1092. MASUNZU MADUMA.

Akahayile kenako kingilile kuli munhu uyo ali na masunzu malihu. Amasunzu genayo jili nzwili ijo jigasugagwa bho gujishib’a kugiki jikule gete mpaga umo atogelilwe ung’wikili ojo kunguno ahayile abhelele chiza, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, “masunzu maduma.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo atogilwe bhubheleji umukikalile kakwe. Umunhu ung’wunuyo agikalaga agulanhanile umili gokwe bho gugudilila chiza, ijinaguzwala jizwalo, na gulya jiliwa, kunguno agutogilwe chiza, umuwikaji bhokwe. Uweyi agikalaga na bhanhu bhinghi aha kaya yakwe, bhuli makanza kunguno ya bhubheleji bhokwe bhunubho, umukikalile kakwe kenako.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga nu omasunzu malihu uyo ogubhelejaga umili gokwe bho gugakamila amasunzu genayo, kunguno nuweyi agagudililaga chiza umili gokwe bho gugubheleja chiza umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, “masunzu maduma.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya kuidilila chiza imimili yabho bho guiyizwalikiza jizwalo jisoga, kugiki bhadule gwikala bhabhelile umuwikaji bhobho.

1Petro 3:3-4.

Mithali 31:29-31.

 

KISWAHILI: NYWELE NDEFU ZILIZOSUKWA.

Msemo huo, ulianzia kwa mtu mwenye nywele ndefu zilizosukwa vizuri. Nywele hizo, husukwa kwa kufungwa ili ziweze kukua kwa haraka kiasi kutosha kumpendezesha mhusika huyo, kwa sababu ya kupenda kwake umaridadi wa mwili wake huo. Ndiyo maana watu humuita kwamba ni “nywele ndefu zilizosukwa.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hupenda umaridadi, katika maisha yake. Mtu huyo, huishi katika hali ya kuujali kwa kuutunza mwili wake, kwa sababu anaupenda, maishani mwake. Yeye hupokea watu wengi kwenye familia yake kwa sababu ya tabia yakwe ya kupenda kuutunza mwili wake huo, katika maisha yake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyezitunza nywele zake kwa kuzisokota vizuri, kwa sababu naye huulinda kwa kuuvika nguo vizuri mwili wake, huo maishani mwake. Ndiyo watu humuita kwamba, ni mtu “mwenye nywele ndefu zilizosokotwa.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuitunza miili yao, kwa kuivika nguo nzuri, ili waweze kupendeza vizuri, maishani mwao.

1Petro 3:3-4.

Mithali 31:29-31.

man-7128967__480

elder-5255542__480

 

ENGLISH: LONG BRAIDED HAIRS.

This saying originated from a man who had long well-braided hairs. His hairs were braided and tied so that they could grow fast enough to please him, because of his love for beauty of his body. That is why people call him a “long braided hairs.”

This saying is compared to a man who likes beauty, in his life. Such person lives in a state of taking care of his body, because he likes it, in his life. He receives many people in his family because of his habit of loving to take care of his body, in his life.

This man is like the one who takes care of his hairs by twisting them well, because he also protects his body by dressing well in his life. That is why people call him a “long braided hairs.”

This saying imparts in people an idea of taking care of their bodies, by dressing them in nice clothes, so that they can look good, in their lives.

1 Peter 3:3-4.

Proverbs 31:29-31.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.