Ikalagu yiniyi, ilolile Ngi. Ingi yiniyo, ilijisumva ijo jigamanaga julala jagadanha bhuli hene kunguno ya gwicholela jiliwa jayo. Iyoyi igadanhaga hose hose na mu makanza gose ibhize limi nulu bhujiku. Hunagwene abhanhu bhagiitanaga giki, “namba o bhuli hene – ngi.”
Ikalagu yiniyo, igalenagnijiyagwa kuli munhu uyo agitulaga bhumaniji bho bhuli hene, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agikalaga witambukija bhuli mumhayo uyo guliyombwa na bhiye kunguno ya wikumbwi bhokwe bhunubho ubho guhaya apandike bhuli jene ijo alijigwa. Uweyi agadumaga uyibheja chiza ikaya yakwe kunguno ya bhuyungi bhokwe bhunubho ubho guja uchola mihayo bhuli hene, umuwikaji bhokwe.
Umunhu ng’wunuyo, agikolaga ni ngi iyo igadanhaga bhuli hene, kunguno nuweyi agituulaga bhumani bho guja witambukija bhuli mhayo uyo guliyombwa, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki “namba o bhuli hene – Ngi.”
Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya gubhiza na wibhembu bho gwikala mukaya jabho, kugiki bhadule gujibheja chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.
Luka 1:46.
Mathayo 1:18-25.
KISWAHILI: KITENDAWILI – TEGA.
MALAYA WA KILA MAHALI – INZI.
Kitendawili hicho, huongelea inzi. Inzi huyo, ni kiumbe kile ambacho huwa kina lukia na kutua kila mahali kwa sababu ya kujitafutia chakula chake. Chenyewe hutua popote na wakati wowote iwe mchana au usiku. Ndiyo maana watu hukiita kwamba ni “Malaya wa kila mahali – inzi.”
Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hujitia kujua kwenye kila jambo, katika maisha yake. Mtu huyo, huwa anadakia kila neno analolisikia kwa wenzake kwa sababu ya tamaa yake ya kutaka kupata kila kile anachokisikia. Yeye hushindwa kuiendeleza vizuri familia yake kwa sababu ya utembeaji wake huo wa kudandia kila neno, maishani mwake.
Mtu huyo, hufanana na inzi anayetua kila mahali, kwa sababu naye hujitia kujua kwa kudakia kila neno analolisikia, maishani mwake. Ndiyo maana watu humuita kwamba ni “Malaya wa kila mahali – inzi.”
Kitendawili hicho, hufundisha watu juu ya kuwa watulivu kwa kuishi kwenye familia zao, ili waweze kuziendeleza vizuri, maishani mwao.
Luka 1:46.
Mathayo 1:18-25.
ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME.
A PROSTITUTE OF EVERYWHERE – A FLY.
This riddle looks at the life of flies. A fly is a creature that jumps and lands everywhere in searching for food. It lands everywhere at any time of the day or night. That is why people call it “a prostitute of every where – a fly.”
This riddle is compared to the man who pretends to know everything, in his life. He on the other hand, is obsessed with every word he hears from his colleagues because of his desire to get everything that he hears. He fails to make success in his family because of his wanderings in his life.
This person is like a fly that lands everywhere, for he too is keenly aware of every word he hears, in his life. That is why people call him “a prostitute of every where prostitute – a fly.”
This riddle imparts in people an idea on how to be calm by living in their families, so that they can develop them well, in their lives.
Luke 1:46.
Matthew 1: 18-25.