1098. JISEME JAJAGA HEKE.

Imbuki ya kahayile kenako, ilolile kayombele ka bhupeja bho jiseme ja muminzi. Uguja heke kali kajile ka makoye aka jigapandikaga ijiseme jinijo ahikanza lya mahuli, malunde nulu luyaga na gujita ijiseme jinijo jib’ize mumayanga.

Umpeja o jisema jinijo, aha adakililwe ayombe giki jiseme jili mumayanga agacholaga kayombele kabupu akaguleka ugubhogohya abhanhu bhakwe. Hunagwene agayombaga giki, “jiseme jajaga heke.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agabhatongelaga abhanhu bhake jisoga uyo adebhile ugubhalunguja abhanhu bhakwe ulu bhapandika mayanga, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, abhatongelaga abhanhu chiza bho guhoya nabho kugiki agigwe amiganiko gabho kunguno aliyidebhile isolobho ya miganiko gabho genayo agawiza, umubhotongeji bhokwe. Uweyi agabhalungujaga abhanhu nu mumakanza agamayanga bho guhoya nabho chiza, kunguno ya bhutungilija bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe.

Umhunhu ng’wunuyo agikolaga nuyo agabhalunguja chiza abhanhu abho bhikalaga mujiseme ja muminzi ijo jigapandika makoye, kunguno nuweyi agabhalungujaga abhanhu abho bhali na makoye. Huna gwene agabhawilaga abhanhu bhenabho giki, “jisema jajaga heke.”

Akahayile kenako kalanga bhatongeji bha bhanbu higulya ya gubhiza na widohya bho gubhalunguja chiza abhichabho abho bhali na mayanga, kugiki bhadule kujibheja chiza ikaya jabho, umuwikaji bhokwe.

Yohana 1:4-6.

Luka 8:22-23.

Matendo 27:13-20.

KISWAHILI: CHOMBO KINAENDA MRAMA.

Chanzo cha msemo huo huangalia lugha ya wanamaji waendeshao chombo cha majini. Kwenda mrama ni kuendelea na safari katika hali ya misukosuko ambayo chombo hicho huyapata wakati wa dhoruba, mawingu au tufani na kukifanya choncho hicho kiwe hatarini.

Nahodha wake badala ya kusema kwamba chombo kipo katika hali ya hatari hutafuta lugha nyepesi isiyoshitua watu. Ndiyo maana yeye husema kwamba, “chombo kinaenda mrama.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huwaongoza watu vizuri anayefahamu kuwatuliza watu wake hao wakipata jambo fulani katika kazi yake.

Mtu huyo, huwaongeza watu wake vizuri kwa kuongea nao ili asikie mawazo yao kwa sababu anazifahamu faida za kuyatumia mawazo yao hayo mazuri, katika uongozi wake. Yeye huwafariji watu hata katika hali ya misukosuko mbalimbali, kwa sababu ya uaminifu wake huo, maishani mwake.

Mtu huo hufanana na yule aliyewatuliza vizuri watu wake walipokuwa katika misukosuko ya chombo chao hicho cha majini kuzama, kwa sababu naye huwaongoza vizuri watu wake kwa kuwafariji wakati wa matatizo. Ndiyo maana yeye huwaambia watu kwamba, “chombo kinaenda mrama.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na unyenyekevu wa kuwafariji wenzao wanaokumbwa na matatizo mbalimbali ya maisha, ili waweze kuishi kwa furaha katika familia zao.

Yohana 1:4-6.

Luka 8:22-23.

Matendo 27:13-20.

boat-7343095__480

africans-3254345__480

log-boat-242570__480

ENGLISH: THE VESSEL HAS LOST ITS DIRECTION.

This saying looks at the language of sailors who operate a water vessel. Going overboard is continuing the journey in the turbulent conditions that the ship experiences during storms, clouds or typhoons and makes the boat vulnerable.

Its captain, instead of saying that the vessel is in danger, looks for a simple language that does not shock people. That is why he says that, “the vessel has lost its direction.”

This saying is compared to the person who leads people well by knowing how to calm his them if they find something difficult in their works.

Such person leads his people well by talking to them so that he can hear their thoughts because he knows the benefits of using their good thoughts in his leadership. He comforts them even in the midst of various troubles, because of his faithfulness in his life.

This person is similar to the one who calmed his people well when they were in the turmoil of their sinking ship, because he also leads his people well by comforting them in times of trouble. That is why he tells them that, “the vessel has lost its direction.”

This saying teaches people on how to have humility that can comfort their nobles who are suffering from various problems in life, so that they can live happily in their families.

John 1:4-6.

Luke 8:22-23.

Acts 27:13-20.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.