47. Nyanda Na Ng’waniki

Collected by: Don Sybertz, Scanned by: Cephas Yao Agbemenu

With special thanks to Rev Joe Healey (African proverbs,Sayings and stories)

Aho kale waliho nyanda umo na ng’waniki umo. Abhose aha bhali bhati na wikalo wa ng’hana. Lushiku lumo bhuja bhukashiga ha gagikulu, bhulomba jiliwa, bhazugilwe.

Ngikulu ng’wene ubhuja, “Hali mjile mpaga he lulu?” Bhuhaya, “Uise dudi na wikalo wa ng’hana uko dugashiga duhu.” Ngikulu uhaya, “Jagi uko numba iyoo!! Igupunaga, kwene ulu ng’ugashiga mgusanga jiiiho pye ijiliwa aliyo bhiya ugukalalwa nulu ki jingi hoi. Uying’we jiliwa duhu.

Ahenaho aliho mawe malabhu (almas) ulu giki ng’usola gikale ging’we gagukuja sabho na hangi mgwibhulagila. Bhagabhuka bhajile mpaga guko, bhikala shigu ningi hoi.

Lushiku lumo lyunsanga li munhu ung’waniki lyung’wia giki, dukabhanage nagwinhe mnyenda, uninhe amawe ayo alilabha. Ng’waniki uzunya usola. Aho wiza nu nyanda ung’wila giki, “Aliyo iliho mbeho noi nagwinhe nang’ho ung’wenda?” Nyanda ubhuja, ikale dali dudabhonaga imbeho ilelo ditaga ki? Hamo ubhebhe umanile nhaga nahene.

Bhagayujilya ijiliwa jumanushila duhu, bhahayimanila jashila guke. Aho bhamala ijiliwa bhubhuka bhajile uko gagikulu. Aho bhashiga ahagagikulu kubhawila, “Jagi uko mmanile ning’we, aliyo ijiliwa jing’we jabhizaga jamakoye koye. Bhumala kuzung’wa na bhuja sagala.

Kiswahili: Mvulana Na Msichana

Hapo zamani alikuwepo mvulana mmoja na msichana mmoja. Wote wawili hawakuwa na makazi ya kudumu.  Siku moja walienda wakafika kwa Bibi kizee wakaomba kupikiwa chakula.

Bibi kizee huyo aliuliza, “Mnakwenda mpaka wapi basi?” Wakajibu, “Sisi hatuna makao ya kudumu tutakakofika tu.” Bibi kizee alisema, “Nendeni kwenye nyumba hiyo inayoonekana, huko mkifika mtakuta chakula chote kipo, lakini msitamani hata kitu chochote kilichomo humo. Ninyi ni chakula tu.”

Hapo yapo mawe yamelemetayo (almas) kama mkichukua kukaa kwenye hali ya kupenda mali mtajiharibia tena.” Walianza safari kwenda mpaka huko, walikaa siku nyingi hapo.

Siku moja mtu mmoja alimkuta msichana akamwambia hivi, “tubadilishane nikupe nguo, unipe mawe hayo yamelemetayo.” Msichana alikubali akachukua.

Alipokuja na mvulana alimwambia hivi, “Lakini kuna baridi mno nikupe nguo?” Mvulana aliuliza, “Zamani tulikuwa hatuhisi baridi leo imekuwaje? Labda wewe unajua leta basi.”

Wakawa wanakula chakula kinakwisha tu, waliposhitukia kimekwisha chote. Walipomaliza chakula walifunga safari kwenda kwa yule Bibi kizee.

Walipofika pale Bibi kizee akawaambia, “Nendeni mnakojua ninyi, lakini chakula chenu kimekuwa cha kuhangaika yaani kimekuwa cha matatizo matatizo. Walilaniwa wakaenda hovyo hovyo.

adults

old-lady

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.