Sukuma

4. Magembe abhili gatakijaga kwikumya

Mbuki ya lusumo lwenulu bhakawilagwa bha kaya imo abho bhikenyaga, jina gutimbiwa ng´holo giki mihayo yabho ishile. Bhakalenganijiwagwa na magembe nguno abhanhu ulu bhalilima kihamo amajembe gatukija ukwikumya.

Lusumo lwenulu lulilola witoji na bhanhu abho wagikalaga kihamo umuwikaji bhobho.two people with hoes

KISWAHILI:  MAJEMBE MAWILI HAYAACHI KUGUSANA:-

Maana ya methali hii, huambiwa watu wa nyumba moja waliogombana.  Hufarijiwa kwa kuambiwa vile ili maneno yao yaishe. Hivyo hufananishwa na majembe kwa sababu watu wakiwa wanalima pamoja majembe hayo hayaachi kugusana.

Msemo huu huwalenga watu wa ndoa na wale wanaoishi pamoja kwa makazi yao.

“Kwa sababu hii mwanaume atamwacha baba yake na mama yake na kuambatana na mkewe nao watakuwa mwili mmoja. Adamu na mkewe wote wawili walikuwa uchi, wala hawakuona aibu.” (Mwanzo 2.24).

“Kwa hiyo hawatakuwa wawili tena bali mwili mmoja. Basi, alichokiunganisha Mungu, mwanadamu Asikitenganishe.” (Marko 10:8-9).

“Siri hii ni kubwa, bali mimi nanena kuhusu Kristo na Kanisa. Hata hivyo, kila mmoja wenu ampende mkewe kama anavyoipenda nafsi yake mwenyewe, naye mke lazima amheshimu mumewe.” (Waefeso 5.32-33).

ENGLISH: THE HOES OF TWO PEOPLE CULTIVATING TOGETHER IN A FIELD  SOMETIMES CLASH (HIT) AGAINST EACH OTHER.

The Sukuma Ethnic Group is the largest ethnic group (more than six million people) in Tanzania and live mainly in rural areas in the northwestern part of the country on or near the southern shores of Lake Victoria – mainly in the Mwanza and Shinyanga Regions. They are agricultural-pastoralists whose lives focus on farming (maize [corn], sorghum, cassava, sweet potatoes, cotton, etc.) and herding cows.  The hoes of two people weeding together in their fields sometimes clash (hit) against each other as seen in this Sukuma proverb. This proverb is applied to married people living in close proximity. They experience misunderstandings and differences at times. This is life.

“For this reason a man will leave his father and mother and will stick to his wife and they will become one flesh. Adam and his wife both were naked, and they did not see shame. “(Genesis 2.24).

“So they will no longer be two but one body. So what God has joined together, let not man separate. “(Mark 10: 8-9).

“This secret is great, but I am talking about Christ and the Church. Nevertheless, each one of you must love his wife as he does himself, and the wife should have respect for her husband. “(Ephesians 5.32-33).

 

2. Jigano ja Bhana Bhabhili – Kusema Mbago

  Scanned by: Cephas Yao Agbemenu.

With special thanks to Joe Healey (African Proverbs, Sayings and Stories)

Waliho ngosha umo wali na bhana bhakwe bhabhili, nabho bhali bhagosha gwike bhung’wila sabho giki, “Bhabha tulihaya kuja gujukwabha.” Nanghwe ubhafupa ubhawila, “Shimizagi na lubhango bhana bhane. Kwike jagi ng’utema mbago.” Nsumba ntale aho washika ng’wipolu wandya kutemagula miti, wifula.

Ntondo yaho wandya hangi nimo gwakwe gwa kutemagula. Nzunayeng’wene ukashika hali kaya ukadimaho bhusumba nu nyanda wa hakayayeniyo. Ulalaho ntondo yaho ushika halikaya lingi, nu kwene udimaho bhusumba nu nyanda wa hene.
Aho b’amala kushoka kaya, unamhala ubhawila, “Tujagi bhana bhane nakamuloje mbago jing’we.” Bhukashika ng’wipolu, namhala wolekejiwa nunyanda ntale imilimo yakwe yakutemagula miti. Namhala ung’wila nsumba ndo. “Nolekejage nangho imilimo yako.” Bhuja ugatwalwa halikaya, bhanukulwa chiza no. Bhubhulagilwa na mbuli, bhulala ho. Aho wela bhuja halikaya lingi, nu kwene bhanukulwa chiza no.
Bhushoka kaya bhalina mmamiligo ga nyama na makunza.Unamhala ung’wila nsumba ntale, “Ng’wana wane, masala utinago, utiho kusuga bhanhu, nagaguwila kutema mbago, ubhebhe ukabhutagula manti. Umumanti gako tabonile mo shawiza ki? Nzunayo akatema mbago ja ng’hana. Tukanukulwa chiza no, tukabhulagilwa mbuli. Nzunayo nakuntoja tamu, ubhebhe nugutoja numa iki masala utinago.
logsjan18
KISWAHILI: HADITHI YA WANA WAWILI

Alikuwepo mwanamume mmoja aliyekuwa na wana wawili waliokuwa wanaume tu. Wana hao, walimwambia baba yao hivi, “Baba tunataka kwenda kutafuta mali. Tunaomba Baraka zako.” Naye aliwabariki akisema, “Tembeeni na Baraka wanangu. Lakini nendeni mkiweka alama kwenye miti.”

Kijana mkubwa katika safari yake, alipofika porini alianza kukata kata miti, anapumzika. Kesho yake alianza tena kazi yake ya kukata kata miti hiyo.

Mdogo wake katika safari yake, yeye alifika kwenye familia akatengeneza urafiki na kijana wa familia hiyo. Alilala hapo, kesho yake alifika kwenye familia nyingine, na pale ashikana urafiki na kijana wa pale.

Walipomaliza walirudi nyumbani, mzee aliwaambia, “twendeni wanangu nikakague alama zenu za kwenye miti.” Wakafika porini, mzee alioneshwa na kijana mkubwa kazi yake aliyoifanya ya kukata kata miti.

Mzee alimwambia kijana mdogo, “nioneshe nawe kazi zako.” Wakaenda akapelekwa kwenye familia, wakapokelewa vizuri mno. Wakachinjiwa na mbuzi, wakalala pale.

Kesho yake, walienda kwenye familia nyingine, na pale walipokelewa vizuri mno. Wakarudi nyumbani wakiwa na mizigo ya nyama na ngozi za wanyama waliochinjiwa.

Mzee alimwambia kijana mkubwa, “Mwanangu, huna akili, huwezi kutunza watu, nilikuambia, kuweka alama kwenye miti, wewe ukakata kata mamiti! Kwenye mamiti yako tumeona humo kizuri gani? Mdogo wako aliweka alama kwenye miti kweli. Tulipokelewa vizuri mno, tukachinjiwa mbuzi. Nitamuoza kwanza mdogo wako, wewe nitakuoza nyuma yake, baadaye kwa vile huna akili.”

ENGLISH: THE PARABLE OF THE TWO BROTHERS

Two brothers wanted to go to a distant country to make their fortune. They asked their father for a blessing, saying: “Father, we go on our way to make our fortune. Your blessing, please.” Their father agreed, saying, “Go with my blessing, but on your way put marks on the trees lest you get lost.” After they received the blessing, the two brothers started on their safari.

The older brother entered the forest and cut down some of the trees as he passed and made marks on other trees. He did this for the whole journey. The younger brother took another route. While on the way, he arrived at the house of a certain person. He knocked on the door. He was invited in and made friends with the children of that family. The younger brother continued on his journey and made friends wherever he passed.

Finally, the two brothers returned home. On their arrival their father gave them a warm welcome, saying, “How happy I am to see you back home again, my sons, especially since you have returned safely. Wonderful! Now I would like to see the marks which you have left on the trees.”

So the father went with his firstborn son. On the way the older brother showed his father all kinds of trees that he had cut down and others with the marks that he had put on along the way. They traveled a long distance without eating on the trip. Finally, they returned home empty-handed.

Then the father set out with his secondborn son. During the journey different friends warmly received the younger son and his father. They were treated as special guests at each place they visited. Goats were slaughtered to welcome them. They were very happy. They brought home many gifts including meat and other presents.

Then the father summoned his two sons and said: “Dear sons, I have seen the work that you have done. I will arrange a marriage for the one who has done better.” He turned to the firstborn son and said, “My son, I think you are foolish. You cannot take care of people. I told you to put marks on the trees wherever you pass. You have cut down many trees. What is the profit of all these trees?” Turning to the second son he said: “My son, you are clever. I am happy you have put such important marks wherever you have gone. Wherever we passed, we received a very good welcome. This came from your good personal relationships with the people we visited.”

Then he said: “My dear children, now it is good for me to give my reward. I will arrange a big feast for my younger son. We will slaughter a cow for him. For my younger son has made good and lasting marks wherever he passed.”

From this Sukuma story comes the Sukuma proverb: To make marks on the trees. The theme of the story and the proverb is “Good Personal Relationships in Life.” The meaning is that to build good relationships with people is a very important priority in our lives.

1. NZENGO GWA BHANHU BHINGI (BINGI)

   Scanned by: Cephas Yao Agbemenu.    With special thanks to Joe Healey (African Proverbs, Sayings and Stories)

Gwaliho nzengo gwali na banhu bhingi gete, igahaya kutanduka nyanza ibhamile. Wigela munhu wa kujubhagunanha bhazidulibila, bhuwilwa giki aliyo umu nzila galiho majigulu na miswa, mtizubhulaga unswa nulu gumo, nulu dubhisu. Buyomba giki, “Dutubhulaga nulu dubhisu nulu miswa, nakupala inzila, ng’hana bhubhiza bhadabulagile nswa, nulu dubhisu. Lishosho lyaho lili giki, Bulangwa.

Abhanhu dalimshibhi na makanza malihu dali giti mamiswa na mabhisu mu myobho. Ishi lulu Yesu akiza kutinja mu majigulu, aho dugahaya kutubhukila mu nyanza.

KISWAHILI: KIJIJI CHA WATU WENGI people-3137672__340

Kuliweko kijiji kilichokuwa na watu wengi kabisa. Ilitaka kupasuka bahari iwameze. Akapatikana mtu wa kwenda kuwasaidia. Wakaambiwa hivi, “Njiani lakini kuna miamba na miiba, msiue mchwa hata mmoja, wala chungu chungu.

Wakasema kwamba, “Hatutaua hata chungu chungu, hata mchwa” Kweli hawakuua mchwa, wala chungu chungu. Jibu lake ni hivi, kufuata mafundisho ni vizuri maishani.

Watu tulikuwa kwenye dhambi, na wakati mrefu tulikuwa kama miiba na chungu chungu kwenye mashimo. Kwa vile Yesu alikuwa kutuondoa kwenye miamba, pale tulipotaka kumezwa na bahari.

ENGLISH: THE VILLAGE OF MANY PEOPLE

There was a village where there were many people. The ocean wanted to burst and swallow them up. The people in it found someone to help them. Such a person said to them, “On the way, there are rocks and thorns; do not pick up one.” The people said, “We will not kill even painful pain, even ants.” children-of-uganda-2245270_960_720

They did not kill ants, nor painful pain. This story teaches people that following good teachings is good in their lives. Spiritually, people were in sin. We were for long time like thorns and painful pits in holes. Jesus came to take us out of the rocks when we wanted to be swallowed up by the sea.