816. DIMAGA LUSHU ULYE NYAMA.

Imbuki ya kahayile kenako, ihoyelile munhu uyo agayelaga na lushu lokwe, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agalutumamilaga ulushu lwokwe nululo, bho guchembela ginhu iyo alajibhone uko alisiminzila. Uweyi ulu ushiga aho jiliho nyama adukoya uguichemba inyama yiniyo na guilya, kunguno alinajo ijitumamilo jakwe.

Aliyo lulu, umunhu uyo adina lushu, ulu usanga nyama aguduma ugupandika nulu kanofu, ulu adalombile gubhiye, kunguno adayelaga higiki, bho gwikala na jitumamilo jakwe, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “dimaga lushu ulye nyama.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agikalaga higiki bho gujiyelana ijitumamilo jakwe, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agikalaga wibhegelejije chiza ijinabhutumami bho milimo yakwe ni jinagubhambilija abho bhali makoye, kunguno ya kujikalana makanza gose ijitumamilo jakwe.  Uweyi agapandikaga matwajo mingi umubhutumami bho milimo yakwe, kunguno ya gwikala higiki bho gujikalana chiza ijitumamilo jakwe jinijo.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agikalaga higiki bho guyela na lushu lokwe, kunguno nuweyi agikalaga higiki bho gujikalana chiza ijitumamilo jakwe, umukikalile kakwe. Uweyi agabhalangaga abhanhu bhakwe nzila ja gwikala higiki bho gujikalana chiza ijitumamilo jabho. Hunagwene agabhawilaga abhanhu giki, “dimaga lushu ulye nyama.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gwikala higiki bho gujikalana chiza ijitumamilo jabho, umukikalile kabho, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho.

Mathayo 25:10-13.

KISWAHILI: SHIKA KISU ULE NYAMA.

Chanzo cha msemo huo, chamongelea mtu ambaye hutembea na kisu chake, katika maisha yake. Mtu huyo, hukitumia kisu chake hicho, kwa kukatia kitu chochote anacho kiona kule atembeleako. Yeye akikuta nyama hatahangaika kuikata na kuila kwa sababu anacho kitendea kazi chake.

Lakini basi, mtu yule ambaye hana kisu akituta nyama atashindwa kupata hata mnofu mdogo, kwa sababu ya kutokujiweka tayari, katika maisha yake. Ndiyo  maana watu humwambia kwamba, “shika kisu ule nyama.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huwa amejiweka tayari kwa kutembea akiwa na kitendea kazi chake, katika maisha yake. Mtu huyo, huwa amejiandaa katika utekelezaji wa majukumu yake, yakiwemo yale ya kuwasaidia watu walioko kwenye matatizo, kwa sababu ya kuwa nacho muda wote kitendea kazi chake hicho. Yeye hupata mafanikio mengi katika utendaji wake wa kazi kwa sababu ya kujiweka tayari kwa kutendea akiwa na kitendea kazi chake hicho.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyekuwa tayari kwa kutembea akiwa na kisu chake kokote alikoenda, kwa sababu naye huwa yuko tayari kwa kutembea akiwa na kitendea kazi chake hicho, katika maisha yake. Yeye huwafundisha pia watu wake namna ya kuwa na vitendea kazi vyao popote wanapoenda. Ndiyo maana huwaambia watu kwamba, “shika kisu ule nyama.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kujiweka tayari muda wote kwa kutembea wakiwa na vitendea kazi vyao, katika maisha yao, ili waweze kupata mafanikio mengi, maishani mwao.

Mathayo 25:10-13.

cut-meat-

meat-

 ENGLISH: GET HOLD OF A KNIFE AND EAT MEAT.

The cradle of the above saying speaks of a man who walks with a knife in life. This man was using his knife to cut anything which he saw on his way. If he found meat, he would not bother to cut it and eat because he had a tool cutting it.

But then, the man who does not have a knife will not be able to get even a little meat, because of his unpreparedness in his life. That is why people say to him that, “get hold of a knife and eat meat.”

This saying is compared to a person who is prepared enough to walk with a tool in life. This person carries out his or her responsibilities, including helping those who are in need, because of being prepared. He/she achieves great success in daily works because of his/her willingness to use his/her tool whenever it is needed.

This person is like the one who walked with his knife wherever he went, because he walks with his tool in his life. He also teaches his people on how to be with their tools wherever they go. That is why he tells them that “get hold of a knife and eat meat.”

This saying teaches people on how to be prepared all the time by walking with their tools, in their lives, so that they can have more success in their societies.

Matthew 25: 10-13.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.