1079. ISUMBI LYA NGEGE.

Imbuki ya kahayile kenako ilolile Isumbi lya ngege. Ilisumbi linilo ligigasijiyagwa na munhu umo duhu uyo alimwinikili olyo, abhanhu abhangi bhadazunilijiwe uguligasija kunguno ya bhudonho bhokwe ng’winikili olyo. Hunagwene abhanhu bhagalitanaga giki, “lisumbi lya ngege.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agajilanhanaga chiza ijikolo jakwe, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, alinabhudonho bho gujidilila na gujitumamila chiza ijikolo jakwe, kunguno ya witegeleja bhokwe bhunubho, umubhutumami bho milimo yakwe yiniyo. Uweyi agajikalanaga ijikolo jakwe bho makanza malihu kunguno ya bhudiliji bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga ni lisumbi ilo ligigasijiyagwa na ng’wilikili olyo duhu, kunguno nuweyi agajilanhanaga chiza ijikolo jakwe, umukikalile kakwe. Uweyi agabhalangaga abhanhu bhakwe inzila ja gujidilila chiza ijikolo jabho, umuwikaji bhobho. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, “isumbi lya Ngege.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na witegeleja bho gujidilila chiza ijikolo jabho umubhutumami bho milimo yabho yiniyo, kugiki bhadule gujitumamila ijikolo jinijo kulikanza lilihu, umuwikaji bhobho.

Yoshua Bin Sira 18:27 – 28.

Zaburi 119: 9-11.

KISWAHILI: KITI CHA MTUNZAJI.

Chanzo cha Msemo huo, huangalia kiti cha mtunzaji. Kitu hicho, hukaliwa na mtu mmoja tu ambaye ndiye mmiliki wake, watu wengine hawaruhusiwi kukitumia kwa sababu ya utunzaji wake. Ndiyo maana watu humuita jila la “kiti cha mtunzaji.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huvitunza vizuri vitu vyake kwa kuvijali na vitumia kwa uangalifu zaidi, kwa sababu ya umakini wake huo. Yeye hubaki na vitu vyake akivitumia kwa muda mrefu, kwa sababu ya utunzaji wake huo mzuri, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na kile kiti kilichokaliwa na mmiliki wake tu, kwa sababu naye huvitumia kwa kuvijali vizuri vitu vyake. Ndiyo maana watu humuita jila la “kiti cha mtunzaji.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na umakini wa kuvitumia vizuri vitu vyao hivyo, ili waweze kukaa navyo vikiwasaidia kwa muda mrefu, katika familia zao.

Yoshua Bin Sira 18:27 – 28.

Zaburi 119: 9-11.

massai1

ENGLISH: THE CARETAKER’S CHAIR.

This saying looks at ways which an owner of a given chair takes care of it. This chair is occupied by only one person who is the owner. Other people are not allowed to use it because of its preservation. That is why people call it “the caretaker’s chair.”

This saying is compared to the person who takes good care of his things in his life. This person does so by protecting and using them more carefully, because of his good attention. He stays with his things by using them for a long time, because of his good care, in his life.

This person is like a chair that was occupied only by its owner, because he also uses thing by taking good care of him. That is why people call them “the caretaker’s chair.”

This saying imparts in people an idea of being careful in using their things properly, so that they can stay with them and help them for a long time, in their families.

Joshua Bin Sira 18:27 – 28.

Psalm 119: 9-11.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.