1006. WINA NKONO MBUPU

Imbuki ya kahayile kenako, ilolile bhubupu bho nkono go ng’wa munhu nhebhe. Olihoyi munhu umo uyo wikalaga muchalo jilebhe. Aliyo lulu umunhu ng’wunuyo oli na nkono mbupu uyo gosalaga jikolo josejose bho wangu wangu noi. Hunagwene abhanhu bhagang’wila giki, “wina nkono mbupu.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo ali ng’wib’i umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, atogilwe gunyembyanyembya jikolo ja b’iye bho nduhu ugwinhiwa na ng’winikili ojo. Uweyi agapandikaga makoye ga gwiduma na bhanhu abho agigalaga nabho kunguno ya wib’i bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo olina nkono mbupu uyo osolaga jinhu josejose bho wangu wangu, kunguno nu weyi agagutumilaga unkono gokwe bho ugwib’a ijikolo jabhiye, umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “wina nkono mbupu.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya guleka nhungwa ja gwib’a jikolo ja bhichabho, umuwikaji bhobho, kugiki bhadule gwikala bho mholele na bhanhu bhabho, umubhulamu bhobho.

Mathayo 15:19.

Wakolosai 3:8-9.

KISWAHILI: ANA MKONO MWEPESI.

Chanzo cha msemo huo chaangalia wepesi wa mkono wa mtu fulani. Alikuwepo mtu mmoja aliyeishi kwenye kijiji fulani. Lakini mtu huyo, alikuwa na mkono mwepesi ulioweza kuchukua kitu chochote kwa haraka sana. Ndiyo maana watu walimwambia kwamba, “ana mkono mwepesi.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ni mwizi katika maisha yake. Mtu huyo, hupenda kuchukua vitu vya watu kwa kufichaficha bila kupewa na wamiliki wa hivyo vitu. Yeye hupata matatizo mengi kwa sababu ya tabia yake hiyo mbaya ya wizi, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyekuwa na mkono mwepesi wa kuchukua vitu kwa haraka, kwa sababu naye hutumia mkono wake huo kwa kuiba vitu vya watu, maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “ana nkono mwepesi.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuacha tabia ya kuwaibia wenzao vitu vyao, maishani mwao, ili waweze kuishi kwa amani na wenzao, katika maisha yao.

Mathayo 15:19.

Wakolosai 3:8-9.

ENGLISH: HE HAS A LIGHT HAND.

This saying looks at the lightness of someone’s hand. There was one man who lived in a certain village. But he had a light hand that could take anything very quickly from others. That is why people said to him that, “He has a light hand.”

This is compared to the person who is a thief in his life. Such person likes to take people’s things in secret without being given by their owners. He gets into a lot of trouble because of his wicked habit of stealing properties of people in his life.

This person, in effect, resembles the one who has a light hand to take things of people, because he also uses his hand to steal people’s things, in his life. That is why people say to him that “He has a light hand.”

This saying imparts in people an idea of giving up the habit of robbing others of their belongings, in their lives, so that they can live in peace with each other, in their families.

Matthew 15:19.

Colossians 3: 8-9.

sand-3167368__480

 

black-2660280__480

 

map-2591759__480

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.