806. BHULI MBINA YILI NA LYIMBO LYAYO.

Ulusumo lunulo, lulolile mbina na mimbo gajo. Imbina jinijo jigabhinagwa na bhanhu ukunhu bhalimba mimbo ayo gajilanijije najo. Aliyo lulu, bhuli ng’wimbi agikalaga alidebhi ilyimbo lya gubhinila umumbina yiniyo, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “bhuli mbina yili na lyimbo lyayo.”

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo akadebhile akatumamile ka bhuli nimo uyo agagutumama, umukikallile kakwe. Umunhu ng’wunyo, akamanile agakashokeje ka bhuli mhayo uyo aliwilwa na bhiye umumahoya gakwe. Uweyi agabhalangaga abhanhu bhakwe inzila ja gubhiza ni kujo lya gutumila mihayo ikujo umumahoya gabho, bho kikalile kakwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nu ng’wimbi o mbina uyo wimbaga lyimbo lya mbina yiniyo, kunguno nuweyi akadebhile akatumamile ka bhuli nimo, umukikalille kakwe. Hunagwene abhanhu agabhawilaga giki, “bhuli mbina yili na lyimbo lyayo.”

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gubhiza ni kujo lya gudebha mihayo ya guhoya na bhichabho, umukikalile kabho, kugiki bhadule gwikala bho mholele nabho, umuwikaji bhobho.

Mathayo 12:1-2.

KISWAHILI: KILA NGOMA INA  WIMBO WAKE.

Methali hiyo, huangalia ngoma na nyimbo zake. Ngoma hizo huchezwa huku watu wakiwa wanaimba nyimbo zinazoendana nazo. Lakini basi, kwenye kila ngoma mwimbaji wake huwa anaufahamu wimbo wa kuichezea hiyo ngoma, katika maisha yake. Ndiyo maana watu husema kwamba, “kila ngoma ina wimbo wake.”

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye anafahamu namna ya kuyatekeleza vizuri majukumu yake, katika maisha yake. Mtu huyo, anafahamu neno lenye busara itakiwayo kuwajibu watu anaoongea nao katika maongezi yake. Yeye huwafundisha pia wenzake namna hiyo ya kuwa na hekima ya kutumia maneno yenye busara katika maisha yao, kwa kupitia maisha yake.

Mtu huyo, hufanana na mwimbaji aliyeuelewa kuumba wimbo wa ngoma yake aliyokuwa akiicheza, kwa sababu naye anafahamu namna ya kuyatekeleza vizuri majukuma yake, katika maisha yake. Ndiyo maana huwaambia watu kwamba, “kila ngoma ina wimbo wake.”

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuwa na hekima ya kutumia maneyo yenye busara katika kuyaelewa vizuri majukumu yao, maishani mwao, ili waweze kuishi kwa amani na wenzao, siku zote.

Mathayo 12:1-2.

africa-dance

papua-dance

south-africa dance

ENGLISH: EVERY DANCE HAS ITS OWN SONG.

This proverb looks at a way of singing in each dance. Dances are performed while people sing relevant accompanying songs. But then, in every dance the singer knows the song for playing that dance in life time. That is why people say, “Every dance has its own song.”

This proverb is likened to a man who knows how to carry out his duties well in his life. Such person knows wises word for answering people who speaks with him in every day conversation. He also teaches his colleagues on how to be wise enough to use wise words in their lives.

This person is like the singer who understood the song of each dance that he/she was playing, because he also knows how to properly perform his duties in life time. That is why this person tells people that, “every dance has its own song.”

This proverb teaches people on how to be wise enough to use sage words in understanding their responsibilities, in their lives, so that they can always live in peace with one another,.

Matthew 12: 1-2.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.