1082. JILEKAGI JIME BHUKANGA DUHU.

Imbuki ya kahayile kenako, ihoyelile higulya ya bhuleki bho gung’wisha minzi mitugo. Jalihoyi ng’ombe ijo jigalya magula ga numbu ayo gagajenhelejaga gucha ulu jung’wa minzi. Abhanikili bha mitugo jinijo bhagajilemeja uguja ng’wa aminzi, gitumo bhagitilaga ulu jalyaga mandege momu, kunguno ya gujilanhana jigale mhola. Hunagwene bhagiwilaga giki, “jilekagi jime bhukanza duhu.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo adebhile ugujilabhila chiza ijikolo jakwe, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo agajilanhanaga ijikolo jakwe jinijo bhogujituula hasoga kunguno alina bhukalalwa bhutale ukusabho jakwe jinijo, umukikalile kakwe. Uweyi agapandikaga sabho ningi aha kaya yakwe kunguno ya gujilanhana chiza bhuli jene ijo agajipandikaga umubhutumami bhokwe bhunubho.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nabho bhagajilanhana ing’ombe jabho jukija ugucha, kunguno nuweyi agajilanhanaga isabho jakwe bho gujituula chiza, umukikakile kakwe. Hunagwene agabhawilaga abhanhu bhakwe giki, “jilekagi jime bhukanga duhu.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya kudebha kujilanghana chiza isabho jabho bho gujidilila chiza ijo bhalijipandika umubhutumami bhobho, kugiki jidule gubhambilija ku kulikanza lilihu umuwikaji bhobho.

Mathayo 13:27-30.

Mathayo 8: 14 -15.

KISWAHILI: ZIACHENI ZIKAE BILA KUNYWA MAJI TU.

Chanzo cha msemo huo, chaongelea juu ya uachaji wa kunywesha mifugo maji. Kulikuwa na ng’ombe waliokula majani ya viazi ambayo huwapelekea kufa kama wakinywa maji. Wenye ng’ombe hao waliwazuia kunywa maji hayo, kama wafanyavyo kwa wale waliokula mahindi makavu, kwa sababu ya kuwalinda ili wasife. Ndiyo maana wao waliambiana kwamba, “ziacheni zikae bila kunywa maji tu.”

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule afahamuye kuvitunza vizuri vitu vyake, katika maisha yake. Mtu huyo, huviweka vitu vyake hivyo katika matunzo ya hali ya juu kwa sababu ya moyo wake huo wa kuzijali vizuri mali zake hizo, katika maisha yake. Yeye hupata mali nyingi sana kwenye familia yake kwa sababu ya utunzaji wake wa kila mali anayoipata, katika utekelezaji wa majukumu yake.

Mtu huyo, hufanana na wamiliki wa ng’ombe waliowatunza mpaka wakabaki salama, kwa sababu naye huzitunza vizuri mali anazozipata katika kazi zake, maishani mwake. Ndiyo maana huwaambia watu wake kwamba, “ziacheni zikae bila kunywa maji tu.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuelewa kuzitunza vizuri mali wanazozipata katika utekelezaji wa majukumu yao, ili ziweze kuwasaidia kwa kipindi kirefu, maishani mwao.

Mathayo 13:27-30.

Mathayo 8: 14 -15.

cow2

ENGLISH: YOU LET THEM STAY WITHOUT DRINKING WATER.

This saying is about preventing livestock from drinking water. There were cows that ate potato leaves which could lead to death if they could drink water. The owners of them prevented them from drinking the water, as they do for those who ate dry corn, because of protecting them from dying. That is why they said to each other, “you let them stay without drinking water.”

This saying is compared to the person who knows how to take good care of his things, in his life. This person keeps his things in high quality care because of his inspired heart enough to take good care of his possessions, in his life. He gets a lot of wealth in his family because of his good caring of every property he gets, in fulfilling his duties.

This person is similar to the owners of cows who took care of them until they remained safe, because he also takes care of his things in life. That is why he tells people that, “you let them stay without drinking water.”

This saying instills in people a clue on understanding ways of taking good care of the assets which they get in fulfilling their duties, so that they can help them for a long time, in their lives.

Matthew 13:27-30.

Matthew 8: 14 -15.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.