1081. MAGULU GANUNHA MONGO.

Imbuki ya kahayile kenako, ihoyelile higulya ya ng’wa munhu uyo wikalaga mumongo bhuli makanza, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, oli na mabhonde mingi ayo oliolima maguha, madoke, minyemba, machungwa na gangi mingi. Uweyi wikalaga usingijaga umumabhonde gakwe genayo ayo gali mumongo kunguno ya gugalingulila na gutumama milimo moyi. Hunagwene abhanhu bhang’witanaga giki, “magulu ganunha mongo.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agadililaga milimo yakwe bho guyitumama chiza mpaga yang’wenhela solobho nhale, umuwikaji bhokwe bhunubho. Umunhu ng’wunuyo, agamishaga diyu ogayitumama imilimo yakwe chiza bhuli lushigu, kunguno ya bhukamu bho gutumama milimo yakwe yiniyo, umuwikaji bhokwe. Uweyi agapandikaga solobho nhale noyi umumilimo yakwe yiniyo, kunguno ya bhudiliji bhokwe bhunubho, umukikalile kakwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo odililaga mabhonde gakwe bho gwikala agugalimilaga umumongo chiniko, kunguno nuweyi agadililaga milimo yakwe bho gutumama milimo chiza mpaga opandika solobho ya gubhiza na sabho ninghi umubhutumami bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, “magulu ganunha mongo.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya guyidilila milimo yabho bho guyitumama mpaga bhayimala chiza, kugiki bhadule gupandika solobho ya kubhiza na jikolo ja gubhambilija chiza umuwikaji bhobho.

Mithali 24:27.

Mithali 31:13-18.

Luka 14:29 – 30.

KISWAHILI: MIGUU IMENUKA MTO.

Chanzo cha msemo huo, huongelea juu ya mtu aliyekuwa akiishi kwenye mto kila wakati katika maisha yake. Mtu huyo, alikuwa na bustani nyingi za miwa, ndizi, maembe, machungwa na matunda mengine mengi. Yeye alikuwa akiyatembelea mashamba yake hayo ya bustani yaliyokuwa mtoni kwa ajili ya kuyakagua na kuyatunza vizuri, maishani mwake. Ndiyo maana watu walimuita jila la “miguu imenuka mto.”      

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huzijali kazi zake kwa kuzitunza vizuri mpaka zinamletea faida kubwa maishani mwake. Mtu huyo, huamuka asubuhi na kwenda kufanya kazi vizuri kila siku kwa sababu ya bidii yake hiyo ya kutekeleza kazi zake hizo. Yeye hupata faida kubwa kutoka kwenye kazi zake hizo kwa sababu ya umakini wake huo wa kuzitekeleza vizuri, katika maisha yake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyezijali bustani zake kwa kuzitunza vizuri, mpaga zikampatia faida kubwa, kwa sababu naye huzijali kazi zake kwa kuzitunza, mpaka zinamletea faida kubwa, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humuita jina la “miguu imenuka mto.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuzijali kazi zao kwa kuzitekeleza vizuri mpaka mwisho, ili waweze kupata mafanikio makubwa ya kuwasaidia vizuri, katika maisha yao.

Mithali 24:27.

Mithali 31:13-18.

Luka 14:29 – 30.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.