77. Lyimbo

Collected by: Don Sybertz, Scanned by: Cephas Yao Agbemenu

With special thanks to Rev Joe Healey (African proverbs,Sayings and stories)

Jaliho chalo jimo jitanagwa ng’wachanjo, Sege ni Bubiki. Abhanhu abhalibhikalaga muchalo jenijo bhagayucha no no. Bhuyubhi bhaliyomba giki, ndubhi ikashokaga munda, gashi bhalogagwa yali iti ndubhi.

Yalitingaga ikalaga munda duhu, bhacha na kucha. Ningi ng’wana Yina akamana giki bhagulogagwa nu ng’wana Lala, nina ong’wa Kadulyu.

Akahaya giki, nibhuli ndubhi ili Bubiki na Ng’wachanjo duhu? (bhakibhuja bhoyi duhu) ung’wana Yina akandya kunkob’a ng’wana Lala anoge nang’hwe ache! (ndogi nayo ndogwa).

Ng’wana Yina ng’hana akamulaga ung’wana Lala, ng’wachanjo ni Bubiki jubhiza sele. Bhanhu bhenabha bhoya ukucha.

Ng’wana Yina akimba lyimbo lya bhutambi (nyakindi) lyakubhamanya giki, yalitindubhi-bhulaya tayulogagwa nu ng’wana Lala.

Lyimbo lya bhukindi Ng’wana Yina nakujimya umoto bhabha nagujimya, uyo goyubhakaga mu Seke jalijapyilaga numba, nagujimya, gosaga moto ngehu duhu bhakadulyu, gasagile makala gajimile.

Bhana ng’wachanjo ni Bubiki bhayuchaga bhanigini bhahaya giki ndubhi, ikashogaga munda, bhalibhatamanile igiki bhalogagwa. Gashinaga niliwe lya ng’wana Lala lya kupulila bhuganga, nakindile ng’wana Yina.

Kiswahili: Wimbo

Kulikuwepo na kijiji kimoja kiliitwa Mwachanjo, Seke na Bubiki. Watu walioishi vijiji hivyo walikuwa wanakufa mno. Wakawa wanasema kwamba ndui inarudi tumboni, (waliamini kuwa walikuwa wanalogwa tu, haikuwa ndui) ilikuwa haitoki inakaa tumboni wanakufa na kufa.

Manju mwana Yina aliamini kwamba wanalogwa na mwana Lala, mama yake na Kadulyu. Akasema kwa nini ndui iko Bubiki na Mwachanjo tu (waliulizana wao tu).

Mwana Yina akaanza kumtafuta mwana Lala amloge afe (mchawi naye hulogwa) mwana Yina kweli akamuua mwana Lala. Mwachanjo na Bubiki vikawa kimya, watu wakaacha kufa. Mwana Yina akaimba wimbo wa ushindi (kishujaa) wa kuwajulisha kwamba ilikuwa siyo ndui ulaya tulikuwa tunalogwa na mwana Lala.

Wimbo wa ushindi

Mwana Yina nimeuzimisha moto baba nimeuzimisha, ule uliokuwa ukiwaka Seke. Ziliungua nyumba nimeuzimisha umebaki moto mdogo tu akina Kadulyu.

Imebaki mikaa iliyozimika. Mwachanjo na Bubiki walikuwa wanakufa watoto wanasema kwamba ndui inarudi tumboni. Hawakujua kwamba walikuwa wanalogwa. Kumbe ni jiwe la mwana Lala la kupondea dawa, nilishinda Mwana  Yina.

musician-singer

English: A Song

african-traditional-dance-

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.