819. BHUNONU BHO CHAYI SUKARI.

Ichayi jilijing’wiwa ijo jigatumilaga na bhanhu bhingi. Aliyo lulu, ichayi yiniyo ulu idina sukari idabhizaga na bhunonu. Iyoyi mpaga igaditilagwa sukari naya nona lulu. Hunagwene abhahu bhagayombaga giki, “bhunonu bho chayi sukari.”

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agabhadililaga chiza abhanhu bho gulola bhumunhu bhobho, idi bho gulola mahanga gabho duhu, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, alina nhungwa ja wiza ijo jigang’wambilijaga ugubhitilia mito ga wiza abhiye, kunguno aidebhile isolobho  ya bhu munhu bhobho. Uweyi agapandikaga matwajo mingi umumilimo yakwe, kunguno ya gubhiza na wambilijiwa bho bhanhu bhingi abho bhatogilwe ugwikala nag’hwe, akahaya yakwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga ni sukari iyo iganonhyaga chayi, kunguno nu weyi alina nhungwa ja wiza ijo jigabhudililaga ubhumunhu bho bhiye, umukikalile kakwe. Hunagwene agabhawilaga abhanhu giki, “bhunonu bho chayi sukari.”

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gubhiza na nhungwa ja wiza ija gubhambilija abhichabho bho gulola bhu munhu bhobho, kugiki bhadule gupandika mtwajo mingi, umubhutumami bho milimo yabho, shigu jose.

Mathayo 12:32-35.

KISWAHILI: UTAMU WA CHAI SUKARI.

Chai ni kinyaji ambacho watu wengi hukinywa. Lakini basi, chai hiyo, kama haijatiwa sukari huwa haiwi tamu. Yenyewe mpaka iwekewe sukari ndipo ipate utamu wake. Ndiyo maana watu husema kwamba, “utamu wa chai sukari.”

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huwajali vizuri watu kwa kuangalia utu wao, badala ya kuangalia sura zao tu, katika maisha yake. Mtu huyo, ana tabia njema ambayo humsaidia katika kutenda matendo mema, kwa wenzake, kwa sababu ya yeye kuwa na ufahamu juu ya utu wa watu wake hao. Yeye hupata mafanikio mengi katika utekelezaji wa majukumu yake, kwa sababu ya kupata msaada kutoka kwa watu wengi wanapenda kuishi naye, kwenye familia yake hiyo.

Mtu huyo, hufanana na sukari ambayo huleta utamu kwenye chai, kwa sababu naye anayo tabia njema ambayo humwezesha kuujali utu wa wenzake, katika maisha yake. Ndiyo maana huwaambia watu kwamba, “utamu wa chai sukari.”

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuwa na tabia njema ya kuwasaidia wenzao, kwa kuuangalia utu wao bila kujali sura zao, ili waweze kupata mafanikio mengi, katika utekelezaji wa majukumu yao, siku zote.

Mathayo 12:32-35.

ethiopia-tea

africa-tea

drink-

ENGLISH: THE SWEETNESS OF TEA IS SUGAR.

Tea is a beverage that most people drink. But then, if it is not added sugar, it is not sweet. It gets its sweetness when sugar is added to it. That is why people say, “the sweetness of tea is sugar.”

This proverb is likened to a man who cares deeply about people by looking at their personalities, rather than just their appearance in life. Such person has a good attitude that helps him in doing good deeds to others, because of him being aware of the dignity of them. He finds great success in fulfilling his responsibilities, because of the support of many people who like to live with him, in his family.

This person is like some sugar that brings sweetness to the tea, because he also has a good attitude that enables him to take care of his colleagues’ dignities in his society. That is why he tells people that, “the sweetness of tea is sugar.”

This proverb instills in people an idea on how to be good at helping others, by looking at their personalities regardless of their appearance, so that they can be more successful, in carrying out their daily responsibilities in their societies.

Matthew 12: 32-35.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.