766. GUMILA IGUHA UDALAGANILE NA MILO.

Ulusumo lunulo, lulolile munhu uyo alimila iguha aliyo lulu umilo gokwe adagubhegelejije chiza. Olihoyi munhu uyo olyaga nyama kihamo na maguha gajo. Ohayimanila onigwa iguha aha milo gokwe kunguno oliadajibhegelejije chiza ijimilo jakwe.

Umunhu ng’wunuyo, agabhiza uduuma ugulya kunguno ya gumila iguha bho nduhu ugulagana chiza nu milo gokwe. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki idichiza, “gumila iguha udalaganile na milo.

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agatumamaga nimo uyo adina bhudula nago, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, adibhegelejaga chiza haho atale ugugwandya unimo gokwe. Adaimalaga imilimo yake kunguno ya gukija guidilila chiza, umukikalile kakwe. Uweyi agapandikaga makoye ga gugayiwa ijiliwa, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agamilaga iguha bho nduhu ugujibhegeleja chiza ijimilo jakwe, kunguno nuweyi agatumamaga milimo bho nduhu ugwibhegeleja chiza, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, idichiza “gumila iguha udalaganile na milo.”

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gudilila milimo yabho bho gwibhegeleja chiza haho bhatali uguyandya uguitumama, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho.

Luka 14:28-30.

KISWAHILI: KUMEZA MFUPA HUKUAHIDIANA NA KOLOMEO.

Methali hiyo yaangalia mtu aliyekuwa anameza mfupa bila kuliandaa vizuri kolomeo lake. Alikuwepo mtu mmoja ambaye alikuwa anakula nyama pamoja na mifupa yake. Alishitukia amekwamiwa na mfupa huo kwenye koo lake, kwa sababu  ya kutokuliandaa vizuri kolomeo lake.

Mtu huyo alishindwa kuendelea kula kwa sababu ya kumeza mfupa bila kuliandaa vizuri kolomeo lake. Ndiyo maana watu walimwambia kwamba siyo vizuri, “kumeza mfupa hukuahidina na kolomeo.”

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hufanya kazi asizo na uwezo nazo, katika maisha yake. Mtu huyo, huwa hajiandai kabla ya kufanya kazi hizo. Ndiyo maana, huwa hazimalizi kazi zake kwa sababu ya kutokuzijali vizuri, katika maisha yake. Yeye hupata matatizo mengi yakiwemo yale ya kuishiwa chakula katika familia yake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyemeza mfupa bila kuliandaa vizuri kolomeo lake, katika maisha yake, kwa sababu yeye hufanya kazi zake bila ya kujiandaa vizuri. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, siyo vizuri, “kumeza mfupa hukuahidina na kolomeo.”

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuzijali kazi zao kwa kujiandaa vizuri kabla ya kuanza kuzitekeleza, ili waweze kupata maendeleo mengi, maishani mwao.

Luka 14:28-30.

bones eating1

bones eating2

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.