939. KALAGU – KIZE. AGWITAGA MBIYU NINGI ALIYO UGUZWA NDUHU – MAMOTO GA MBULA.

Ikalagu yiniyo, iholile mamoto ga mbula. Amamoto ga mbula genayo, gali mizilo ga mingi ahikanza lya gutula mbula. Agoyi gagikolaga nu mhib’i o mbiyu ijo jidazwaga kunguno ulu yutula imbula igenhaga mingi duhu ayo gagahumaga gaja. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, “agwitaga mbiyu ningi aliyo uguzwa  nduhu – mamoto ga mbula.”

Ikalagu yiniyo, igalenganijiyagwa kuli munhu uyo agatumamaga milimo yakwe bho nguzu ningi, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agib’egejaga ng’winikili bho gwandya kulima wangu ahikaza lya mbula ja gwandya. Uweyi agagatumilaga chiza aminzi ga mbula jinijo mpaga opandika jiliwa ja mbika ningi, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’winuyo, agikolaga nu wingi bho mamoto ga mbula, kunguno nu weyi agikomejaga kutumama milimo yakwe bho nguzu ningi ijo jigampandikilaga sabho ningi, umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “agwitaga mbiyu ningi aliyo uguzwa  nduhu – mamoto ga mbula.”

Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya gwikomeja kutumama milimo yabho bho nguzu ningi, kugiki bhadule gupandika sabho ningi ja gwikoma kujibheja chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Mathayo 24:13.

Waruma 12:1.

Wagalatia 9:6.

Yohana 16:21-22.

Ufunuo 2:10.

Luka 9:62.

 

KISWAHILI: KITENDAWILI  –  TEGA.

ANAMWAGA MBEGU NYINGI LAKINI KUOTA HAKUNA – MATONE YA MVUA.

Kitendawili hicho, huongelea matone ya mvua. Matone hayo ya mvua, ni mapitio ya maji wakati mvua hiyo inanyesha. Yenyewe hufananishwa na mmwagaji wa mbegu ambazo hazioti kwa sababu inaponyesha mvua hiyo, huleta maji tu ambayo hutiririka na kwenda zake. Ndiyo maana watu huhadithiana kwamba, “anamwaga mbegu lakini kuota hakuna –  matone ya mvua.”

Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hufanya kazi zake kwa nguvu nyingi, katika maisha yake. Mtu huyo, hujitegemea mwenyewe kwa kuanza kulima mapema wakati wa mvua za mwanzo. Yeye huyatumia vizuri maji hayo ya mvua mpaga anapata chakula cha aina nyingi, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na wingi wa matone ya mvua, kwa sababu naye hujibidisha kuyatekeleza kwa nguvu majukumu yake hayo ambayo humpatia mali nyingi, maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “agwitaga mbiyu ningi aliyo uguzwa  nduhu – mamoto ga mbula.”

Kitendawili hicho hufundisha watu juu ya kujibidisha kuyatekeleza kwa nguvu nyingi majukumu yao, ili waweze kupata mali nyingi za kutosha kuziendeleza vizuri familia zao, maishani mwao.

Mathayo 24:13.

Waruma 12:1.

Wagalatia 9:6.

Yohana 16:21-22.

Ufunuo 2:10.

Luka 9:62.

raindrop-

rainy-day-

clover-drops

 

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.