Sukuma Sayings

1334. GOLEMELAGA HITIMA.

Olihoyi munhu uyo agigwa mhayo ntale uyo gugaminya umunholo yakwe. Umunhu ng’wunuyo, aho ogwigwa umhayo gunuyo agandya guchola bhanhu bho gubhawila kugiki bhadule gung’wambilija umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhayomba giki, “golemelaga hitima.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agabhawilaga bhiye bhang’wambilija ulu opandikaga milimo mitale, nulu mihayo mitale, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agacholaga wambilijiwa kubhiye wangu ulu opandikaga mihayo iyo igaibhunaga imholo yakwe, nulu ulu opandikaga milimo mitale iyo ijikilile nguzu jakwe, kugiki adule uguimala wangu kunguno ya gwikala gokwe chiza na bhiye umuwikaji bhokwe. Uweyi agagamala wangu amakoye ga ha kaya yakwe pye ni milimo yakwe yiniyo, kunguno ya gwanguha kulomba wambilijiwa hayo itale ugunemela, umukikalile kakwe.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga nuyo agigwa mihayo iyo igaiminya inholo yakwe ubhawila bhiye wangu, kunguno nuweyi agacholaga wambilijiwa kubhiye ulu opandigaka makoye matale nulu nimo ntale uyo gujikilile inguzu jakwe, umuwikaji bhokwe. Hunagwene agayombaga giki, “golemelaga hitima.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya guchola bhanhu bhagubhambilija wangu ulu bhapandikaga makoye matale nulu milimo mitale iyo ijikilile inguzu jabho, kugiki bhadule gwambilija wangu hayo bhatali ugukeleja, umuwikaji bhobho.

Mathayo 18:15-16.

KISWAHILI: LIMEKATALIA ININI.

Alikuwepo mtu yule ambaye alisikia neno kubwa ambalo liliumiza moyo wake, Mtu huyo alipolisikia neno hilo alianza kutafuta watu wa kuwashirikisha ili aweze kupata utatuzi wa tatizo hilo mapema. Ndiyo maana alisema kwamba, “limekatalia inini.”

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huwashirikisha wenzake ili kupata msaada kila anapopata tatizo kubwa au kazi kubwa inayozidi uwezo wake, katika maisha yake. Mtu huyo, hutafuta msaada kutoka kwa wenzake mapema kila anapokumbwa na tatizo linalomzidi nguvu, au anapopata kazi kubwa inayohitaji msaada kutoka kwa wenzake, kwa sababu ya umakini wake wa kuishi vizuri na watu, maishani mwake. Yeye huyamaliza mapema matatizo yanayoikumba familia yake, pamoja na kazi zinazidi uwezo wake kwa sababu ya kuwashirikisha wenzake mapema kabla hajachelewa kuomba msaada huo, katika maisha yake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyesikia tatizo kubwa akawashirikisha wenzake mapema, kwa sababu naye hutafuta msaada kutoka kwa wenzake mapema kila anapopata tatizo au kazi kubwa inayozidi uwezo wake, maishani mwake. Ndiyo maana yeye husema kwamba, “limekatalia inini.”

Msemo huo hufundisha watu juu ya kutafuta watu wa kuwasaidia mapema wanapopata tatizo kubwa au kazi inayozidi uwezo wao ili waweze kupata utatuzi wake mapema kabla hawajachele, maishani mwao.

Mathayo 18:15-16.

madagascar-4601287_1280

ENGLISH: IT HAS JAMMED IN THE LIVER.

There was a man who heard a miserable word that hurt his heart. After hearing such word, he started looking for people to share it with so that he could find a solution to it as soon as possible. That is why he said, “It has jammed in the liver.”

This saying is related to a person who shares it with his colleagues to get help whenever he encounters a huge delinquent or a huge task that is beyond his ability, in his life. Such person seeks support from his colleagues early whenever he encounters a problem that is beyond his ability, or when he gets a huge task that requires relief from his colleagues, because of his single-mindedness on living well with people, in his life. He ends hitches that beset his family early, as well as tasks that are beyond his ability because of sharing it with his colleagues early before it is too late to ask for that aid, in his life.

This person is similar to the one who heard a big problem and shared it with his colleagues early, because he also seeks help from his colleagues early whenever he encounters a problem or a huge task that is beyond his ability, in his life. That is why he says, “It has jammed in the liver.”

This saying instills in individuals a clue of seeking support early when they encounter an enormous difficult or a task that is beyond their ability so that they can find a solution early before it is too late, in their lives.

Matthew 18:15-16.

1333. B’ASIMBILA KAYA.

Ab’asimbila kaya bhali bhanhu abho bhagabhejaga kaya bho guzenga numba. Bhali hoyi bhanhu abho bhazengaga numba yabho bho kusimbila nhingi kugiki bhadule gupandika numba ndamu kunguno bhali bhadina numba ya gwikala. Abhanhu bhenabho bhagigulambija uguizenga inumba yiniyo bho gwiyambilija chiza mpaga bhuimala. Hunagwene abhanhu bha munzengo gunuyo, bhagabhitana giki, “b’asimbila kaya.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kubhitoji abho bhagabhalangaga abhana bhabho lilange lya gwikala na nhungwa jawiza, umukikalile kabho. Abhanhu bhenabho bhagabhinhaga lilange lya gutumama milimo yabho chiza na gwikala na bhanhu bho gwitogwi umuchalo jabho, kunguno ya nhungwa jabho ijawiza jinijo, umuwikaji bhobho. Abhoyi bhagadulaga gwikala bho witogwi na likujo litale aha kaya yabho yiniyo kunguno ya witegeleja bhobho ubho gubhalanga lilange lyawiza chiniko abhana bhobho, umukikalile kabho.

Abhitoji bhenabho bhagikolaga na bhanhu abho bhagazenga numba bho gwiyambilija chiza mpaga bhuyimala, kunguno nabho bhagabhinhaga lilange lyawiza abhana bhabho bho gwiyambilija chiza, umuwikaji bhobho. Hunagwene abhanhu bhagabhitanaga giki, “b’asimbila kaya.”

Akahayile kenako kalanga bhabyaji higulya ya gubhiza na nhungwa ja gubhinha lilange lyawiza abhana bhabho kugiki bhadule gujibheja chiza ikaya jabho jinijo, umuwikaji bhobho bhunubho.

Waefeso 5:2-33.

Mwanzo 2:18-24.

Mathayo 19:3-6.

KISWAHILI: WATENGENEZA MJI.

Watengeneza mji ni watu wanaojenga nyumba. Walikuwepo watu waliokuwa wanajenga nyumba yao kwa kuchimbia nguzo ili waweze kupata nyumba iliyo imara kwa sababu hawakuwa na nyumba ya kuishi. Watu hao walijibidisha kuijenja nyumba hiyo kwa ushirikiano mkubwa mpaka wakaimaliza. Ndiyo maana watu wa kijiji hicho waliwapatia jila la “watengeneza mji.”

Msemo huo hulinganishwa kwa wana ndoa wale ambao huwafundisha watoto wao malezi mema, katika maisha yao. Watu hao huwapatia watoto wao hao malezi ya kufanya kazi vizuri na kuishi kwa upendo na watu wao kwa sababu ya tabia yao hiyo njema, maishani mwao. Wao hufanikiwa kuishi kwa kuheshimiana na kwa upendo katika familia yao hiyo kwa sababu ya tabia yao hiyo njema ya kuwapatia malezi mema watoto wao hao, katika maisha yao.

Wana ndoa hao hufanana na watu wale waliojenja nyumba kwa ushirikiano mpaka wakaimaliza, kwa sababu nao huwapatia watoto wao malezi mema kwa ushirikiano mkubwa, maishani mwao. Ndiyo maana watu huwaita jina la “watengeneza mji.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na tabia za kuwafundisha malezi mema watoto wao, ili waweze kuzijenga vyema familia zao hizo, maishani mwao.

Waefeso 5:2-33.

Mwanzo 2:18-24.

Mathayo 19:3-6.

 

ENGLISH: FAMILY BUILDERS.

Family builders are people who build houses for staying people. There were people who built their houses by digging poles so that they could have a solid house because they did not have a house to live in. These people worked hard enough to build their house with great cooperation until they finished it. That is why people of that village called them “family builders.”

This saying is equaled to married couples who teach their children decent nurture, in their lives. These parents give to their children decent nurture for working well and living peaceably with their people because of their upright deeds in their lives. They succeed in living with respect and love in their family because of their upright manners of nurturing children well in their lives.

These married couples are similar to those people who built their house with cooperation until they finished it, because they also give to their children decent rearing with great cooperation in their lives. That is why people call them “family builders.”

This saying imparts in parents an idea of having upright parenting conducts for their children, so that they can build their families well in their lives.

Ephesians 5:2-33.

Genesis 2:18-24.

Matthew 19:3-6.

 

worker-5204739_1280

1331. OB’UKAGA HASI.

Imbuki ya kahayile kenako ihoyelile b’ub’uki bho ng’wa munhu uyo winga kuwelelo. Umunhu ng’wunuyo agabhukila muli munhu uyo aginikwa lina lyakwe aho obyalwa kunguno ya gufunya likujo ukuliweyi na gulanhana ludugu. Hunagwene ulu munhu winikwa lina lya njimiji, abhanhu bhagayombaga giki, unjimiji ng’wunuyo, “ob’ukaga hasi.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo akikalaga na nhungwa jawiza kugiki adule gubhupandika ubhupanga ubho bhudashilaga, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agabhalangaga nhungwa jawiza abhiye bho gutumama milimo chiza na gubhambilija abhanhu abho bhali na makoye, kunguno ya bhutogwa bhokwe ukubhiye bhenabho. Uweyi agadulaga ugubhalela bho gubhalanga nzila ja kubhupandika ubhupanga ubho bhudashilaga abhanhu bha ha kaya yakwe kunguno ya nhungwa jakwe ijawiza jinijo, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agabhitila ya wiza abhiye mpaga ilina lyakwe winikwa ung’wana uyo agabyalwa, kunguno nuweyi agabhalangaga abhiye nhungwa ja gubhambilija ugubhupandika ubhupanga ubho bhudashilaga, umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanbu bhagang’wizukaga ulu bhabhubhona uwiza bho lilande lyakwe bho guyomba giki, “ob’ukaga hasi.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na nhungwa jawiza bho gwikala na bhichabho chiza, kugiki bhadule gubhupandika ubhupanga ubho bhudashilaga, ulu bhinga ukuwelelo.

1Wakorintho 15:53-58.

1 Wathesalonike 4:13-17.

KISWAHILI: AMEINUKA CHINI.

Chanzo cha msemo huo, huongelea uinukaji wa mtu yule aliyefariki dunia. Mtu huyo aliinuka kupitia mtu aliyepewa jina lakwe baada ya kuzaliwa kwa sababu ya kuonesha heshima kwake na kutunza undugu. Ndiyo maana mtu anapopewa jila na marehemu watu husema kwamba, yule marehemu, “ameinuka chini.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huyaishi malezi mema yawezayo kumpatia uzima wa milele, baada ya kuaga dunia. Mtu huyo, huwafundisha wenzake tabia njema ya kuishi malezi mema kwa kujibidisha kufanya kazi na kuwasaidia watu walioko kwenye matatizo mbalimbali, kwa sababu ya upendo alionao kwa watu wake hao. Yeye hufanikiwa kuwapatia malezi hayo mema watu wa kwenye familia yake, kwa kuwafundisha njia za kuupata uzima huo wa milele, kwa sababu ya tabia yake hiyo njema, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyewatendea mema wenzake mpaga jila lake akapewa mtoto aliyezaliwa, kwa sababu naye huwafundisha wenzake malezi mema ya kuwasaidia kuupata uzima wa milele, maishani mwake. Ndiyo maana watu hao humkumkuka wanapoyaona mema yake hayo, kwa kusema kwamba, “ameinuka chini.”

Msemo huo huwafundisha watu juu ya kuwa na tabia njema ya kuwafundisha wenzao namna ya kuyaishi malezi mema, ili waweze kuupata uzima wa milele baada ya kuaga dunia.

1Wakorintho 15:53-58.

1 Wathesalonike 4:13-17.

ENGLISH: THE ONE HAS RISEN DOWN.

The origin of this saying refers to the rise of a person who has passed away. Such person rose through the person who was given his name after birth because of showing respect for him in taking care of the family. That is why when a person is given a name of a deceased one, people say that, “the one has risen down.”

This saying is matched to a person who lives a worthy upbringing that can give him eternal life after passing away. This person teaches his people decent conducts of living a upright upbringing by working hard and helping others who are in various hitches, because of having a true love for his populaces. He succeeds in giving decent nurture to the people in his family by teaching them about ways which can help them enough to gain such eternal life because of his upright character in his life.

This person resembles the one who did good deeds to his societal members who gave his name to a newborn child, because he also teaches his family members about virtuous upbringings which can assist them in gaining eternal life. That is why those people praise him when they see his decent deeds by saying that “the one has risen down.”

This saying instills in individuals a clue of having a decent attitude for teaching their family members on how to live a blameless upbringing, so that they can gain eternal life after passing away.

1 Corinthians 15:53-58.

1 Thessalonians 4:13-17.

 

1330. JISUJI JA NJINGO.

Ijisuji ja njingo jilisuji ja ng’wa munhu uyo agajaga ogalilila kunjingo. Umunhu ng’wunuyo, agajaga ukunjingo ogalila mpaga omala na oshoka ukubhiye kunguno ya gubhabhisa abhiye bhakije ugumana igiki agalilaga.

Aliyo lulu, abhanhu bhenabho nose bhagamana igiki agajaga ogalilila kunjingo kunguno amiso gakwe galalukaga ulu omala ugulila ukunjingo gunuko. Hunagwene abhanhu bhenabho bhagang’witana giki, “jisuji ja njingo.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo alina sada ya kupanza iyo agayibhisaga ukubhiye, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agakoyiyaga ni sada yiniyo mpaga okonda kunguno ya guyibhisa ukubhiye na kukija guichala kusitali kujulagulwa wangu, umuwikaji bhokwe. Uweyi agakoyiyagwa ni sada yiniyo mpaga gobhipa umili gokwe kunguno ya gugaiwa witegeleja bho gwanguha gujulagulwa kusitali, umukikalile kakwe kenako.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agabhisa jisuji bho gulilila kunjingo kunguno nuweyi agayibhisaga isada yakwe mpaga okonda, umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, “jisuji ja njingo.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na witegeleja bho kuleka kubhisa makoye gabho kugiki bhadule gwambilijiwa wangu, umuwikaji bhobho bhunubho.

Mathayo 11:28-30.

Luka 4:40.

Yakobo 5:15-16.

KISWAHILI: MACHOZI YA UWIGONI.

Machozi ya uwigoni ni machozi ya mtu ambaye huenda hulilia kwenye uwigo wa nyumba. Mtu huyo, huenda kwenye uwigo huo ambako hulia mpaka anamaliza ndipo anaenda kwa wenzake kwa sababu ya kujificha kwa wenzake hao ili wasifahamu kuwa huwa analia.

Lakini basi, watu hao walifahamu mwishowe kuwa yeye huwa anaenda kulia uwigoni kwa sababu ya macho yake kuwa mekundu anapomaliza kulia kule uwigoni. Ndiyo maana watu hao walimuita jila la “machozi ya uwigoni.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ana ugonjwa wa kuharisha ambao huufika kwa wenzake, katika maisha yake. Mtu huyo, huharisha mpaga anakonda kwa sababu ya kuufisha ugonjwa wake huo kwa wenzake ambao wangeweza kumpeleka hospitalini kutibiwa mapema, maishani mwake. Yeye husumbuliwa na ugonjwa huo mpaga anaishiwa nguvu mwilini mwake, kwa sababu ya kukosa umakini wa kuwahi kwenda kutibiwa hospitalini, katika maisha yake hayo.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyeficha machozi yake kwa kwenda kulilia uwigoni, kwa sababu naye huuficha ugonjwa wake mpaga anaishiwa nguvu, maishani mwake. Ndiyo maana watu humuita jina la “machozi ya uwigoni.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na umakini wa kuacha kuficha matatizo yao, ili waweze kusaidiwa kuyatatua mapema, maishani mwao.

Mathayo 11:28-30.

Luka 4:40.

Yakobo 5:15-16.

 

ENGLISH: TEARS OF THE KITCHEN GARDEN.

Tears of kitchen garden are tears of a person who cries in the garden of the house. This person goes to the garden where he cries until he finishes doing so and then goes to his friends because of hiding from his friends so that they do not know that he is crying.

But then, those people finally realized that he always goes to the garden to cry because his eyes become red when he finishes crying in the garden. That is why those people called him “tears of the kitchen garden.”

This saying is paralleled to a man who has diarrhea disease which he hides from his friends in his life. This person suffers diarrhea sickness until he becomes thin because of hiding his illness to his friends who could have taken him to the hospital for treatment earlier, in his life. He is troubled by the disease to the point of losing strength in his body, because of lack of responsiveness of going to the hospital for treatment in his life.

This person is like the one who hid his tears by going to the kitchen garden because he also hides his illness until he is exhausted in his life. That is why people call him “tears of the kitchen garden.”

This saying teaches people to be cautious enough to stop hiding their problems, so that they can be helped by others enough to solve them early in their lives.

Matthew 11:28-30.

Luke 4:40.

James 5:15-16.

 

man-1465525_1280

1329. LUPA LUDI NANG’WINIKILI.

Ulupa lililintego ili ligategagwa aho igelelilwe gubhita ho ndimu nulu noni nhale. Ulupa lunulo lugapujaga ndimu iyo yupitila hoyi nulu nu munhu uyo ulutegaga ulu ubhitila hoyi lumpuja duhu kunguno ludakominije uo gupuja. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “lupa ludi nang’winikili.”

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agabhejaga jilagilo ijo jigampujaga nuweyi ng’winikili, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agabhejaga jilagilo jagulemeja bhanhu gwita ginhu jilebhe nulu ja gubhalemeja guja hanhu, ogisanga jilintunga nuweyi ng’winikili, kungulo ya gugaiwa witegeleja bho jujikalana chiza, umuwikaji bhokwe. Uweyi agitungaga ng’winikili ulu ojibhinza ijilagilo jinijo ijo ojibheja ng’winikili, kunguno ya gugaiwa wigetegeleja bhunubho ubho gujikalana chiza, umukikalile kakwe kenako.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agatega lupa wisanga lulimpuja nuweyi ng’winikili, kunguno nuweyi agabhejaga jilagilo ogisanja jilintunga nuweyi ng’winikili, umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “lupa ludi na ng’winikili.”

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gubhiza na witegeleja bho gugikalana chiza amalagilo ayo bhagagabhejaga kugiki bhadule gwikala ni lange lya gujilela chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho bhunubho.

Isaya 1:17.

Mithali 4:2.

Yakobo 2:9.

KISWAHILI: MTEGO HAUNA MWENYEWE.

Mtego ni kitu kinachotegwa pale ambapo wanyama poli au ndege wakubwa hupita. Mtego huo, hukamata mnyama yoyote yule apitiaye hapo au hata mtu aliyeutega mtego huo akipitia hapo unamkamata tu kwa sababu haubagui wa kukamata. Ndiyo maana watu husema kwamba, “mtego hauna mwenyewe.”

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hutunga amri au sheria ambazo humfunga yeye mwenyewe, katika maisha yake. Mtu huyo, gutunga sheria au amri za kuwakataza watu kwenda sehemu fulani, au za kuwakataza kufanya kitu fulani ambazo hujikuta zimemkamata yeye mwenyewe kwa sababu ya kukosa umakini wa kuziishi vizuri, maishani mwake. Yeye hujifunga mwenyewe kila anapozivunja amri hizo alizozitunga mwenyewe, kwa sababu ya kukosa umakini huo wa kuziishi, katika maisha yake hayo.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyetega mtego akajikuta umemkamata yeye mwenyewe, kwa sababu naye hutunga amri au sheria ambazo hujikuta zimemfunga yeye mwenyewe, maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “mtego hauna mwenyewe.”

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuwa na umakini wa kuyaishi maagizo yale wanayojitungia ili waweze kuishi kwenye malezi ya kuzilea vyema familia zao, maishani mwao.

Isaya 1:17.

Mithali 4:2.

Yakobo 2:9.

gray-crowned-crane-5896928_1280

buffalo-840340_1280

dikdik-4281516_1280

ENGLISH: THE TRAP HAS NO OWNER.

A trap is something that is set where large animals or birds pass by. This trap catches any animal that passes by or even the person who set the trap when he/she passes by, it catches them only because it does not tell apart between the ones it catches. That is why people say that, “the trap has no owner.”

This proverb is equated to a person who makes orders or laws that bind him, in his life. Such person makes laws or orders to prohibit people from going to a certain place, or to prohibit them from doing something that he finds himself bound by because of his lack of thoughtfulness for putting them into practice well, in his life. He binds himself every time he breaks those orders that he made himself, because of his lack of responsiveness, in his life.

This person is like the one who set a trap and found himself bound by it, because he also makes orders or laws that he finds himself bound by in his life. That is why people say that, “the trap has no owner.”

This proverb imparts in people an idea of being so cautious enough to live by the instructions they create for themselves so that they can live in a way that will nicely nurture their families throughout their lives.

Isaiah 1:17.

Proverbs 4:2.

James 2:9.