1078. IYAGAMBA LINTOB’A B’ULOLO.

Akahayile kenako kalolile kikalile kaliyagamba. Iliyagamba linilo, liling’ombe ligosha ilo ligikalaga lyuchimija amapembe ulu lyashiga ukubhudimilo, nulu ulu lyabhona madale gangi ligachimijaga amapembe galyo genayo. Ilyoyi hangi ulu lyushiga halugegu lo mongo guti ulu hadoto ligandyaga guyuchimija mpaga lyabalanha bhulolo amapembe galyo. Hunagwene abhanhu bhagalitanaga giki, “Iyagamba lintob’a bhulolo.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo alitumama nimo go gukonda bhugali nulu, nimo gosegose uyo agabhipaga luyilo, umubhutumami bhokwe bhunubho. Umunhu ng’wunuyo agatumamaga nimo gokwe gunuyo bho wigulambija bhutale na guzunya gubhipa bhulolo mpaga ogumala chiza, kunguno ya bhukamu bhokwe ubho gutumama milimo yakwe yiniyo, umuwikaji bhokwe. Uweyi agapandikaga sabho ninghi ija gudula gubhagunana abhanhu bha ha kaya yakwe yiniyo, kunguno ya wigulambija bhokwe ubho gutumama chiza imilimo yakwe yiniyo, umukikalile kakwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga niliyagamba ilo ligachimijaga amapembe galyo mubhulolo mpaga gadabalanha bhulolo, kunguno nuweyi agigulambijaga kutumama milimo yakwe bho guyila mpaga oyimala chiza, umubhutumami bhokwe bhunubho. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, “iyagamba lintob’a b’ulolo.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na bhukamu bho gutumama milimo yabho na nguzu mpaga bhayimala chiza, kugiki bhadule gupandika sabho ja gujambilija ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Waroma 12: 11.

Wagalatia 6: 9.

Mathayo 24:13.

 

KISWAHILI: FAHALI MVURUGA TOPE.

Msemo huo, huangalia maisha ya Fahali. Fahali huyo, ni dume la ng’ombe ambalo huwa linachomeka pembe zake kwenye matope hasa likifika kwenye sehemu ya kuchungia, au likiona kundi jingine la ng’ombe huchomeka chini pembe zake hizo. Lenyewe hasa huchomeka pembe zake likifika kwenye ukingo wa mto penye ubichi. Ndiyo maana watu humuita jina la “fahali mvuruga tope.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hupika ugali au hufanya kazi yoyote ya kutoka jasho, katika utendaji wake wa kazi. Mtu huyo, kujibidisha kwa hali ya juu kufanya kazi za kutosha jabho, mpaka anazimaliza vizuri, kwa sababu ya bidii yake hiyo ya kufanya kazi, maishani mwake. Yeye hufanikiwa kupata mali nyingi kwenye familia yake kwa sababu ya kujibidisha kwake kufanya kwa nguvu hivyo, katika maisha yake.

Mtu huyo, hufanana na yule fahali aliyechafuka pembe zake kwa kuzichomeka kwenye matope, kwa sababu naye hujibidisha kufanya kazi zake kwa kutosha jasho, mpaka anazimaliza vizuri, katika utendaji wake wa kazi. Ndiyo maana watu humuita jina la “fahali mvuruga tope.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na bidii ya kufanya kazi zao kwa nguvu mpaga wanazimaliza vizuri, ili waweze kupata mali za kuwasaidia katika familia zao, maishani mwao.

Waroma 12: 11.

Wagalatia 6: 9.

Mathayo 24:13.

ENGLISH: A MUD MIXER BULL.

The overhead saying looks at the life of the Bull. This Bull is a male cattle that sticks its horns in the mud especially when it reaches the grazing area, or when it sees another group of cows it sticks its horns down. It especially sticks out its horns when it reaches the edge of a river. That is why people call him as “a mud mixer bull.”

This saying is paralleled to a person who cooks stiff porridge or does any sweaty work, in his working activities. This person works hard to the point of finishing his works, because of his honest in his life. He manages to get a lot of wealth for his family because of his hard working in his life.

This person is like the bull that got his horns dirty by sticking them in the mud, because he also works hard enough to sweat to the point of finishing well his works, in his life. That is why people call consider him as “a mud mixer bull.”

This saying teaches people to be diligent in doing their works with strength until they finish them well, so that they can get assets that can help them in running well their families.

Romans 12:11.

Galatians 6:9.

Matthew 24:13.

 

bull-1

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.