1099. GUPEJA CHENGE.

Oliyoyi munhu uyo ugalya jiliwa mpaga ubhimbelwa. Unhumbi yakwe umunhu ng’wunuyo yigabhipa mpaga uyunya minzi minzi nhangala ningi.

Kuyiniyo lulu, ugupeja chenge iligunya bhuli ikanza bho gushigilija mhayo ng’winikili giki, gupeja linya aliyo lya nhangala na nhangala. Hunagwene umunhu ng’wunuyo, agapandika ikoye lya “gupeja chenge.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agajitumilaga sagala ijikolo jakwe ijo agajipandikaga umubhutumami bhokwe. Umunhu ng’wunuyo, agajikenagulaga sagala isabho jakwe bho gung’wa walwa mpaga obhitilija wandya gudukila bhanhu sagala kunguno ya gulewa walwa chiniko. Uweyi agapandikaga mamihayo mingi, kunguno ya gujitumila sagala isabho jakwe bho gulewa walwa chiniko, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agalya jiliwa mpaga ubhimbelwa na gwandya gupanza, kunguno nuweyi agajikenagulaga sagala isabho jakwe bho gung’wa walwa mpaga olewa na gupandika mamihayo mingi, umukikalile kakwe kenako. Hunagwene agapandikaga ikoye lya “gupeja chenge.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya guleka gujitumila sagala isabho jabho bho gujitumila chiza, kugiki jidule gubhambilija chiza umuwikaji bhobho.

Mithali 23:20.

Mithali 25:27.

 

KISWAHILI: KUKIMBIZA MWENGE.

Alikuwepo mtu mmoja ambaye alikula chakula mpaga akavimbiwa. Tumbo lake mtu huyo, lilichaguka mpaka akaanza kwenda chooni mara kwa mara na kusaidia kinyezi kwenye maji maji.

Kwa hiyo, neno kukimbiza mwenge kwake mtu huyo, ni kuharisha mara kwa mara. Watu husema kukimbiza, halafu yeye mwenyewe humaliza, akielewa kwamba ni kuharisha mara kwa mara. Ndiyo maana watu walimwambia mtu huyo kuwa, alipata tatizo la “kukimbiza mwenge.” 

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huzitumia hovyo mali zake anazozipata, katika kazi zake. Mtu huyo, huziharibu mali zake hizo kwa kuzinywea pombe mpaga analewa na kuanza kutukana watu kwa sababu ya kulewa pombe hiyo. Yeye hupata matatizo mengi katika maisha yake, kwa sababu ya matumizi yake hayo mabaya ya mali zake, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyekula chakula mpaga akavimbiwa na kuanza kuharisha, kwa sababu naye huitumia vibaya mali yake kwa kulewa pombe mpaga anapata matatizo mengi, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, anatatizo la “kukimbiza mwenge.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuacha matumizi mabaya ya mali zao kwa kuzitumia vizuri, ili ziweze kuwasaidia kwa kipindi cha muda mrefu, maishani mwake.

Mithali 23:20.

Mithali 25:27.

skateboarding-983347__480

 

 

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.