mother tongue

1323. HUJU YA B’UKI.

Ihuju ya b’uki jili nzuki ijo jili na b’uki wingi gete. Abhanhu bhagawapaga ub’uki bhunubho bhuli makanza bho nduhu ugubhumala kunguno ya wingi bhobho bhunubho. Hunagwene abhabhu bhenabho bhagawikolanijaga na huju ilo lililitabha lya minzi mingi bho guwitana giki, “huju ya b’uki.”

Akahayile kenako kagalengajiyagwa kuli munhu uyo alinsabhi o majikolo mingi aha kaya yakwe umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo agikalaga na sabho ningi noyi ijo agatumamilaga bho gubhagunana abhiye abho bhali na makoye kunguno ya wizanholo bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe. Uweyi agikalaga na bhanhu bhingi noyi aha kaya yakwe abho agabhambilija kunguno ya wizang’oholo ubho ugubhutumamila chiza ubhusabhi bhokwe bhunubho, umukikalile kakwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga ni nzuki iyo yali na b’uki wingi noyi, kunguno nuweyi alinsabhi o masabho mingi ayo agagatumamilaga bho gubhagunana abhiye abhali na makoye, umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, “huju ya b’uki.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na wizanholo bho gubhagunana abhichabho abho bhali na makoye, kugiki bhadule kupandika mbango ya gwikala bho bhuyegi umukaya jabho.

Mathayo 7:7-8.

Mathayo 8:21-30.

Mwanzo 13:2.

Yakobo 2:5.

KISWAHILI: BWAWA LA ASALI.

Bwawa la asali ni nyuki wenye asali nyingi sana. Watu huilina asali hiyo kila wakati bila ya kuimaliza kwa sababu ya wingi wake huo. Ndiyo maana wao huufananisha na bwawa la hilo ambalo ni dimbwi lenye kina kirefu cha maji kwa kuiita, “bwawa la asali.”

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ni tajiri wa mali nyingi kwenye familia yake, katika maisha yake. Mtu huyo, ana utajiri wa mali nyingi sana ambazo huzitumia kwa kuwasaidia watu wenye matatizo mbalimbali, kwa sababu ya ukarimu wake huo, maishani mwake. Yeye huishi na watu wengi kwenye familia yake anaowasaidia kwa sababu ya ukarimu wake huo wa kuutumia utajiri wake kwa kuwasaidia watu wenye matatizo maishani mwao.

Mtu huyo, hufanana na wale nzuki waliokuwa na asali nyingi, kwa sababu naye na utajiri wa mali nyingi ambazo huzitumia kwa kuwasaidia watu wenye matatizo mbalimbali, maishani mwake. Ndiyo maana watu humuita jila la “bwana la asali.”

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuwa na moyo wa ukarimu uwawezeshao kuwasaidia wenzao wanaokumbwa na matatizo mbalimbali, ili waweze kupata Baraka za kuishi kwa furaha, katika familia zao.

Mathayo 7:7-8.

Mathayo 8:21-30.

Mwanzo 13:2.

Yakobo 2:5.

 

ENGLISH: HONEY POND.

A honey pond is a bee with a lot of honey. People eat the honey all the time without finishing it because of its abundance. That is why they compare it to a pond, which is a deep pool of water by calling it, “honey pond.”

This saying is paralleled to a person who is rich in countless belongings in his family. This person, has a lot of wealth which he uses for assisting people who face various glitches, because of his generosity in life. He lives with numerous people in his family whom he helps because of his generosity in using his wealth to help people who face problems in their lives.

This person is similar to the bees which had a lot of honey, because he also has a lot of wealth that he uses for helping people who face various problems in life. That is why people call him “honey pond.”

This saying teaches people about having a generous heart that enables them to help their people who are experiencing various problems, so that they can receive God blessings of living happily in their families.

Matthew 7:7-8.

 

honey-4770245_1280

honey-1958464_1280

honey-1970626_1280

1322. MUMO UGAGUZUHILA UDIKOMILE GULIMILA LUGEMBE.

Aho kale olihoyi munhu uyo olina nguzu nyingi uyo wikalaga muchalo jilebhe. Umunhu ng’wunuyo agaja gujulima ngunda gokwe bho gutumila lugembe kunguno ya gwisanya nguzu jakwe jinijo. Uweyi agaduma ugulima kunguno ya gutumila lugembe ulo ludadulile ugugulima ungunda gokwe gunuyo. Hunagwene abhanhu bhagang’wila giki, “mumo ugaguzuhila udikomile gulimila lugembe.”

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agajaga kujutumama nimo na jitumamamilo ijo jidajilanijije nu nimo uyo aligagutumama, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agigulambijaga gutumama milimo aliyo oduma uguimala chiza kunguno ya guhadikija gutumamila jitumamilo ijo jidadulile ugugutumama unimo gokwe gunuyo, umuwikaji bhokwe. Uweyi agakoiyagwa ni koye lya gugaiwa ijiwa aha kaya yakwe bhuli ng’waka kunguno ya gugayiwa witegeleja bho gutumamila jitumamilo ijo jidulile ugugumala chiza unimo gokwe gunuyo, umubhutumami bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agahadika gulimila ngunda lugembe uduma, kunguno nuweyi agajaga gujutumama nimo na jitumamilo ijo jidadulile ugugutumama unimo gokwe, umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “mumo ugaguzuhila udikomile gulimila lugembe.”

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gubhiza na witegeleja bho gutumama milimo na jitumamilo ijo jidulile uguimala chiza imilimo yabho yiniyo, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi, umubhutumami bhobho bhunubho.

Mithali 26:13-15.

2 Wathesalonike 3:6-15.

KISWAHILI: HATA UWE NA NGUVU KIASI GANI HUWEZI KULIMIA WEMBE.

Hapo zamani alikuwepo mtu aliyekuwa na nguvu nyingi ambaye aliishi kwenye kijiji fulani. Mtu huyo alienda kulima shamba lake kwa kutumia wembe kwa sababu ya kutegemea nguvu zake hizo. Yeye alishindwa kulima kwa sababu ya kutumia wembe ambao hauwezi kulima shamba lake hilo. Ndiyo maana watu walimwambia kwamba, “hata uwe na nguvu kiasi gani huwezi kulimia wembe.”

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huenda kufanya kazi na kitendea kazi kisichoendana na kazi anayoenda kuifanya, katika maisha yake. Mtu huyo, hujibidisha kufanya kazi lakini bila kupata mafanikio ya kuimaliza vizuri kazi yake hiyo, kwa sababu ya kulazimisha kutumia kitendea kazi ambacho hakiwezi kuimaliza vizuri kazi yake hiyo, maishani mwake. Yeye hukumbwa na tatizo la kukosa chakula kila mwaka kwenye familia yake kwa sababu ya kukosa umakini wa kutumia kitendea kazi kinachoweza kuzimaliza vizuri kazi zake hizo, katika utekelezaji wa majukumu yake hayo.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyejaribu kulimia wembe shamba lake akashindwa, kwa sababu naye huenda kufanya kazi na kitendea kazi kisichoweza kuzitekeleza kazi zake hizo, maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “hata uwe na nguvu kiasi gani huwezi kulimia wembe.”

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuwa na umakini wa kutumia vitendea kazi vinavyoweza kuzimaliza vizuri kazi zao hizo, ili waweze kupata mafaniko mengi, maishani mwao.

Mithali 26:13-15.

2 Wathesalonike 3:6-15.

ENGLISH: NO MATTER HOW STRONG YOU ARE, YOU CANNOT PLOW BY USING A RAZOR.

Once upon a time, there was a very strong man who lived in a certain village. This man went to plow his field by using a razor because he relied on his strength. He failed to plow because he used a blade that could not plow his field. That is why people told him that, “No matter how strong you are, you cannot plow by using a razor.”

This proverb is compared to a person who goes to work with a tool that is not suitable for the work which he is going to do, in his life. Such person, exerts himself to work but without achieving success in completing his work well, because of forcing him to use a tool that cannot complete his work well, in his life. He suffers from problems of not having enough food every year in his family because of not being attentive enough to use a tool that can complete his tasks well, in carrying out his duties.

This person is like the one who tried to plow his field by using a razor and failed, because he also goes to work with a tool that cannot carry out his tasks, in his life. That is why people say to him that, “No matter how strong you are, you cannot plow by using a razor.”

This saying imparts in people a clue of being careful enough to use tools that can complete their tasks well, so that they can achieve several successes, in their lives.

Proverbs 26:13-15.

2 Thessalonians 3:6-15.

razor-blade-2132096_1280

1321. JAHALUGALA.

Ijahalugala jili jiliwa ijo jigaliyagwa ahi kanza lya limi. Bhalihoyi bhanhu bha kaya yimo abho bhalyaga kihamo ijiliwa jabho kunguno ya witogwi bhobho. Abhanhu bhenabho bhalitumilaga ilikanza linilo ilyagulya bho guihoyela mihayo ya gwitongela chiza aha kaya yabho yiniyo. Hunagwene ilu lyashiga ili kanza lya gulya ijiliwa jabho jinijo bhikaribhushaga bho bhiwilaga giki, “jahalugala.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa ku kaya ya bhanhu abho bhali na bhizanholo umukikalile kabho. Abhanhu bha ha kaya yiniyo, bhagabhakaribhushaga abhichabho bhalya ijiliwa jabho ulu lyashiga ilikanza lya gujilya ijiliwa jabho jinijo, kunguno ya wizanholo bhobho bhunubho, umuwikaji bhobho. Abhoyi bhagapandikaga mbango ja gwikala bho bhuyegi bhutale aha kaya yabho, kunguno ya wizanholo bhobho bhunubho, umukikalile kabho kenako.

Abhanhu bhenabho bhagikolaga nabho bhali na witogwi bho gulya kihamo ijiliwa jabho ija limi jinijo, kunguno nabhoyi bhali na wizanholo bho gubhakaribhusha abhichabho bhalya kihamo nabho ijiliwa ja ha kaya yabho jinijo, umuwikaji bhobho. Hunagwene bhagabhakaribhushaga abhichabho bhenabho bho guyomba giki, “jahalugala.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na wizanholo bho gubhagunana abhichabho abho bhali na makoye, kugiki bhadule gupandika mbango ja gwikala na bhuyegi bhutale umukaya jabho jinijo.

Luka 19:1-5.

Mathayo 26:17-19.

KISWAHILI: CHA MCHANA.

Cha mchana ni chakula ambacho huliwa kwenye muda wa mchana. Walikuwepo watu wa familia moja waliokuwa wakila chakula chao pamoja kwa sababu ya upendo wao. Watu hao waliutumia muda huo wa kula chakula kwa kuongelea mipango ya kuongozana vizuri kwenye familia yao. Ndiyo maana ulipofika wakati huo kwa kula chakula cha mchana walikaribishana kwa kusema, “cha mchana.”

Msemo huo hulinganishwa na familia ya watu wale ambao wana ukarimu, katika maisha yao. Watu wa kwenye familia hiyo, huwakaribisha wenzao kula chakula chao unapofika wakati wa kula chakula hicho, kwa sababu ya ukarimu wao huo, maishani mwao. Wao hupata Baraka za kuishi kwa furaha kubwa katika familia yao kwa sababu ya ukarimu wao huo, katika maisha yao.

Watu hao, hufanana na wale waliokuwa na upendo wa kula kwa pamoja chakula chao cha mchana, kwa sababu nao wana ukaribu wa kuwakaribisha wenzao kula pamoja nao chakula chao, maishani mwao. Ndiyo maana huwakaribisha wenzao hao kwa kusema, “cha mchana.”

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuwa na ukarimu wa kuwasaidia wenzao ambao wana matatizo, ili waweze kupata Baraka za kuishi kwa furaha kubwa kwenye familia zao hizo.

Luka 19:1-5.

Mathayo 26:17-19.

ENGLISH: LUNCH.

Lunch is a meal that is eaten during the day around noon time. There were members of the same family who were eating their meals together because of their love to one another. They used such time of eating for talking about plans of getting along well with their people. That is why when such time of eating reached they welcomed each other by saying, “lunch.”

This saying is related to a family of hospitable people in their lives. These people invite their friends to eat their meals when it is time to eat that meal, because of their hospitality in their lives. They receive blessings of living happily in their families because of their hospitality in their lives.

Those people, resemble those who lived to eat their meals together, because they also have such closeness of inviting their friends to eat their meals with them, in their lives. That is why they welcome their friends by saying, “lunch.”

This saying teaches people about being generous enough to help others who are in trouble, so that they can receive from God blessings of living happily in their families.

Luke 19:1-5.

Matthew 26:17-19.

IMG_20200722_145409_8

 

1320. JOCHAGE UDIZUJILYA.

Imbuki ya kahayile kenako ilolile bhocha bho nyama ya bhanamhala. Olihoyi namhala uyo agang’winha nsumba nimo go gocha nyama ya bhanamhala iyo idaliwagwa na bhangi abho bhadinhiwa ubhunamhala.

Inyama yiniyo ili idako lya ndimu giti ng’ombe, mbuli na ng’holo. Iyoyi igazugagwa nulu gochiwa na munhu uyo osolanyiyagwa uyo adazunilijiwe uguilya. Hunagwene unamhala ng’wunuyo agang’wila unsumba uyo giki, “jochage udizujilya.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agabhalangaga lilange lya wiza abhana bhakwe, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agafunyaga lilange lya wiza lya gwikala ni kujo ukubhatale bhabho bho guzunya gutumama milimo yabho chiza kunguno ya bhutogwa bhokwe ukubhanhu bhakwe bhenabho, umuwikaji bhokwe. Uweyi agadujaga ugwikala na witogwi bhutale na bhiye aha kaya yakwe kunguno ya lilange lyakwe ilyawiza linilo ukubhana bhakwe, umukikalile kakwe kenako.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga nu namhala uyo agang’wila nsumba gocha nyama ya bhanamhala bho ndugu uguilya, kunguno nuweyi agabhalangaga lilange lya wiza lya gwikala nikujo ukubhatale bhabho bho guzunya gutumama milimo yabho chiza, umuwikaji bhokwe. Hunagwene agayombaga giki, “jochage udizujilya.”

Akahayile kenako kalanga bhabyaji higulya ya gubhiza na bhutogwa ukubhanhu bhabho bho gubhalanga lilange lya wiza abhana bhabho, kugiki bhadule gwikala na witogwi bhutale umukaya jabho.

Mithali 15:33.

Mithali 18:12.

Mithali 20:3.

Mithali 21:21.

KISWAHILI: ZICHOME USIZILE.

Chanzo cha msemo huo, huangalia uchomaji wa nyama ya wazee. Alikuwepo mzee aliye mpatia kijana kazi ya kuchoma nyama ya wazee ambayo hairuhusiwi kuliwa na wengine ambao hawajapewa uzee.

Nyama hiyo ni ya tako la mnyama kama vile ng’ombe, mbuzi, na kondoo. Yenyewe hupikwa au kuchomwa  na mtu yule aliyechakuliwa ambaye haruhusiwi kuila. Ndiyo maana mzee yule alimwambia yule kijana kwamba, “zichome usizile.

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hufundisha malezi mema kwa watoto wake, katika maisha yake. Mtu huyo, huwafundisha watoto malezi ya kuwaheshimu wakubwa wao kwa kukubali kufanya kazi zao vizuri, kwa sababu ya upendo mkubwa alio nao kwa watu wake hao, maishani mwake. Yeye hufanikiwa kuishi kwa upendo mkubwa na wenzake kwenye familia yake kwa sababu ya malezi hayo mema anayowafundisha watoto wake, katika maisha yake.

Mtu huyo, hufanana na yule mzee aliyempatia yule kijana kazi ya kuchoma nyama ya wazee bila kuila, kwa sababu naye huwafundisha watoto wake malezi mema ya kuwaheshimu wakubwa kwa kukubali kufanya kazi zao vizuri, maishani mwake. Ndiyo maana husema kwamba, “zichome usizile.”

Msemo huo hufundisha wazazi juu ya kuwa na upendo kwa watu wao kwa kuwafundisha malezi mema ya kuishi vizuri na wenzao, ili waweze kuishi kwa upendo katika familia zao.

Mithali 15:33.

Mithali 18:12.

Mithali 20:3.

Mithali 21:21.

ENGLISH: BURN THEM AND DO NOT EAT THEM.

The cradle of this saying looks at someone who had to burn meat of elders. There was an old man who gave a young man the work of burning meat of the elders which is not allowed to be eaten by others who have not been given old age.

Such meat is taken from a back of an animal such as: cow, goat, and sheep. It is cooked or burned by a chosen person who is not allowed to eat it. That is why the old man told the young man that, “burn them and do not eat them.”

This saying is paralleled to a man who teaches good upbringing to his children in his life. Such person, imparts in children upbringing of respecting their elders by assenting to do their jobs well, because of great love which he has for those people in his life. He succeeds in living peacefully with his family members because of the good upbringing which he gives to them in his life.

This man is like that old man who gave the young man a job of roasting meat of the elders without eating it, because he also teaches his children good upbringing enough to respect the elders by assenting to do their jobs well in his life. That is why he says that “burn them and do not eat them.”

This saying instills in parents love for their people which can support them in teaching children good upbringing enough to live well with their societal members, so that they can love each other in their daily lives.

Proverbs 15:33.

Proverbs 18:12.

Proverbs 20:3.

Proverbs 21:21.

 

 

barbecue-5171549_1280

1319. LIGALUCHAGE DUHU.

Akahahile kenako kandija kubhanhu abho bhazengaga numba. Abhazengi bhenabho bhazengelaga madafali ayo gadikomile gwibheja nulu gwigalucha goyi minikili kunguno ya kabhumbilwe kago. Abhoyi bhamanagabhugagalucha ayo gadidebhile kugiki gadule gusulula bho gujilanija chiza. Hunagwene uumo ong’wilaga ung’wiye giki, “ligaluchage duhu.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa ku bhabyaji abho bhagabhelelaga bho gwiyambilija chiza abhana bhabho umukikalile kabho. Abhabyaji bhenabho bhagabhalelaga abhana bhabho bho gubhalanga gutumama milimo bho gwiyambilija kihamo na gwikala na bhanhu chiza, kunguno ya wigetegeleja bho gulikalana ilange lya nhung’wa jawiza umuwikaji bhokwe bhunubho. Abhoyi bhagabhakujaga mu nhungwa jawiza pye abhana bhabho aha kaya yabho, kunguno ya witegeleja bhobho bhunubho ubho gubhalela bho gwiyambilija chiza chiniko, umukikalile kabho.

Abhabyaji bhenabho bhagikolaga na bhazengi bha numba abho bhiyambilijaga guzenga chiza inumba yabho, kunguno na bhoyi bhagiyambilijaga ugubhalela chiza abhana bhabho, umuwikaji bhobho bhunubho. Hunagwene bhagiwilaga giki, “ligaluchage duhu.”

Akahayile kenako kalanga bhabyaji higulya ya gubhiza na witegeleja bho gwiyambilija gubhalela mu nhungwa jawila abhana bhabho, kugiki bhadule gwikala ni lange lya wiza, umuwikaji bhobho.

Mithali 22:6.

Waefeso 6:4.

1Timotheo 5:10.

KISWAHILI: LIGEUZE TU.

Msemo huo ulianzia kwa watu waliokuwa wakijenga nyumba. Wajenzi hao walitumia matofali ambayo hayawezi kujipanga wala kujigeuza yenyewe kwa sababu ya namna yalivyofyatuliwa. Wao walikuwa wakiyageuza yale yasiyoendana ili yaweze kunyooka kwa kuendana vizuri. Ndiyo maana mmoja alimwambia mwenzake kwamba, “ligeuze tu.”

Msemo huo hulinganishwa kwa wazazi wale ambao hushirikiana katika kuwalea vyema watoto wao, maishani mwao. Wazazi hao hushirikiana katika kuwalea watoto kwa kuwafundisha kufanya kazi kwa kusaidia na kuishi na watu vyema, kwa sababu ya umakini wao huo wa kuyaishi malezi yenye maadii mema, katika maisha yao. Wao hufanikiwa kuwakuza watoto wao katika maadili mema kwa sababu ya umakini wao huo wa kusadiana vyema katika kutunza maadili mema, maishani mwao.

Wazazi hao hufanana na wale wajenzi wa nyumba waliosaidiana kuijenga vizuri nyumba yao, kwa sababu nao husaidiana katika kuwalea vyema watoto wao, maishani mwao. Ndiyo  maana wao huambiana kwamba, “ligeuze tu.”

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuwa na umakini wa kusaidiana katika kuwalea vyema watoto wao ili waweze kukua katiaka maadili mema, maishani mwao.

Mithali 22:6.

Waefeso 6:4.

1Timotheo 5:10.

ENGLISH: JUST TURN IT.

This saying originated from people who were building houses. These builders used bricks which did not fit together so that they could be straightened out and fit together properly. That is why one said to the other that, “just turn it.”

This saying is equated to parents who cooperate in nurturing their children well, in their lives. These parents cooperate in raising their children by giving education to them on how to work by helping and living well with people, because of their emphasis on living a good upbringing in their lives. They succeed in educating their children in good morals because of their emphasis on cooperating well in maintaining good morals in their lives.

These parents are like those house builders who helped each other in building their house, because they also help each other in nurturing their children well in their lives. That is why they say to each other that, “just turn it.”

This saying educates people on how  to be careful enough to help each other in nurturing their children so that they can grow up with good morals in their lives.

Proverbs 22:6.

Ephesians 6:4.

1 Timothy 5:10.

 

construction-4896063_1280

worker-5204739_1280