1091. NKONO GONEMBA.

Akahayile kenako, kahoyelile higulya ya nkima uyo witungaga ng’wenda. Unkima ng’wunuyo, witungaga ng’wenda bho gwihengeleka ukunu alija lwande, kunguno ya gutumila nkono gonmoso uyo aladagumanilile chiza ugugutumila weyi. Hunagwene abhanhu bhagang’wila giki, “nkono gonemba.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agayilekaga nzila ya gwikala chiza na bhanhu umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, adaitumamaga chiza imilimo yakwe kunguno ya gulema gwiyambilija chiza nabhiye umuwikaji bhokwe bhunubho. Uweyi agagayiyagwa ijijolo aha kaya yakwe kunguno ya gwikala na nhungwa ja kuleka gutumama chiza imilimo yakwe, umukikalile kakwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nu nkima uyo witungaga ng’wenda bho guja lwande iki otumilaga nkono go nmosa, kunguno nuweyi adatumama chiza imilimo yakwe, umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “nkono gonemba.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gwikala chiza nabhichabho bho guitumamila jitumamilo ja wiza imilimo yabho, kugiki bhadule kupandika matwajo minghi, umuwikaji bhobho.

Mathayo 25:31-34.

Mathayo 25:41.

Yohana 21:6.

KISWAHILI: MKONO UMEMDANGANYA.

Msemo huo, huongelea juu ya mwanamke mmoja aliyejifunga nguo. Mwanamke huyo, alijifunga nguo hiyo kwa kupinda huku akienda upande kwa sababu ya kutumia mkono wa kushoto katika kujifunga kwake ambao hukuuzoa. Ndiyo maana watu walimwambia kwamba, “mkono umemdanganya.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huacha tabia yake njema ya kuishi vizuri na watu, katika maisha yake. Mtu huyo, huacha kuyatekeleza vizuri majukumu yake kwa kutumia dhana dhaifu, na kuacha kushirikiana na wenzake, maishani mwake. Yeye hukosa mali za kumsaidia katika familia yake kwa sababu ya kujijengea tabia ya kuacha kufanya kazi zake vizuri, katika maisha yake.

Mtu huyo, hufanana na yule mwanamke aliyejifunga nguo yake kwa kutumia mkono ya kushoto ambao hukuuzoea kuutumia, kwa sababu naye huiacha tabia yake njema ya kusaidiana na wenzake katika utekelezaji wa majukumu yao, maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “mkono umemdanganya.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya ya kuishi vizuri na wenzao kwa kutumia dhana nzuri za kazi katika utekelezaji wa majukumu yao, ili waweze kupata mafanikio mengi maishani mwao.

Mathayo 25:31-34.

Mathayo 25:41.

Yohana 21:6.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.