1101. WIKUMBAGA GUBUGUBU.

Akahayile kenako kalolile wikumbi bho ng’wenda bho ng’wa munhu nhebhe. Umunhu ng’wunuyo, agikumbaga ng’wenda bho gugugubija pye umili gokwe kunguno ya gugulanhana gudizususwa mbeho. Uweyi agilanhanaga kugiki akije ugususwa imbeho yiniyo, bho gugugubija ng’wenda umili gokwe pye amakanza, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “wikumbaga gubugubu.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agayilanhanaga chiza ikaya yakwe, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agigulambijaga gutumama milimo yakwe chiza mpaka opandika jiliwa ja gubhalisha abhanhu bhakwe kunguno ya bhutogwa bhokwe bhutali ukubhoyi. Uweyi agikalaga na bhanhu bhinghi aha kaya yakwe abho abhalanhanaga bho gubhalanga nhungwa ja gwiyambilija chiza na bhichabho, umuwikaji bhobho.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agagulanhana umili gokwe bho wigwikumba ng’wenda pye umili, kunguno nuweyi agabhalanhanaga abhanhu bhakwe bho gubhambilija chiza umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “wikumbaga gubugugu.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gujilanhana chiza ikaya jabho bho gubhalela chiza abhanhu bhabho, kugiki bhadule gwikala mhola, umuwikaji bhobho.

Mathayo 8:5-7.

Mathayo 8:14-16.

Yohana 5:1-8.

 

KISWAHILI: AMEJIFUNIKA GUBIGUBI.

Msemo huo, huangalia ujifunikaji nguo wa mtu fulani. Mtu huyo, hujifunika nguo yake mwili mzima kwa lengo la kuulinda mwili wake huo usipigwe na baridi. Yeye huulinda mwili huo dhidi ya baridi kali kwa kuufunika nguo hivyo muda wote, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “amejifunika gubigubi.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huitunza vizuri familia yake, katika maisha yake. Mtu huyo, hujibidisha kufanya kazi vizuri mpapa anapata chakula cha kutosha kuwalisha watu wake, kwa sababu ya upendo wake alio nao kwao.  Yeye huishi na watu wengi kwenye familia yake hiyo ambao huwafundisha tabia njema za kusaidiana kufanya kazi vizuri na wenzake, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule ayeulinda mwili wake kwa kuufunika nguo, kwa sababu naye huwatunza watu wake kwa kuwasaidia kupata mahitaji yao vizuri, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “amejifunika gubigubi.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuzitunza vizuri familia zao kwa kuwasaidia watu wao hao kupata mahitaji yao na kuwalea vyema, ili waweze kuishi salama, maishani mwao.

Mathayo 8:5-7.

Mathayo 8:14-16.

Yohana 5:1-8.

ENGLISH: HE HAS COVERED HIMSELF COMPLETELY.

This saying looks at a covering of clothes of a certain person. This person covers his whole body with clothes in order to protect his body from cold condition. He protects the body from such cold by covering it with clothes all the time, throughout his life. That is why people tell him that, “he has covered himself completely.”

This saying is compared to a person who takes good care of his family, in his life. Such person, tries hard to work well to the point of getting enough food to feed his people, because of his love for them. He lives with many people in his family by teaching them good habits which can help each other to work well with his colleagues.

This person resembles the one who protects his body by covering it with clothes, because he also takes care of his people by helping them get their needs well, in his life. That is why people tell him that, “he has covered himself completely.”

This saying teaches people on how to take good care of their families by helping them to meet their basic needs that can raise them well, so that they can live safely in their lives.

Matthew 8:5-7.

Matthew 8:14-16.

John 5:1-8.

 

african-woman-1580545__480

orphanage-278476__480

smiling-1180847__480

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.