Collected by: Don Sybertz, Scanned by: Cephas Yao Agbemenu
With special thanks to Rev Joe Healey (African proverbs,Sayings and stories)
Lushiku lumo Nzagamba ya mapembe malihu yadimaga mu mbuga. Ngi nikumilija yulala ijile. Yushikila yugwa hipembe lya Nzagamba.
Ngi yiwila inzagamba giki, hamo nakubhuna, ulu nakubhuna niwilage ningi ukwipembe lyako. Nzagamba yukumya ho kubhana giki, wizaga nanali ukwipembe lyane.
Nene nalinatamanile giki, wagwaga kwipembe lyane, kushisha uniwila hu namana giki uliko. Nulu wikaleko utina mhayo nguno natigwaga na haho wimilile, kushisha waniwila hu namana giki, uliko kwipembe lyane.
Kiswahili: Fahali Na Nzi
Siku moja Fahali mwenye mapembe marefu alikuwa anachunga mbugani. Nzi aliruka akaja kutua kwenye pembe la Fahali yule.
Nzi alimwambia Fahari “Labda nimekuwa mzito kwenye pembe yako?” Fahali alishangaa kuona kwamba, Nzi amefika lini kwenye pembe yangu.”
Mimi sikujua kwamba umetua kwenye pembe yangu. Mpaka kufika kuniambia kwamba umetua kwenye pembe yangu. Ndipo nimefahamu sasa, kwamba upo kwenye pembe yangu.
ENGLISH: THE BULL AND THE FLY
One day, a long-horned bull was grazing in the field. The fly flew and landed on one horn of that bull.
Then the Fly told Bull, “Maybe I have been too heavy on your horn?” The bull was surprised and wondered when Fly had reached his horn.
The bull then said, “I did not know that you had landed on my horn. Until you told me that you have landed my horn, I did not know your presence. Now I know that you are on my horn.”