1088. JILAPULYA NG’WINA.

Akahayile kenako kingilile kubhadimi bha mitugo abho bhikalaga muchalo ja Ng’wajilala. Abhadimi bhenabho, bhagaja gujujing’wisha imitugo jabho minzi ukunyanza ya Nyalanja.

Aliyo lulu, abhoyi bhagawilwa giki jilihoyi ng’wina umunyanza yiniyo ijo jigajipulaga imitugo ulu jingila ugung’wa iminzi. Hanagwene bhagiyangula gujilemeja ugung’wa aminzi genayo, kunguno bhamanile igiki, “jilapulwa Ng’wina.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agalabhilaga chiza ijikola jakwe, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agigwaga iyo agawilagwa nabhiye kunguno ya witegelaja bhokwe umukikalile kakwe kenako. Uweyi agikalaga na sabho nyinghi aha kaya yakwe, kunguno ya witegeleja bhokwe bhunubho ubho gujilanhana chiza ijiko jakwe jinijo, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ung’wunuyo, agikolaga na bhadimi bha mitugo abho bhagajipija gupulwa na ng’wina imitugo jabho jinijo, kunguno nuweyi agajilabhilaga chiza isabho jakwe mpaga jakwila aha kaya yakwe yiniyo. Hunagwene agabhalangaga jujilanghana chiza ijikolo jabho abhanhu bho gubhawila giki, “jilapulwa Ng’wina.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na witegeleja bho gujilabhila chiza isabho jabho, kugiki jidule gubhambilija bho shigu nyingi, umuwikaji bhobho bhunubho.

Mithali 5:12-14.

1Petro 5:8-9.

Zaburi 17:11-12.

KISWAHILI: WATANYAKULIWA MAMBA.

Msemo huo ulianzia kwa wachungaji wa mifugo waliokuwa wakiishi kwenye kijiji cha Mwakidalala. Wachungaji hao, walienda kuwanywesha maji mifugo hao kwenye ziwa la Nyalanja.

Lakini basi, watu hao walipewa taarifa juu ya uwepo wa mamba kwenye Ziwa hilo la Nyalanja ambao huwanyakua mifugo wanaoingia kunywa maji humo. Ndiyo maana waliamua kuacha kuwanywesha maji mifugo wao hao, kwa sababu wanaelewa kwamba, wakiingia ndani ya maji hayo, “watanyakuliwa Mamba.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huitunza vizuri mali yake anayoipata, katika maisha yake. Mtu huyo, huwasikiliza wenzake wanaomshauri vizuri, kwa sababu ya umakini wake huo wa kujali mali zake, katika maisha yake. Yeye huwa na mali nyingi sana katika familia yake kwa sababu ya umakini wake huo wa kuitunza vizuri, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na wale wachungaji waliowaokoa mifugo wao kunyakuliwa na Mamba, kwa sababu naye huitunza vizuri mali yake hiyo mpaga inaongezeka vizuri, maishani mwake. Ndiyo maana yeye huwafundisha watu juu ya utunzaji huo wa mali kwa kuwaambia kwamba, “itanyakuliwa Mamba.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na umakini wa kuitunza vizuri mali yao wanayoipata katika utekelezaji wa majukumu yao, ili iweze kuwasadia kwa muda mrefu maishani mwao.

Mithali 5:12-14.

1Petro 5:8-9.

Zaburi 17:11-12.

nile-crocodile-245013__480

crocodile-1851313__480

crocodile-3934974__480

ENGLISH: THEY WILL BE CAPTURED BY CROCODILES.

The overhead saying originated from the herdsmen who lived in the village of Mwakidalala. These shepherds went to give water to the livestock at Nyalanja lake.

But then, the people were informed about the presence of crocodiles in Nyalanja Lake, which grab livestock that enter to drink water there. That is why they decided to stop sending their livestock to drink water there, because they understand that, if they enter the water, “they will be captured by crocodiles.”

This saying is compared to the person who takes good care of his property that he gets, in his life. Such person listens to his colleagues who advise him well, because of his attention to care for his assets, in his life. He always has a lot of wealth in his family because of his attention to take good care of it, in his life.

This person is similar to those shepherds who saved their livestock from being grabbed by crocodiles, because he also takes good care of his property so that it increases well, in his life. That is why he teaches people about the care of wealth by telling them that, “they will be captured by crocodiles.”

This saying imparts in people an idea of being careful enough to take good care of their property that they get in fulfilling their duties, so that it can support them for a long time in their lives.

Proverbs 5:12-14.

1 Peter 5:8-9.

Psalm 17:11-12.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.