Imbuki ya kahayile kenako ilolile Mbula. Imbula yiniyo igatulaga yenha bhuyeji ukubhanhu kunguno igazwishaja mbeyu jabho ijo bhajilima na gujibisha chiza ijiliwa jabho jinijo. Iyoyi igenhaga bhunelizu bho jizunva ja mbika nyingi. Hunagwene abhanhu bhagahayaga giki, “ukab’ula ung’wene jilela mhina.”
Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agambilijaga bhanhu abho bhali na makoye, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agabhadelekaga chiza abhanhu abho bhaganchalilaga makoye gabho, kunguno ya bhutogwa bhokwe ukubhanhu bhakwe bhenabho. Uweyi agabhenhelaga bhuyegi bhutale bhanhu bhingi abho agabhambilijaga ugugamala chiza amakoye gabho, umuwikaji bhokwe bhunubho.
Umunhu ng’wunuyo, agikolaga ni mbula iyo igenhaga minzi gagujilanghana chiza ijisunva, kunguno nuweyi agabhambilija chiza abhanhu abho bhali na makoye umukikalile kakwe kenako. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “ukab’ula ung’wene jilela mhina.”
Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gubhiza higiki bho gulitumila chiza ilikanza ilya mbula ijina gulima migunda mitale, kugiki bhadule kupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho.
Mathayo 25:1-13.
2Wakorintho 8:15.
Yoshua Bin Sira 10: 23-31.
KISWAHILI: KABULA YEYE NI MLEA YATIMA.
Chanzo cha msemo huo chaangalia mvua. Mvua hiyo huleta furaha kwa viumbe kwa sababu huotesha mbegu za wakuliwa na kuotesha nyazi pia na kuvikuza viumbe. Yenyewe huleta hali ya kijani katika uso wa Dunia. Ndiyo maana watu husema kwamba, “Kabula yeye ni mlea yatima.”
Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huwasaidia watu wenye matatizo katika maisha yake. Mtu huyo, huwasikiliza kwa makini na vizuri watu wampelekeao matatizo yao, kwa sababu ya upendo wake huo kwa watu wake. Yeye huwaletea furaha watu wengi anaowasaidia katika kuyatatua vizuri matatizo yao, kwa sababu ya uwezo wake huo, maishani mwake.
Mtu huyo, hufanana na ile Mvua iletayo maji ya kuvitunzia viumbe, kwa sababu naye huwasaidia watu katika kuyatatua matatizo yao vizuri, maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “Kabula yeye ni mlea yatima.”
Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa tayari kukitumia vizuri kipindi cha Mvua, kwa kulima mazao mengi, ili waweze kupata mafanikio mengi, maishani mwao.
Mathayo 25:1-13.
2Wakorintho 8:15.
Yoshua Bin Sira 10: 23-31.
ENGLISH: KABULA IS THE CARETAKER OF THE ORPHANS.
The foundation of this saying looks at the rain. This rain brings happiness to creatures because it grows edible seeds and also grows grass for them. It brings greenness to the face of the Earth. That is why people say that, “Kabula is the caretaker of the orphans.”
This saying is equated to a man who helps people in solving their problems in his life. This person listens carefully to people who bring their problems to him, because of his love for his people. He brings happiness to many people whom he helps in solving their problems, because of using well his ability in his life.
This person is similar to the Rain that brings water for taking care of creatures, because he also helps people in solving their problems in his life. That is why people tell him that, “Kabula is the caretaker of the orphans.”
This saying instills in people a clue on being ready to make good use of the rainy season, by cultivating many crops, so that they can achieve many successes in their lives.
Matthew 25:1-13.
2 Corinthians 8:15.
Joshua Bin Sira 10: 23-31.