1141. MANZEGU NZEGU.

Olihoyi munhu uyo osiminzaga na majizwalo gashilie umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo wikalaga na mabembenya nulu masani sani mpaka nose ukumuuka umuchalo jakwe jinijo. Hungwene abhanhu bhagang’witana giki, “manzegu nzegu.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo adagudililaga chiza umili gokwe kunguno ya gwikala wilekanijaga umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo adagudililaga umili gokwe kunguno ya guzwala majizwalo gashilile na kuleka goka chiza. Uweyi agikalaga bhung’wene aha kaya yakwe kunguno ya bhusoso bhokwe bhunubho umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga nuyo wikalaga na mabembenya, kunguno nuweyi adagudililaga chiza umili gokwe bho guleka goga chiza, umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, “manzegu nzegu.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya guyidilila imimili yabho bho gozwala jizwalo jikujo, kugiki bhadule gujilela chiza ikaya jobho, umuwikaji bhokwe bhunubho.

1Timotheo 2:9-11,

Mathayo 12: 33.

KISWAHILI: MASEMBELE SEMBELE.

Aliwepo mtu aliyekuwa akitembea na nguo zilizoisha katika maisha yake. Mtu huyo alijulikana kwa watu wengi katika kijiji chake kwa sababu ya huo uvaaji wake wa matambala. Ndiyo maana watu walimuita jina la “masembele sembele.”

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huwa haujali vizuri mwili wake katika maisha yake. Mtu huyo, huvaa nguo zilizoisha ambazo hujulikana kwa jina la masembele sembele, kwa sababu ya kutokuujali vizuri mwili wake huo. Yeye mara nyingi huishi peke yake katika familia yake hiyo, kwa sababu ya kutokuvaa vizuri na kutooga vizuri kwake, maishani mwake.

Mtu huyo hufanana na yule aliyekuwa akivaa nguo zilizoisha kwa sababu naye huutelekeza mwili wake kwa kuvaa nguo zilizoisha maishani mwake. Ndiyo maana watu humuita jina la “masembele sembele.”

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuyijali miili yao kwa kuvaa vizuri na kuoza vizuri, ili waweze kuzilea vyema familia zao.

1Timotheo 2:9-11,

Mathayo 12: 33.

hadzabe-tribe-of-the-lady-boss-227324__480

face-3053725__480

child-7497422__480

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.