1080. UGWIGUMHA IDI GUGWA ALIYO ILI GUJA BHUTONGI.

Ulusumo lunulo, lulolile wigumhi bho ng’wa munhu nhebhe. Uwigumhi bhunubho bhuli wipami bho gunlelengetwa umunhu ng’wunuyo mpaga wendugwa aliyo ugadama chiza.

Umunhu uyo wigumhaga ng’wunuyo, aduhayiwa igiki agwaga hasi kunguno uweyi wigumhaga duhu. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “ugwihumha idi gugwa aliyo iliguja bhutongi.”

 Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo obhubhaga umuchalo jakwe ulomba bhulekejiwa, umuwikaji bhokwe. Umunhu ng’wunuyo, agabhudebhaga ubhuhubhi bhokwe na kulomba bhulekejiwa bho gufumila kubhiye abho obhahubhilaga, umukikalile kakwe kenako.  Uweyi agagayiyagwa ubhuyeji kunguno ya guwiganika ubhuhubhi bhokwe bhunubho, umuchalo jakwe jinijo.

Ubhulombi bho gulekejiwa gokwe gunuyo gugang’wenhelaga lubhango ulu bhabhubokela chiza abhiye, kunguno agabhizaga na mholele, umumoyo gokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agigumha ulelengeta duhu bho nduhu ugugwa ihasi, kunguno nuweyi agahubhaga olomba bhulekejiwa na guyega kihamo nabhiye uluolekejiwa chiniko, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “ugwihumha idi gugwa aliyo iliguja bhutongi.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na wiyumilija bho gugamala wangu amakoye ayo bhali nago, kugiki bhadule guja bhutongi bho gujilela chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Luka 15:18.

Zaburi 15: 1.

Marko 10 :49.

Luka 18:13.

KISWAHILI: KUJIKWAA SI KUANGUKA BALI NI KWENDA MBELE.

Methali hiyo, huangalia kujikwaa kwa mtu fulani. Kujikwa huko, ni kujigonga miguu yake kwenye kitu fulani ambacho humuyumbisha mtu huyo kiasi cha kunusulika kuanguka. Mtu huyo hataambiwa kwamba ameanguka bali amejikaa tu. Ndiyo maana watu husema kwamba, “kujikwaa si kuanguka bali ni kwenda mbele.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hufanya kosa fulani katika jamii na kuomba msamaha, katika maisha yake. Mtu huyo, hulitambua upesi kosa lake na kuomba msamaha huo kwa wale aliowakosea, katika maisha yake. Yeye hukosa furaha kwa sababu ya kufikilia juu ya namna alivyowaumiza wengine kwa kosa lake hilo, maishani mwake.

Hatua yake ya kuomba msamaha humletea furaha kubwa unapopokelewa msamaha wake huo na wale aliowakosea, katika utekelejazi wa majukumu yake hayo.

Mtu huyo hufanana na yule aliyejikwaa akayumba bila kuanguka chini, kwa sababu naye hutenda kosa katika jamii na kulitumbua haraka kiasi cha kutosha kuomba msamaha, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “kujikwaa si kuanguka bali ni kwenda mbele.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na uvumilivu wa kutosha kuyatatua kwa haraka matatizo yanayowakumba katika utekelezaji wa majukumu yao, maishani mwao, ili waweze kuzilea vizuri familia zao.

Luka 15:18.

Zaburi 15: 1.

Marko 10 :49.

Luka 18:13.

           

ENGLISH: STUMBLING IS NOT FALLING BUT GOING FORWARD.

The above proverb looks at someone’s stumbling. To stumble implies hitting one’s feet on something that shakes him/her enough to avoid falling. Such person will not be told that he/she has fallen but has just stumbled. That is why people say that, “stumbling is not falling but moving forward.”

This saying is compared to the person who commits some mistakes in society and asks for forgiveness, in his life. Such person quickly realizes his mistake and apologizes to those whom he wronged in his life. He becomes unhappy because of realizing how he has hurt others by his mistake, in his life.

His act of asking for forgiveness brings him great joy when his forgiveness is acknowledged by those whom he wronged, in the enactment of his duties.

This person is similar to the one who stumbled and staggered without falling down, because he also commits a mistake in society and realizes it quickly enough to ask for forgiveness, in his life. That is why people tell him that, “stumbling is not falling but moving forward.”

This saying imparts in people an idea of being patient enough to quickly solve the problems which they encounter in the implementation of their responsibilities, in their lives, so that they can nicely raise their families.

Luke 15:18.

Psalm 15:1.

Mark 10:49.

Luke 18:13.

           

black-2934630__480

 

afrikanerin-381939__480

 

people-3137083__480

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.