1038. NG’WENUYO OKENENWA AMAKINDIKINDI GUPONYIWA UKO.

Imbuki ya kahayile kenako ingilile kubhukeneni bho ginhu jilebhe. Ugukenenha ili gwinja makindikindi ayo galimuminzi bho gusamwa hado hado kugiki gasage minzi masoga nulu jinhu jisoga. Hunagwene abhanhu bhagayombaga ukulimhunhu unsoga giki, “ng’wenuyo okenenwa amakindikindi guponyiwa uko.”

Akahayile kenako kagalenganijiyawga kuli munhu uyo alinihanga lisoga ni ng’holo yakwe nsoga, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, olangwa ilange lya wiza na bhatale bhake ilo ligang’wambilijaga ugwikala chiza na bhanhu bhakwe, kunguno ya ng’holo yakwe iya wiza yiniyo. Uweyi agabhitilaga mihayo ya wiza abhanhu bhake kunguno ya ng’hola yakwe ya bhutogwa bhutale ukubhanhu bhakwe yiniyo.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga ni ginhu ijo jakenenwa mpaga jubhiza jisoga kunguno nuweyi, olangwa nhungwa ja wiza ijo jigang’wambilija ugwikala chiza na bhanhu bhakwe, umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhaganhayaga giki, “ng’wenuyo okenenwa amakindikindi guponyiwa uko.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gwilanga nhungwa ja wiza bho gwikala chiza na bhichabho, kugiki bhadule gwiyambilija chiza umuwikaji bhobho.

2Timotheo 1:1-7.

1 Timotheo 5:9-10.

1 Samweli 16:11-13.

Luka 1:46-48.

KISWAHILI: HUYO AMECHUJWA NA MAKAPI YAKATUPWA HUKO.

Chanzo cha msemo huo, chatokea kwenye uchujaji wa kitu fulani. Kuchuja ni kuondoa makapi yaliyoko kwenye maji kwa kumimina pole pole kwenye chombo maalumu ili makapi hayo yabaki chini na kupata kitu kizuri. Ndiyo maana watu husema kwa mtu aliye na roho nzuri kwamba, “huyo amechujwa na makapi yakatugwa huko.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule aliye na sura nzuri na moyo mweupe, katika maisha yake. Mtu huyo, alishafundisha malezi mema ambayo humsaidia katika kuishi vizuri na watu wake, kwa sababu ya amani yake na moyo wake huo mzuri, maishani mwake. Yeye huwatendea mema watu wake kwa sababu ya amani na upendo alionao kwao, katika maisha yake.

Mtu huyo, hufanana na kitu kilichochujwa mpaga kikawa kizuri, kwa sababu naye amefundishwa tabia njema insaidiayo kuishi na watu kwa kusaidiana nao vizuri, maishani mwake. Ndiyo maana watu humwongelea kwamba, “huyo amechujwa na makapi yakatugwa huko.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na tabia njema kwa kuishi vizuri na wenzao, ili waweze kusaidiana vizuri, maishani mwao.

2Timotheo 1:1-7.

1 Timotheo 5:9-10.

1 Samweli 16:11-13.

Luka 1:46-48.

models-1

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.