964. SHOKAGA NUMA HIGALAGALO.

Olihoyi namhala umo uyo agingila kulilwande lo bhatale ulo alidinashishiwa na bhiye. Unamhala ng’wunuyo, agakakilila akikalile kamzengo gokwe, kunguno abhanamhala bhalina kikalile kabho. Uweyi oli wigele lya higalagalo ili lidinashikilijiwa ukubhatale. Hunagwene bhagang’wila giki, “shokaga numa higalagalo.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agitulaga mu luganda ulo ludi lokwe, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agigulaganyaga umubhanhu abho bhadulile kumsagambuja ikaya yakwe, kunguno ya gugayiwa witegeleja, umukikajile kakwe. Uweyi, ugipondaga soni ng’winikili kunguno ya wigulanya bhokwe ubho gugayiwa witegeleja bhunubho, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nu namhala uyo agingila muligele lya bhatale aliyo aliyo aliohigalagalo duhu, kunguno nuweyi agigulanyaga mu ligele ilo lidilyakwe, umubhutumami bhobho bhunubho. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “shokaga numa higalagalo.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya kuleka nhungwa ja gwituula mumagele ga bhatale ayo gadigabho, kugiki bhadule gwitongela chiza, umuwikaji bhobho.

Mathayo 22:11-14.

Luka 14:22-24.

KISWAHILI: RUDI NYUMA SEBULENI.

Alikuwepo mzee mmoja aliyeingia kwenye chumba ambacho hajapitishwa na wenzake. Mzee huyo, alivunja kanuni za wazee wa kijiji chake, kwa sababu wazee hao, wana kanuni za kumwingiza kwenye kundi la wakubwa mzee anayesitahili. Yeye alisitahili kuishi sebuleni kwa sababu hajaingizwa rasmi huko. Ndiyo maana wazee hao walimwambia kwamba, “rudi nyuma sebuleni.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hujichanganya kwenye kundi lisilo lake, katika maisha yake. Mtu huyo, hujichanganya kwa watu wanaoweza kumharibia familia yake, kwa sababu ya kukosa umakini, katika utekelezaji wa majukumu yake. Yeye hujiaibisha mwenyewe kwa sababu ya kutokuwa makini kwake, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule mzee aliyejiingiza kwenye kundi la wakubwa ambalo hajaingizwa rasmi, kwa sababu naye hujichanganya kwenye kundi lisilo lake, katika utendaji wake wa kazi. Ndiyo maana watu humuambia kwamba, “rudi nyuma sebuleni.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuachana na tabia za kujiingiza kwenye makundi ya wakubwa yasiyo yao, ili waweze kuongozana vizuri, maishani mwao.

Mathayo 22:11-14.

Luka 14:22-24.

people-111

maasia-

ENGLISH: RETURN BACK TO THE LIVING ROOM.

There was an old man who entered a room of elders before being officially initiated to it by them. This old man broke the rules of the elders of his village, because those elders have various rules for including him in the group of elders as a worthy elder. He deserved to live in the living room because he was not officially initiated to it. That is why the elders ordered him to “return back to the living room.”

This saying is applied to a person who associates himself with a group that is not his own in life. This person in turn confuses himself with people who can ruin his family, because of a lack of focus in fulfilling his duties. He becomes ashamed of himself because of his carelessness in life.

This person resembles to the old man who joined a group of elders before being officially included in it, because he also associates himself with a group that is not his own in his daily activities. That is why the elders order him to “return back to the living room.”

This saying teaches people on giving up the habits of indulging in non-adult groups, so that they can get along well with family members in their societies.

Matthew 22: 11-14.

Luke 14: 22-24.

kenya-22

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.