804. UNTWE IPOLU.

Ulusumo lunulo, lulolile ntwe na mingi iyo ibhungilwe moyi. Umuntwe go ng’wa munhu jilihoyi mbisila ningi guti numo lili ilipolu ilitale, kunguno nalyo ligabhungaga mingi moyi. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “untwe ipolu.”

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agabhadalahaga abhanhu abho bhahumulile, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agabhadalahaga abhanhu bhenabho abho bhahumulile, kunguno adamanile iyo bhaliiganika, umukikalile kabho. Uweyi agabhonaga soni noyi ulu oigwa mihayo ya wiza iyo bhagaiyombaga abhanhu abho agabhadalahaga bhenabho, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ung’wunuyo, agikolaga nuyo adadebhile mingi iyo ili muntwe go ng’wa munhu, kunguno nuweyi agabhadalahaga abhanhu abho bhahumulile, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “untwe ipolu.”

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya guleka gubhadalaga abhichabho, umukikalile kabho, kugiki bhadule kupandika matwajo mingi umuwikaji bhobho.

Mathayo 6:6.

KISWAHILI: KICHWA NI POLI.

Methali hiyo, huangalia kichwa na wingi wa yale yaliyomo ndani yake. Kichwani mwa mtu kuna mengi yaliyofichika mle kama vile poli kubwa lilivyo na vitu vingi ndani yake, kwa sababu nalo huwa na vitu vingi sana vilivyofichika. Ndiyo maana watu husema kwamba, “kichwa ni poli.”

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huwadharau watu ambao wako kimya, katika maisha yake. Mtu huyo, huwadharau watu hao ambao wako kimya, kwa sababu hajui yale wanayoyafikiria, katika maisha yake. Yeye huona aibu sana anaposikia maneno mazuri wanayoyaongea watu hao ambao aliwadharaua kabla ya kuwasikiliza kwanza ili afahamu mawazo yao.

Mtu huyo, hufanana na yule ambaye hakuyaelewa yale mengi yaliyomo kichwani mwa mtu, kwa sababu naye huwadharau watu walioko kimya, katika maisha yake bila kuwasikiliza kwanza. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “kichwa ni poli.”

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuacha tabia za kuwadharau wenzao, katika maisha yao, ili waweze kupata mafanikio mengi katika utekelezaji wa majukumu yao, maishani mwao.

Mathayo 6:6.

HEAD2

 

HEAD3

ENGLISH:  THE HEAD IS A FOREST (A PERSON’S HEAD IS LIKE A FOREST).

This proverb looks at the head of person and what it contains. In it, there are as many hidden things as there are in a big forest with a lot of things in it, because it also has a lot of hidden things. That is why people say, “the head is a forest (a person’s head is like a forest).”

This proverb is likened to a man who despises people who are silent in life. This person, in turn, despises them because he does not know what they are thinking in their heads. He feels very ashamed when he hears the wise words which are spoken by those whom he despised before first listening to them so that he could understand their thoughts.

This person is like the one who did not understand much of what is in a person’s head, because he also despises people who are silent, in his life without first listening to them. That is why people say to him, “the head is a forest (a person’s head is like a forest).”

This proverb teaches people about giving up the habit of despising others, in their societies, so that they can find more success in fulfilling their daily responsibilities in their families.

Matthew 6: 6.

 

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.