1052. KAB’I KAB’ASUBHYA.

Imbuki ya kahayile kenako, ilolile munhu uyo alimini ombina. Umunhu ng’wunuyo agilomagulagulaga uluwitanwa nu ninghi oha mbina yiniyo, bho guyomba chene, kunguno ya gubhawila bho ngelogelo abhanhu abho bhagang’wilaga giki ali ni hanga lib’i. Hunagwene agiitanaga giki, “kab’i kab’asubhya.”

Umunhu ng’wunuyo, agalenganijiyagwa kuli munhu uyo agikalaga ubhayomba shib’i abhiye bho mihayo ya musilili, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo adumile uguyomba bho hape imihayo iyo igankoyaga umu moyo gokwe, kunguno ya bhob’a bhokwe bhunubho. Uweyi agikalaga ubhasiga abhanhu abho adabhatogagwa bho gubhayomba shib’i kunguno ya kutogwa mihayo ya bhulomolomo, umuwikaji bhokwe bhunubho.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo wilomagulaga ahambina bho gubhawila mihayo yangelogelo abhiye, kunguno nu weyi agikalaga ubhayomba shib’i abhiye abho adabhatogagwa, umuwikaji bhokwe. Hunagwene  agiitanaga giki, “kab’i kab’asubhya.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya guleka nhungwa ja kubhayomga ja gubhayomba shib’i abhichabho bho gwiyambilija chiza na witogwi, kugiki bhadule gujilela chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Sefania 2:8-10.

Waroma 9:1-2.

KISWAHILI: KABAYA KAMEWANYIMA RAHA.

Chanzo cha msemo huo, chaangalia mtu yule ambaye ni mcheza Ngoma. Mtu huyo, hujitapa anapoitwa na manju wa ngoma hiyo, kwa kusema hivyo, akijiita kuwa yeye ni kabaya ambako huwakosesha raha watu fulani, kwa sababu ya kuwafikishia ujumbe kwa njia ya mzunguko wale wanaomwambia kuwa ana sura mbaya. Ndiyo maana alijiita hivi, “kabaya kamewanyima raha.”

Mtu huyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huwa anawaongelea vibaya wenzake, kwa maneno ya chini chini, katika maisha yake. Mtu huyo, huwa hawezi kusema wazi yale yaliyomo moyoni mwake, kwa sababu ya uoga wake huo. Yeye huwa anawasengenya wenzake kwa kuwasema vibaya kwa sababu ya kukosa upendo kwao, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule mcheza ngoma aliyekuwa akijitapa anapoitwa kwa kuwasema vibaya wenzake, kwa sababu naye huwasema vibaya wenzake katika maongezi yake. Ndiyo maana hujiita, “kabaya kamewakosesha raha.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuachana na tabia ya kuwasema vibaya wenzao, kwa kuheshimiana na kusaidiana vizuri na kwa upendo, ili waweze kuzilea vizuri familia zao, maishani mwao.

Sefania 2:8-10.

Waroma 9:1-2.

men-5966213__480

ENGLISH: THE BAD ONE HAS DENIED THEM JOY.

The foundation of that saying look at the person who is a dancer. Such person, when he is called by the leader of that dance, responds by calling himself that he is the bad which makes some people uncomfortable, because of conveying the message to those who tell him that he has a bad look. That is why he called himself that “the bad one has denied them joy.”

This person is paralleled to a person who always speaks badly of his colleagues, in his life. This person cannot say clearly what is in his heart, because of his fear. He always gossips about his colleagues by saying bad things about them because of lacking love for them in his life.

This person looks like the drummer who used to boast himself when he was called out for badmouthing his colleagues, because he also badmouths his colleagues in his speech. That is why people call him that, “the bad one has denied them joy.”

This saying imparts in people an idea of abandoning habit of speaking badly of their nobles, by respecting and helping each other with love, so that they can raise their families well, in their lives.

Zephaniah 2:8-10.

Romans 9:1-2.

stick-fight-412666__480

zulu-youths-412664__480

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.