1120. NZUKI YA BHULEMELA.

Akahayile kenako kalolile Nzuki iyo yaliyatela hanhu. Inzuki yiniyo, yalidina bhapi hayo yatelela kunguno yabhalemelaga abho bhajaga gujiyapa. Abhanhu bhayogohaga kunguno ya bhutale bhoyo bhunubho. Hunagwene bhagiyitana giki “nzuki ya bhulemela.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agambilijiyagwa na Mulungu ugutumama imilimo yakwe, umukikalile kakwe. Umunhu ung’wunuyo alina guzunya gutale ukuli mulungu uyo agang’winhaga nguzu ja gwigulambija gutumama milimo yakwe chiza mpaga opandika matwajo mingi, umubhutumami bhokwe. Uweyi agapandika matwajo minghi umubhutumami bhokwe kunguno ya ubhutungilija bhokwe bhunubho ukuli Nsumbi okwe, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga ni nzuki iyo yaliyakula mpaga yubhalemela uguyapa abhapi bhayo, kunguno nuwei apandikaga matwajo mingi mpaga uduma ugugamala ugugatumila. Hunagwene agagitanaga giki, “nzuki ya bhulemela.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gwigulambija gutumama milimo yabho bho gung’wisanya Mulungu, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi, umubhutumami bhobho bhunubho.

Kutoka 4:1-8.

Matendo 5:12-15.

Waebrania 11:1-4.

KISWAHILI: NYUKI ALIYESHINDIKANA.

Msemo huo, huangalia Nyuzi wale walioshindikana kulinhwa. Nyuki hao, waliokuwepo mahali fulani ambao walikosa watu wa kwenda kuwalinha tokea pale walipojenga makazi yao kwa sababu ya kuwaogopa. Watu waliwaogopa kuwalinha kwa sababu ya ukubwa wao huo. Ndiyo maana waliwaita jina la “nyuki aliyeshindikana.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule anayefanya kazi zake kwa kumtegemea Mungu, katika maisha yake. Mtu huyo, ana imani kubwa kwa Mungu anayempatia nguvu za kujibidisha kufanya kazi vizuri mpaka anafanikiwa kupata mafanikio mengi katika kazi zake. Yeye hupata mafanikio mengi sana katika utekelezaji wa majukumu yake kwa sababu ya uaminifu wake huo kwa Muumba wake, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na wale nyuki walioshindikana kulinhwa na watu, kwa sababu naye hujibidisha kufanya kazi zake mpaka anapata mafanikio ya kuwashinda watumiaji kuyamaliza. Ndiyo maana watu walimpatia jila la “nyuki aliyeshindikana.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kujibidisha kufanya kazi zao vizuri kwa kumtegemea Mungu, ili waweze kupata mafanikio mengi katika utekelezaji wa majukumu yao.

Kutoka 4:1-8.

Matendo 5:12-15.

Waebrania 11:1-4.

bees-4845211__480

bees-4126065__480

sunflower-1643794__480

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.