1200. LYAKONDA LYAKOLOSEKA.

Yalihoyi Nzobhe ya ha kaya imo iyo yatumamaga milimo ya henaho. Inzob’e yiniyo, yaliyakonda noyi mpaga guyipela amaguha ga mumili goyo, kunguno ya gugayiwa jiliwa. Hunagwene abhanhu bhayibhonaga bhayomba giki, “lyakonda lyakoloseka.”

Akahayile kenako gagalenganijiyagwa kuli munhu uyo adajilanhanaga chiza imitugo jakwe, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, adajidimaga chiza umitugo jakwe jinijo, kunguno ya bhujidalilila bhokwe bhunubho. Uweyi agajilekanijaga mpaga jakonda imitugo jakwe jinijo kunguno ya guleka gujidima chiza chiniko, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agayilekanija inzob’e yakwe mpaga yukonda, kunguno nuweyi agajilenijaga imitugo jakwe mpaga jakonda jinijo, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu ulu bhagubhona bhuli ntogugo gokwe bhagayombaga giki, “lyakonda lyakoloseka.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya kujidilila chiza imitujo jabho bho gujilisha jiliwa mpaga jikuta, kugiki judule gubhambilija chiza, umuwikaji bhobho.

Mwanzo 41:19.

Zaburi 86:1-2.

KISWAHILI: LIMEKONDA KUZIDI.

Alikuwepo punda kwenye familia moja aliyekuwa akifanya kazi za hapo. Punda huyo, alikonda sana mpaka mifupa ya mwili wake ikaanza kuonekana, kwa sababu ya kukosa chakula. Ndiyo maana watu waliomuona punda huyo walisema kwamba, “limekonda kuzidi.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huwa hawatunzi vizuri mifugo alio nayo kwenye familia yake, katika maisha yake. Mtu huyo, huwa hawachungi vizuri mifugo wake hao kwa sababu ya kutokuwajali kwake. Yeye huwatelekeza wanyama wake hao mpaka wanakonda, kwa sababu ya kuacha kuwachunga vizuri, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyemtelekeza punda wake mpaka akakonda, kwa sababu naye huwatelekeza wanyama wake hao, mpaka wanakonda katika maisha yake. Ndiyo maana watu wanaomuona kila mmoja wake husema kwamba, “limekonda kuzidi.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwatunza vizuri wanyama wao kwa kuwalisha chakula mpaka wanashiba, ili migugo hao waweze kuwasaidia vizuri, maishani mwao.

Mwanzo 41:19.

Zaburi 86:1-2.

morocco-2750042__480

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.