyo maana yeye husema kwamba, “chombo kinaenda mrama.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huwaongoza watu vizuri anayefahamu kuwatuliza watu wake hao wakipata jambo fulani katika kazi yake.

Mtu huyo, huwaongeza watu wake vizuri kwa kuongea nao ili asikie mawazo yao kwa sababu anazifahamu faida za kuyatumia mawazo yao hayo mazuri, katika uongozi wake. Yeye huwafariji watu hata katika hali ya misukosuko mbalimbali, kwa sababu ya uaminifu wake huo, maishani mwake.

Mtu huo hufanana na yule aliyewatuliza vizuri watu wake walipokuwa katika misukosuko ya chombo chao hicho cha majini kuzama, kwa sababu naye huwaongoza vizuri watu wake kwa kuwafariji wakati wa matatizo. Ndiyo maana yeye huwaambia watu kwamba, “chombo kinaenda mrama.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na unyenyekevu wa kuwafariji wenzao wanaokumbwa na matatizo mbalimbali ya maisha, ili waweze kuishi kwa furaha katika familia zao.

Yohana 1:4-6.

Luka 8:22-23.

Matendo 27:13-20.

boat-7343095__480

africans-3254345__480

log-boat-242570__480

ENGLISH: THE VESSEL HAS LOST ITS DIRECTION.

This saying looks at the language of sailors who operate a water vessel. Going overboard is continuing the journey in the turbulent conditions that the ship experiences during storms, clouds or typhoons and makes the boat vulnerable.

Its captain, instead of saying that the vessel is in danger, looks for a simple language that does not shock people. That is why he says that, “the vessel has lost its direction.”

This saying is compared to the person who leads people well by knowing how to calm his them if they find something difficult in their works.

Such person leads his people well by talking to them so that he can hear their thoughts because he knows the benefits of using their good thoughts in his leadership. He comforts them even in the midst of various troubles, because of his faithfulness in his life.

This person is similar to the one who calmed his people well when they were in the turmoil of their sinking ship, because he also leads his people well by comforting them in times of trouble. That is why he tells them that, “the vessel has lost its direction.”

This saying teaches people on how to have humility that can comfort their nobles who are suffering from various problems in life, so that they can live happily in their families.

John 1:4-6.

Luke 8:22-23.

Acts 27:13-20.

1097. ISEBYA B’ONGO.

Akahayile kenako kalolile bhusebya bho b’ongo bho bhanhu bhalebhe. Ubhusebya bhunubho bhuli bhunogi bho wiganiki bho bhanhu abho bhaling’wila mhayo munhu uyo aduzunyaga kunguno ya nhinda jakwe.

Umunhu ng’wunuyo agabhizaga alemile ugub’igwa abhanhu bhenabho abho bhali ng’wila mhayo uyo guli go nhana, kunguno ya libhengwe lwake linilo umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, “isebya b’ongo.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo alinambu umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo agikalaga alemile ugubhigwa abhiye ulubhali ng’wila gwita ginhu kunguno ya nhinda jakwe ija gwibhona giki adebhila pye iyose umumasala gakwe genayo. Uweyi agalemaga ugutung’wa ginhu jose jose nabhiye kunguno ya bhulambu bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo olemaga uguyigwa imihayo iyo owilagwa na bhiye, kunguno nuweyi alina nhinda ija gulema gutung’wa ginhu nabhiye umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki “isebya b’ongo.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya kuleka nhinda ja gulema gung’wa kinhu na bhangi bho guzunya gutung’wa na bhichabho, kugiki bhadule kujilela chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho bhunubho.

Wagalatia 3:1-6.

Zaburi 14:1.

Kutoka 31:19-20.

 

KISWAHILI: CHEMSHA BONGO.

Msemo huo, huangalia uchemushaji bho ubongo wa watu fulani. Uchemushaji huo ni uchovu wa kufikiri wa watu wanaomwambia kitu mtu yule ambaye hakubali kupokea kile wanachomwambia kwa sababu ya kiburi chake cha kutowasikiliza wenzake.

Mtu huyo, hukataa kuwasikia watu hao wanaomwambia kutekeleza jambo fulani ambalo ni muhimu kwa sababu ya dharau na kiburi chake hicho. Ndiyo maana watu humuita kwamba ni “chemsha bongo.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ana kiburi cha kutoambiwa chochote na wenzake, katika maisha yake. Mtu huyo, hukataa kuwasikiliza wenzake wanaomwambia kutekeleza jambo lolote ambalo ni muhimu kwa sababu ya kiburi chake hicho cha kujidhania kuwa anajua kila kitu. Yeye hukataa kutung’wa kufanya chochote na wenzake anaoishi nao kwa sababu ya kiburi chake hicho, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyekataa kuambiwa neno lolote na wenzake mpaga wakachoka kufikiri juu yake, kwa sababu naye ana kiburi cha kukataa kutung’wa na wenzake katika maisha yake. Ndiyo maana watu humuita kwamba yeye ni “chemsha bongo.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuachana na tabia yenye kiburi cha kutowasikiliza wengine kwa kukubali kutung’wa na wenzao, ili waweze kuzilea vyema familia zao, maishani mwao.

Wagalatia 3:1-6.

Zaburi 14:1.

Kutoka 31:19-20.

ENGLISH: BRAIN TEASER.

This saying looks at brain boiling of some people. Such boiling is a fatigue of thinking of people who say something to a person who does not accept what they say to him because of his pride of not listening to his colleagues.

Such person refuses to listen to people who tell him to do something that is important because of his contempt and pride. That is why people call him that he is a “brain teaser.”

This saying is equaled to a man who is proud of not being told anything by his colleagues, in his life. This person refuses to listen to good advice of his colleagues who tell him to do anything that is important because of his pride of thinking that he knows everything. He refuses to be told to do anything by his colleagues because of his pride in his life.

This man is similar to the one who refused to be told anything by his colleagues until they got tired of thinking about him, because he also has the pride of refusing to be told anything by his colleagues in his life. That is why people call him that he is a “brain teaser.”

This saying instills in people a clue of abandoning an arrogant behavior of not listening to others by accepting good advice from their nobles, so that they can raise their families well, in their lives.

Galatians 3:1-6.

Psalm 14:1.

Exodus 31:19-20.

quarrel-2847445__480

african-dancers-837346__480

 

students-377789__480

 

1096. BHASANGIJA MJISEME JIMO.

Bhalihoyi bhanhu abho bhali na jiliwa jabho bhuli ng’wene abho bhikalaga muchalo ja Ngeme. Abhanhu bhenabho bhagiyangula gujisangija ijiwa jabho jinijo mujiseme jimo kugiki bhadule gulya kihamo kunguno bhalibhanwanile. Abhoyi bhagajisangija ijiliwa jabho mujiseme jimo bhandya gujilya kihamo ukunhu bhalilomela chiza. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “bhasangijaga mjiseme jimo.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kubhanhu abho bhali na ng’wigwano go gutumama milimo yabho kihamo, umukikalile kabho. Abhanhu bhenabho, bhagimishaga diyu bhagagutumamaga unimo uyo bhagupangaga mpaka goshila na bhandya nimo gungi, kunguno ya bhutogwa bho gwiyambilija chiza chiniko, umuwikaji bhobho. Abhoyi bhagayitumamaga pye imilimo yabho na gupandika sabho ninghi, umubhutumami bhobho, kunguno ya wiyambilija bhobho bhunubho, umuwikaji bhobho.

Abhanhu bhenabho, bhagikolaga nabho bhagajisangija ijiliwa jabho mujiseme jimo bhuyulya kihamo, kunguno nabho bhagatumamaga milimo yabho kihamo bho gwiyambilija chiza, mpaga bhapandika sabho ninghi, umuwikaji bhobho. Hunagwene abhanhu bhagabhawilaga giki, “bhasangija mjiseme jimo.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na ng’wigwano go gutumama milimo yabho bho gwiyambilija kihamo, kugiki bhadule gupandika sabho ja gubhambilija chiza umuwikaji bhobho.

Matendo 4: 32-37.

Kutoka 12:1-4.

 

KISWAHILI: WAMECHANGIA KWENYE CHOMBO KIMOJA.

Walikuwepo watu kwenye kijiji cha Ngeme waliokuwa na chakula chake kila mmoja. Watu hao waliamua kuchanganya chakula chao kwenye chombo kimoja ili waweze kula pamoja kwa sababu walikuwa marafiki. Wao walikichanganya chakula hicho kwenye chombo kimoja wakaanza kula huku wakiongea vizuri. Ndiyo maana watu waliwaambia kwamba, “wamechangia kwenye chombo kimoja.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa watu wale ambao wana uelewano wa kufanya kazi zao kwa pamoja, katika maisha yao. Watu hao huamushana asubuhi kwenda kuyatekeleza majukumu yao mpaga wanayamaliza ndipo wanaanza kazi nyingine, kwa sababu ya upendo wao wa kusaidiana vizuri hivyo, maishani mwao. Wao huyatekeleza vizuri majukumu yao na kupata mali nyingi, maishani mwao.

Watu hao, hufanana na wale waliochangia chakula chao kwenye chombo kimoja wakala pamoja, kwa sababu nao hufanya kazi zao kwa kusaidiana vizuri, mpaka wanapata mali nyingi, maishani mwao. Ndiyo maana watu waliwaambia kwamba, “wamechangia kwenye chombo kimoja.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na uelewano wa kuyatekeleza vizuri majukumu yao kwa kusaidiana kwa pamoja, ili waweze kupata mali nyingi za kuwasaidia maishani mwao.

Matendo 4: 32-37.

Kutoka 12:1-4.

IMG_20200722_145409_8

 

ENGLISH: THEY HAVE PUT TOGETHER IN THE SAME CONTAINER.

There were people in Ngeme village who had their own food. They decided to mix their food in one container so that they could eat together because they were friends. They then started eating while talking well. That is why people told them that, “they have put together in the same container.”

This saying is compared to people who have an understanding of doing their works together, in their lives. They wake each other up in the morning for carrying out their duties, when they finish them, they start another job, because of their love of helping each other so well in their lives. They fulfill their duties well and get a lot of wealth, in their life.

These people resemble to those who contributed their food into one vessel and ate together, because they also do their works by helping each other well, until they get a lot of wealth in their lives. That is why people told them that, “they have put together in same container.”

This saying teaches people about having an understanding of carrying out their duties well by helping each other together, so that they can get many assets that can help them in their lives.

Acts 4: 32-37.

Exodus 12:1-4.