1072. B’AGULEKA AB’IYO UGUJA NA NANI?

Akahayile kenako, kahoyelile bhulekwa bho ng’wa munhu nabhiye abho bhali mulugendo. Umulugendo lunulo, bhali bhanhu bhadatu abho bhagaliga hali kaya kugiki bhapandika jiliwa kunguno bhalibhatuubha noyi. Aliyo lulu, aho bhahaya ugubhuka, ung’wikachabho agilendeja mpaga bhuneka abhiye kunguno ya wiyibhu bhokwe bhunubho. Hunagwene abhanhu abha ha kaya yiniyo, bhagamuja uyo olekagwa ng’wunuyo giki, “bhaguleka abhiyo uguja na nani?”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agilendejaga ugutumama imilimo yakwe bho gudilila mihayo yingi, umuwikaji bhokwe. Umunhu ng’wunuyo, agajaga ugujutumama imilimo ogilendeja mu mihayo yingi iyo idina solobho, kunguno ya wiyiibhu bhokwe bhunubho. Uweyi agadumama uguyimala chiza imilimo yakwe, kunguno ya wilendeja bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agilendeja mpaga ulekwa na bhiye umulugendo lunulo, kunguno nu weyi agajaga kumilimo yakwe ogilendeja mumihayo yingi iyo idinasolobho umuwikaji bhokwe bhonubho. Hunagwene abhanhu bhagamujaga giki, “bhaguleka abhiyo uguja na nani?”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gudilila milimo yabho chiza bho guitumama mpaga bhayimala, kugiki bhadule gupandika sabho ja gubhambilija chiza, umuwikaji bhobho, bhunubho.

Mwanzo 18:10-15.

2Wakorintho 3:10-12.

Luka 1: 26-38.

KISWAHILI: WAMEKUACHA WENZAKO UTAENDA NA NANI?

Msemo huo, huongelea juu ya kuachwa kwa mtu mmoja na wenzake waliokuwa katika safari. Safari hiyo, ilikuwa ya watu watatu ambao walipita kwenye familia moja kwa ajili ya kupata chakula kwa sababu walikuwa na njaa sana.

Lakini basi, walipotaka kuondoka mmoja wao alijisahau mpaka wenzake wakamuacha kwa sababu ya kujisahau kwake huko. Ndiyo maana watu wa kwenye familia hiyo walimuuliza kwamba, “wamekuacha wenzako utaenda na nani?”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hujisahau kuzitekeleza kazi zake kwa kujali kazi zingine mpaka anachelewa kuzimaliza kazi hizo, katika maisha yake. Mtu huyo, huenda kufanya kazi na kuchelewa kuzitekeleza kwa kuanza kuongelea mambo mengine, kwa sababu ya kujisahau kwake huko. Yeye hushindwa kuzimaliza kazi zake vizuri kwa sababu ya kujali mambo mengi Zaidi kuliko kazi zake hizo, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyejisahau mpaka akaachwa na wenzake katika safari hiyo, kwa sababu naye hupoteza muda wa kufanya kazi kwa kujali mambo mengine, maishani mwake. Ndiyo maana watu humuuliza kwamba, “wamekuacha wenzako utaenda na nani?”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kujali kazi zao kwa kuzitekeleza vizuri, badala ya kufuata mambo mengine katika maisha yao, ili waweze kupata mafanikio mengi zaidi, maishani mwao.

Mwanzo 18:10-15.

2Wakorintho 3:10-12.

Luka 1: 26-38.

man-6900166__480

men-7030144__480

people-7271043__480

ENGLISH: YOUR COMPANIONS HAVE LEFT YOU, WHO WILL GO WITH YOU?

This saying talks about an abandonment of one person who left by his companions who were on a journey. The trip was for three people who went to a family to get food because they were very hungry.

But then, when they wanted to leave, one of them forgot his trip by doing other things until his colleagues left him because of his doing of other things instead of traveling. That is why the people of that family asked him that, “your companions have left you, who will go with you?”

This saying is compared to the person who forgets to do his work by caring about other things until he is late to finish his required work in his life. Such person goes to work late by starting to talk about other things, because of his self-forgetfulness. He fails to complete his tasks well because of caring about other things instead of doing his tasks in his life.

This person resembles the one who forgot himself by doing other things until he was left by his companions on the journey, because he also loses time of work by caring about other things in his life. That is why people ask him that, “your companions have left you, who will go with you?”

This saying teaches people about taking care of their works by doing them well, instead of following other things in their lives, so that they can get more success in their lives.

Genesis 18:10-15.

2 Corinthians 3:10-12.

Luke 1: 26-38.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.