1090. MBINA YA JILEZU.

Bhalihoyi bhanhu abho bhalyaga jiliwa umuchalo ja Mangu. Abhanhu bhenabho, bhajibheyebheyaga ijilezu jabho umukalile kabho mpaga jawila guti jilibhina mbina kunguno ya kalile kabho kenako. Hunagwene abhanhu bhagakitanaga akalile kenako giki “mbina ya jilezu.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munbu uyo agayombaga mihano ya mbisila umumahoya gakwe. Umunhu ng’wunuyo agayombaga mihayo ya mbisila iyo igenhelejaga guduma uguyelelwa abhanbhu abho agahoyaga nabho, kunguno ya bhudamu bhoyo bhunubho, umumahoya gakwe genayo. Uweyi agadumaga uguyilanga chiza ikaya yakwe kunguno ya kahoyele kakwe kenako, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga nabho bhab’inyaga jilezu ulubhalilya ijiliwa, kunguno nuweyi agabhinyaga jilezu ulu aliyomba imihayo iya mbisila yiniyo, umumahoya gakwe genayo. Hunagwene abhanhu bhagayitanaga imihayo yakwe giki, “mbina ya jilizu.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gwilalanhana na mihayo ya mbisila bho guhoyela mihayo iyo bhadulile guyelelwa chiza abhichabho umumahoya gabho, kugiki bhadule gwikala bho mholele na bhichabho, umu kaya jabho.

Mathayo 13:10-11.

Marko 4:10-11.

KISWAHILI: NGOMA YA KIDEVU.

Walikuwepo watu waliokuwa wakila chakula kwenye kijiji cha Mangu. Watu hao, walikuwa wakivitikisha videvu vyao wakati huo wa kula mpaka vinakuwa kama vinacheza ngoma kwa sababu ya namna yao hiyo ya kula chakula hicho. Ndiyo maana watu waliita aina hiyo ya kula kuwa ni “ngoma ya kidevu.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huongea maneno ya mafumbo katika maongezi yake. Mtu huyo, hutumia maneno hayo ya mafumbo ambayo huwaletea watu ugumu wa kuyaelewa kwa haraka, kwa sababu ya ugumu wa mafumbo hayo. Yeye hushindwa kuilea vizuri familia yake kwa sababu ya maongezi yake hayo magumu, katika maisha yake.

Mtu huyo, hufanana na wale waliokuwa wakila chakula kwa kutikisha videvu vyao, kwa sababu naye huwa anakichezesha kidevu chake anapoongea maneno hayo ya mafumbo, katika maongezi yake. Ndiyo maana watu huyaita maongezi yake hayo kuwa ni “ngoma ya kidevu.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa makini na maneno ya mafumbo kwa kutumia maneno yanayoeleweka kwa kurahisi kwa watu katika maongezi yao, ili waweze kuishi kwa amani na wenzao, katika familia zao.

Mathayo 13:10-11.

Marko 4:10-11.

man-481425__480

ENGLISH: A DANCE OF THE CHIN.

There were people who were eating food in the village of Mangu. Those people used to shake their chins while eating to the point of appearing as if they were dancing because of their way of eating that food. That is why people considered that type of eating as “a dance of the chin.”

This saying is related to a person who speaks words of mystery in his speech. Such person uses words of riddles that make it difficult for people to understand them quickly, because of them being difficulty. He fails to raise well his family because of his difficult conversations in his life.

This person resembles to those who used to eat food by shaking their chins, because he also moves his chin when he speaks those words of mystery, in his speech. That is why people call his talk the “a dance of the chin.”

This saying teaches people being careful with metaphorical words by using words that are easily understood by people in their conversations, so that they can live in peace with their nobles, in their families.

Matthew 13:10-11.

Mark 4:10-11.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.