Akahayile kenako kaholelile higulya ya bhatumami bhajipande. Abhatumami bhenabho, bhatumamaga milimo nulu limi lisebhu gwingila diyu mpaga mhindi kunguno bhahaga bhamale wangu ipande jabho. Hunagwene abhanhu bhagabhitana giki, “bhajidigwa limi.”
Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agigulambijaga gutumama milimo midamu mpaga uyimala chiza, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agatumamaga milimo yakwe bho nguvu noyi gwingila diyu mpaga lyagagwa ilimi kunguno ahayile guyibheja chiza ikaya yakwe. Uweyi agaponaga majiliwa mingi na gupandika sabho ningi umubhutumami bhokwe kunguno ya wigulambija bhokwe ubho gutumama milimi yakwe yiniyo, umuwikaji bhokwe.
Umunhu ung’wunuyo, agikolaga na bhanhu abha jipande abho bhatumamaga milimo yabho gwingila diyu mpaga mhindi, kunguno nuweyi agikomejaga gutumama milimo yakwe bho nguzu gwingila diyu mpaga mhindi, umubhutumami bhokwe bhunubho. Hunagwene abhanhu bhaganyitanaga giki, “jidigwa limi.”
Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na wigulambija bho gutumama milimo yabho bho nguzu gwingila diyu mpaga mhindi kugiki, bhadule kupandika sabho ja gubhagunana chiza umuwikaji bhobho.
Mathayo 20:10 – 13.
KISWAHILI: WASIOSIKIA JUA.
Msemo huo, huongelea juu ya watu wa vibarua. Watu hao, hufanya kazi hata wakati wa jua kali kuanzia asubuhi mpaka jioni kwa sababu ya kutaka kumaliza mapema kipabarua chao. Ndiyo maana watu huwaita kwamba ni watu “wasiosikia jua.”
Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hujibidisha kufanya kazi ngumu mpaka anazimaliza, katika maisha yake. Mtu huyo, hufanya kazi zake kwa nguvu sana kuanzia asubuhi mpaka jioni kwa sababu ya kutaka kuujenga vizuri mji wake. Yeye hupata chakula kingi na mali nyingi kwa sababu ya kujibidisha kwake kufanya kazi zake hiyo, maishani mwake.
Mtu huyo, hufanana na watu wa kibarua waliofanya kazi kutwa nzima bila kujali ukali wa jua, kwa sababu naye hujibidisha kufanya kazi zake kwa nguvu kuanzia asubuhi mpaka jioni, katika utekelezaji wa majukumu yake. Ndiyo maana watu humuita kwamba ni mmoja wa wale “wasiosikia jua.”
Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na bidii ya kuyatekeleza vizuri majukumu yao kuanzia asubuhi mpaka jioni, ili waweze kupata mali za kuwasaidia vizuri maishani mwao.
Mathayo 20:10 – 13.
ENGLISH: THOSE WHO DO NOT FEEL THE SUN.
The above saying talks about the people who are paid daily. Those people work even during the hot sun from morning to evening because they want to finish their work early. That is why people consider them as “those who do not feel the Sun.”
This saying is compared to the person who tries to do a hard work until he finishes it, in his life. Such person works very hard from morning to evening because he wants to build his family well. He gets a lot of food and a lot of wealth because of his hard work in his life.
This person is similar to the laborers who worked all day regardless of the intensity of the sun, because he also works hard from morning to evening, in the execution of his duties. That is why people include him in group of “those who do not feel the Sun.”
This saying teaches people being about diligent in carrying out their duties well from morning to evening, so that they can get assets that can nicely help them in their lives.
Matthew 20:10 – 13.