1. NZENGO GWA BHANHU BHINGI (BINGI)

Collected by: Don Sybertz,   Scanned by: Cephas Yao Agbemenu

With special thanks to Rev Joe Healey

(African proverbs,Sayingsand stories)

Gwaliho nzengo gwali na banhu bhingi gete, igahaya kutanduka nyanza ibhamile. Wigela munhu wa kujubhagunanha bhazidulibila, bhuwilwa giki aliyo umu nzila galiho majigulu na miswa, mtizubhulaga unswa nulu gumo, nulu dubhisu. Buyomba giki, “Dutubhulaga nulu dubhisu nulu miswa, nakupala inzila, ng’hana bhubhiza bhadabulagile nswa, nulu dubhisu. Lishosho lyaho lili giki, Bulangwa.

Abhanhu dalimshibhi na makanza malihu dali giti mamiswa na mabhisu mu myobho. Ishi lulu Yesu akiza kutinja mu majigulu, aho dugahaya kutubhukila mu nyanza.

KISWAHILI: KIJIJI CHA WATU WENGI

Kuliweko kijiji kilichokuwa na watu wengi kabisa. Ilitaka kupasuka bahari iwameze. Akapatikana mtu wa kwenda kuwasaidia. Wakaambiwa hivi, “Njiani lakini kuna miamba na miiba, msiue mchwa hata mmoja, wala chungu chungu.

Wakasema kwamba, “Hatutaua hata chungu chungu, hata mchwa” Kweli hawakuua mchwa, wala chungu chungu. Jibu lake ni hivi, kufuata mafundisho ni vizuri maishani.

Watu tulikuwa kwenye dhambi, na wakati mrefu tulikuwa kama miiba na chungu chungu kwenye mashimo. Kwa vile Yesu alikuwa kutuondoa kwenye miamba, pale tulipotaka kumezwa na bahari.

ENGLISH: THE VILLAGE OF MANY PEOPLE

There was a village where there were many people. It wanted to burst the sea and swallow them up. The people in it found someone to help them. Such a person said to them, “On the way, there are rocks and thorns; do not pick up one.” The people said, “We will not kill even painful pain, even ants.” They did not kill ants, nor painful pain. This story teaches people that following good teachings is good in their lives. Spiritually, people were in sin. We were for long time like thorns and painful pits in holes. Jesus came to take us out of the rocks when we wanted to be swallowed up by the sea.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.