817. MAKOYE GAGAMANYICHAGA BHUMUNHU.

Amakoye jili jigemelo ja ng’wa munhu ijo jigolecha umo agiyumiligijaga, umukikalile kakwe. Ijigemelo jinijo jigolechaga matwajo gakwe umunhu ng’wunuyo ayo gagamanyichaga igiki alinshikanu, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “makoye gagamanyichaga bhumunhu.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agolechaga bhushikanu bho gwiyumilija ulu opandikaga mayange, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agolechaga wigulambija bhutale ubho bhugang’wambilija ugugamala wangu amakoye ayo alinago. Uweyi agadulaga uguginja amakoye gakwe genayo, nu gubhambilija abhiye abho bhali na mayange, kunguno ya wiyumilija bhokwe bhunubho, umukikalile kakwe.

Akahayile kenako, kagikolaga nu munhu uyo alina bhushikanu bho gwiyumilija gugamala wangu amakoye gakwe, kunguno nuweyi ali na wiyumilija bho gugamala wangu amakoye ayo alinago, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “makoye gagamanyichaga bhumunhu.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na wiyumilija bho gubhambilija abhanhu bhabho ugugamala wangu amakoye gabho, kugiki bhadule gubhulang’hana chiza ubhumunhu bhobho, umuwikaji bhobho.

Yohane 4:1-2.

KISWAHILI: SHIDA HUDHIHIRISHA UTU.

Shida ni jaribu la mwanadamu ambalo huueleza uvumilivu wake katika mahangaiko ya maisha. Jaribu hilo, huonesha matunda ya mtu huyo ambayo huonesha ukomavu alizo nao katika kuvumilia mahangaiko yake. Ndiyo maana watu husema kwamba, “shida hudhihirisha utu.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huonesha hali ya uvumilivu mkubwa katika kuyatatua matatizo yake, maishani mwake. Mtu huyo, hujibidisha kutafuta njia za kuyamaliza matatizo yake kwa uvumilivu mkubwa. Yeye huweza kuyaondoa au kuyamaliza mapema matatizo yanayomkumba, na kuwasaidia pia wenzake walioko kwenye matatizo ili waweze kuondokana nayo, kwa sababu ya uvumilivu mkubwa alio nao, maishani mwake.

Msemo huo, hufanana na mtu yule aliye na uvumilivu wa kuyatatua matatizo yake mapema, kwa sababu naye, anao uvumilivu huo, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “shida hudhihirisha utu.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na uvumilivu wa kuwasaidia katika kuyamaliza mapema matatizo yao, ili waweze kuulinda vizuri utu wao, maishani mwao.

Yohane 4:1-2.

africa1

injecting

taking madicine

ENGLISH: PROBLEMS MAKE ONE’S CHARACTER KNOWN.

Adversity is a human trial that describes his/her perseverance in anxieties of life. Such test, in turn, reflects person’s fruits, which also reflects his maturity in enduring his anxieties. That is why people say that, “problems make one’s character known.”

This saying is compared to a man who shows great patience in solving his problems in life. This person strives to find ways for solving his problems with great patience. He manages eradicate them that beset him. He can help those who are struggling to solve their problems, because of his great patience in eradicating them.

This man is similar to the person who has patience in solving his problems, because he, too, has that patience in his life. That is why people say to him that, “problems make one’s character known.”

The saying teaches people on how to be patient enough to help others solve their problems early, so that they can better protect their personality in their societies.

John 4: 1-2.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.