1097. ISEBYA B’ONGO.

Akahayile kenako kalolile bhusebya bho b’ongo bho bhanhu bhalebhe. Ubhusebya bhunubho bhuli bhunogi bho wiganiki bho bhanhu abho bhaling’wila mhayo munhu uyo aduzunyaga kunguno ya nhinda jakwe.

Umunhu ng’wunuyo agabhizaga alemile ugub’igwa abhanhu bhenabho abho bhali ng’wila mhayo uyo guli go nhana, kunguno ya libhengwe lwake linilo umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, “isebya b’ongo.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo alinambu umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo agikalaga alemile ugubhigwa abhiye ulubhali ng’wila gwita ginhu kunguno ya nhinda jakwe ija gwibhona giki adebhila pye iyose umumasala gakwe genayo. Uweyi agalemaga ugutung’wa ginhu jose jose nabhiye kunguno ya bhulambu bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo olemaga uguyigwa imihayo iyo owilagwa na bhiye, kunguno nuweyi alina nhinda ija gulema gutung’wa ginhu nabhiye umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki “isebya b’ongo.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya kuleka nhinda ja gulema gung’wa kinhu na bhangi bho guzunya gutung’wa na bhichabho, kugiki bhadule kujilela chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho bhunubho.

Wagalatia 3:1-6.

Zaburi 14:1.

Kutoka 31:19-20.

 

KISWAHILI: CHEMSHA BONGO.

Msemo huo, huangalia uchemushaji bho ubongo wa watu fulani. Uchemushaji huo ni uchovu wa kufikiri wa watu wanaomwambia kitu mtu yule ambaye hakubali kupokea kile wanachomwambia kwa sababu ya kiburi chake cha kutowasikiliza wenzake.

Mtu huyo, hukataa kuwasikia watu hao wanaomwambia kutekeleza jambo fulani ambalo ni muhimu kwa sababu ya dharau na kiburi chake hicho. Ndiyo maana watu humuita kwamba ni “chemsha bongo.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ana kiburi cha kutoambiwa chochote na wenzake, katika maisha yake. Mtu huyo, hukataa kuwasikiliza wenzake wanaomwambia kutekeleza jambo lolote ambalo ni muhimu kwa sababu ya kiburi chake hicho cha kujidhania kuwa anajua kila kitu. Yeye hukataa kutung’wa kufanya chochote na wenzake anaoishi nao kwa sababu ya kiburi chake hicho, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyekataa kuambiwa neno lolote na wenzake mpaga wakachoka kufikiri juu yake, kwa sababu naye ana kiburi cha kukataa kutung’wa na wenzake katika maisha yake. Ndiyo maana watu humuita kwamba yeye ni “chemsha bongo.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuachana na tabia yenye kiburi cha kutowasikiliza wengine kwa kukubali kutung’wa na wenzao, ili waweze kuzilea vyema familia zao, maishani mwao.

Wagalatia 3:1-6.

Zaburi 14:1.

Kutoka 31:19-20.

ENGLISH: BRAIN TEASER.

This saying looks at brain boiling of some people. Such boiling is a fatigue of thinking of people who say something to a person who does not accept what they say to him because of his pride of not listening to his colleagues.

Such person refuses to listen to people who tell him to do something that is important because of his contempt and pride. That is why people call him that he is a “brain teaser.”

This saying is equaled to a man who is proud of not being told anything by his colleagues, in his life. This person refuses to listen to good advice of his colleagues who tell him to do anything that is important because of his pride of thinking that he knows everything. He refuses to be told to do anything by his colleagues because of his pride in his life.

This man is similar to the one who refused to be told anything by his colleagues until they got tired of thinking about him, because he also has the pride of refusing to be told anything by his colleagues in his life. That is why people call him that he is a “brain teaser.”

This saying instills in people a clue of abandoning an arrogant behavior of not listening to others by accepting good advice from their nobles, so that they can raise their families well, in their lives.

Galatians 3:1-6.

Psalm 14:1.

Exodus 31:19-20.

quarrel-2847445__480

african-dancers-837346__480

 

students-377789__480

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.