767. MINO GAPE KUDI MOYO.

Akahayile kenako, kalolile bhupe bho mino ga ng’wa munhu. Abhanhu abho bhalimona umunhu ng’wunuyo bhagagalolelaga amino agape genayo. Ulu bhagabhona bhagagalenganijaga nu moyo go ng’wa munhu uyo alina bhuyegi nabhiye, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhenabho bhagang’witanaga giki, “mino gape kudi moyo.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo alina moyo go gwikala chiza na bhanhu, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, alina bhutogwa bho nhana ukubhunhu. Uweyi agatumamaga milimo yakwe bho moyo gope, kugiki adule gupandika jikolo ja kutumamila na gubhambilija abhiye abho bhali na makoye.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuo mino gape guti moyo, kunguho nuweyi aina moyo gope, ugo gwikala chiza na bhanhu. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, “mino gape kudi moyo.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na moyo go bhutogwa bho gwikala na bhanhu chiza, umukikalile kabho, kugiki bhadule gutumama milimo yabho bho mholele. Igelelilwe abhadebhe igiki, ubhiza bho ng’wa munhu bhuli mu moyo gokwe.

Mathayo 7:15-19.

1 Yohana 4:1-3.

KISWAHILI: MENO MEUPE KAMA MOYO.

Msemo huo, waangalia weupe wa meno ya mtu. Watu wanaokutakana naye mtu huyo huyaona Meno yake hayo meupe. Wanapoyaona huyalinganisha na moyo wa mtu anayeishi vizuri na watu. Ndiyo maana watu hao humwita kwamba ni “Meno meupe kama moyo.”

Msemo huyo hulinganishwa kwa mtu yule aliye na moyo wa kuishi vizuri na watu, katika maisha yake. Mtu huyo, ana upendo wa kweli kwa watu anaoishi nao. Yeye hufanya kazi zake kwa kushirikiana vizuri na wenzake ili aweze kupata mafanikio ya kutumia yeye na kuwasaidia wahitaji.

Mtu huyo, hufanana na yule aliye na meno meupe kama moyo, kwa sababu naye ana moyo wenye upendo wa kuishi vizuri na watu, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwita kwamba ni “Meno meupe kama moyo.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa wenye moyo wa upendo wa kuishi vizuri na wenzao, katika maisha yao, ili waweze kuyatekeleza majukumu yao kwa amani maishani mwao. Yafaa waelewe pia kwamba uzuri wa mtu uko kwenye moyo wake.

Mathayo 7:15-19.

1 Yohana 4:1-3.

white teeth

african-girl

laugh

ENGLISH: WITH TEETH AS PURE AS THE HEART.

The above saying looks at the whiteness of one’s teeth. People who meet such a person see his/her white teeth. When they see them, they compare them to the heart of a person who lives well with others in their societies. That is why they say, “with teeth as pure as the heart.”

This saying is applied to the person who lives well with people in the daily life. Such person, in turn, has genuine love to the people around him/her. He/she does his/her job by cooperating well with others so that they can together find success in using their talents for helping those who in great need.

This person is like the one who has white teeth like a heart; because he also has a loving heart enough to live well with people, in life. That is why people call him/her the “with teeth as pure as the heart.”

This saying teaches people about having a loving heart for living well with their societal members, in their lives, so that they can peacefully carry out their responsibilities in their lives. They should also understand that a person’s beauty is in his/her heart.

Matthew 7: 15-19.

1 John 4: 1-3.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.