1142. SHADA SHADA NG’WI B’IKILO.

Oliyoyi munhu uyo oliotuula mhiya jakwe ng’wi b’ikilo. Umunhu ng’wunuyo omanaga ushada nhangala nyingi aho uliojibhikila ihela jakwe jinijo kugiki abhone ulu jilihoyi nulu hamo jib’iyagwa, kunguno jili ginhu ja solobho nhale noyi. Hunagwene abhanhu bhagang’wila giki, “shada shada ng’wi b’ikilo.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agabhikaga chiza isabho jakwe umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo agajilanhanaga chiza isabho jakwe bho gujibhika hasoga kunguno ayidebhile isolobho ya sabho jakwe jinijo. Uweyi agikalaga na sabho ningi aha kaya yakwe kunguno ya guib’ika chiza isabho jakwe jinijo, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga nuyo agajib’ika chiza isabho jakwe kunguno nuweyi agajilanhanaga chiza isabho jakwe jinijo bho gujibhika hasoga. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “shada shada ng’wi b’ikilo.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gudebha ugujibhika chiza isabho jabho, umukikalile kabho, kugiki jidule gubhambilija chiza, umuwikaji bhobho.

Mathayo 13:44 – 46.

Mathayo 6:19-21.

KISWAHILI: KWENDA MARA KWA MARA PALE ULIKOHIFADHI.

Aliwekupo mtu aliyeweka pesa zake sehemu fulani. Mtu huyo alikuwa akienda mara kwa mara pale alipozihifadhia pesa zake hizo, kwa sababu ni vitu vyenye thamani kubwa sana. Ndiyo maana watu walimwambia kwamba, “mara kwa mara pale ulikohifadhi.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huhifadhi vizuri mali zake katika maisha yake. Mtu huyo, huitunza mali yake kwa kuihifadhi pazuri kwa sababu anazielewa faida za mali zake hizo. Yeye huwa na mali nyingi kwenye familia yake kwa sababu ya kuzitunza vizuri mali zake hizo, maishani mwake.

Mtu huyo hufanana na yule aliyehifadhi vizuri mali zake, kwa sababu naye huzitunza vizuri mali zake kwa kuzihifadhi pazuri. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “mara kwa mara pale ulikohifadhi.”

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuelewa namna ya kuzihifadhi vizuri mali zao katika maisha yao, ili ziweze kuwasaidia vizuri maishani mwao.

Mathayo 13:44 – 46.

Mathayo 6:19 – 21.

man-6900166__480

man-7259271__480

male-4725378__480

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.